Laki kwa zote nne na tairi zake.
Size 20 hio inavaa kwenye Kluger, Vanguard, harrier na gari za size hio kama Outlander, Grand Vitar
asante boss kuielewa
 
Sasa mshkaji anatuambia mark x pia inatumia 20, wakati inatumia 18. Anaijua kweli mark x uyu?
Mark X hio tire inaweza kaa ila itakuwa inasumbua sana yani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ profile nzuri ni atleast /45...Hilo tairi ni /35 wembe sana yani!!!

Mi hupendelea /55 ndio naona halina usumbufu kabisa. Ila ukiliweka kwenye hio rim litagusa ukuta wa ndani ndio maana halitafaa kwa mark X wala Crown
 
Present ofa yako huwezi jua jamaa pengine kwake ishu siyo mpunga ila anataka zitoke mbele ya upeo wa macho yake haraka sana
 
Present ofa yako huwezi jua jamaa pengine kwake ishu siyo mpunga ila anataka zitoke mbele ya upeo wa macho yake haraka sana
Kuna boya kasema laki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimecheka sana!
 
Mark X hio tire inaweza kaa ila itakuwa inasumbua sana yani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ profile nzuri ni atleast /45...Hilo tairi ni /35 wembe sana yani!!!
Mi hupendelea /55 ndio naona halina usumbufu kabisa.

Ukifunga 20 inapendeza sana, but iwe kwenye rami na sio barabara zetu za tope babaa 🀣🀣
 
Nahisi alikosea baada yahiyo Laki kunanamba alsahau kuwekaπŸ˜‡πŸ˜‚
Hahaha kweli mjomba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ size 20 laki eti pamoja na matairi yake
 
Hizo rim kwenye korongo au barabara mbovu experience yake ikoje?
 
Hizo rim kwenye korongo au barabara mbovu experience yake ikoje?
Rim hazina tatizo kama utaweka tairi za /55 Ila hizo za /35 zinataka mwendo wa kibishoo ule!

Unaendesha gari speed kali ukiwa kwenye lami ila ukipiga mashimo na rasta msala, rough road uibembeleze sana gari!
 
Hizo rim kwenye korongo au barabara mbovu experience yake ikoje?

Tairi za sport ni kwa ajili ya lami tu na sio kologesheni mkuu..ukizipitisha kwenye mashimo katili, visiki au yale mawe yaliyosimama kama koboko unapasua tairi mzee. Ndio maana gari za kazi/biashara hawafungi za sport.

Binafsi napenda sana za sport, muonekano wake unavutia.....
 
hizo low profile usine ukapiga shimo, ndio utajua habari yake
 
Rim size za Kruger ziwe za chuma shilingi ngap?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…