LG HOMETHEATRE WATTS 1000 Ni kama hii hapa kwenye picha bei yake ni 670,000 kama unavyoionaLg home theater unauza bei gani?na Sony bei gani ?nataka Watts 1000 au 1200
Weka picha ya starxStar- X inch 32 bei yake ni 395,000 mkuu
LG pia zipo inch 32" bei yake ni 525,000/-
Kuhusu star X unazoongelea zipo mkuu. Karibu sana
Ndio mkuu inafanya kazi kama AC tu, kuna moja unaweka mabarafu ila ya kisasa unaweka maji tu halafu inafanya kazi yenyewe. Pia ukitaka uitumie kama feni unaweza. Ni wewe tu unaamua kuweka settings gani.Naomba nieleweshwe hiyo Air Condesa inafanya kazi kama AC za kawaida namanisha kama zile za maofisini au ni kama feni tu, na inatunza ubaridi kama kama AC, samahani kwa usumbufu
Vp upande wa matumiz ya umemeNdio mkuu inafanya kazi kama AC tu, kuna moja unaweka mabarafu ila ya kisasa unaweka maji tu halafu inafanya kazi yenyewe. Pia ukitaka uitumie kama feni unaweza. Ni wewe tu unaamua kuweka settings gani.
Mimi nipo MLANDIZ Kibaha, nikilihitaji hiyo ambayo unaweka maji tu nitaipatajeInatumia umeme wa kawaida tu mkuu
Poa nitakuchekiUtaletewa mkuu. Fanya kunicheki tu kwenye simu
Kuna Radio fulani aina ya Sonny speaker zake ni wireless,nazo mnazo? Kama mnazo mnauzajePoa mkuu. Karibu