SOLD: Tunauza TV, Fridge , Home theatre, Sabwoofer, na vingine kama hivyo kwa BEI POA

SOLD: Tunauza TV, Fridge , Home theatre, Sabwoofer, na vingine kama hivyo kwa BEI POA

Status
Not open for further replies.
Lg home theater unauza bei gani?na Sony bei gani ?nataka Watts 1000 au 1200
LG HOMETHEATRE WATTS 1000 Ni kama hii hapa kwenye picha bei yake ni 670,000 kama unavyoiona
5cfc1b30f2d0d936ea50a08d8ae3cf95.jpg

Na SONY Hometheatre Ambazo ni watts 1000 ni kwanzia

DAV-DZ 350 ambayo bei yake ni565,000

DAV-DZ 650 bei ni 680,000

DAV-DZ 950 bei ni 885,000

Picha kwenye post ya juu tu hapo nimeweka au unaweza kutumia hizi model kugoogle.
Karibu sana mkuu
 
Natafuta 'home theatre' za Hisence, mnazo? Tafadhali nifahamishe kama mnazo.
 
Wakuu Habari za asubuhi,

Kwa wale wanaokuja dukani naomba wawe wanahakikisha kuwa tunaongea kwa simu vizuri na kuwaelekeza vizuri.. kwa maana watu wa maduka jirani wananiibia wateja wangu wanaokuja kutokea Jamii Forums kuja kuniunga mkono.. ni hayo tu. Karibuni sana kwa sasa tumeshafungua tupo wazi

Na nawashukuru sana wadau ambao mpaka sasa wameshafika dukani au wameshaniunga mkono kwa namna moja au nyingine bila kuwasahau wateja wangu wa Mikoani.[emoji122][emoji122][emoji120]
238a8a0d18e6fa6774e94b8e545b55b9.jpg
 
TCL 65" (CURVE)
4K UHD
SMART TV
3,200,000
Latest Model.
9edfd4fc7fb25a90fdb05939d0e4f192.jpg
6bffd93bbb4d93e84e666a44be549aea.jpg
6eac8b32238d7ee9fc95a30a59d3f401.jpg
6e1c0b32cd1d11b0d5f5fcc14a23e050.jpg
b14ff5b8a7119574d30ce0152e2bf098.jpg
 
Nataka fridge simple mlango mmoja Tuma picha na bei
 
Naomba nieleweshwe hiyo Air Condesa inafanya kazi kama AC za kawaida namanisha kama zile za maofisini au ni kama feni tu, na inatunza ubaridi kama kama AC, samahani kwa usumbufu
 
Nipe bei za mashine za kunyolea,zilizo quality na kutoka nchi gan? Namaanisha original ksa sitak zile zinazopitishwa na machinga baraban
 
Naomba nieleweshwe hiyo Air Condesa inafanya kazi kama AC za kawaida namanisha kama zile za maofisini au ni kama feni tu, na inatunza ubaridi kama kama AC, samahani kwa usumbufu
Ndio mkuu inafanya kazi kama AC tu, kuna moja unaweka mabarafu ila ya kisasa unaweka maji tu halafu inafanya kazi yenyewe. Pia ukitaka uitumie kama feni unaweza. Ni wewe tu unaamua kuweka settings gani.
 
Nipe bei za mashine za kunyolea,zilizo quality na kutoka nchi gan? Namaanisha original ksa sitak zile zinazopitishwa na machinga baraban
Mashine nilizonazo ni original kabisa na ni 110,000
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom