Tunauza vifaa mbalimbali vya magari
Laki kwa zote nne na tairi zake.
Size 20 hio inavaa kwenye Kluger, Vanguard, harrier na gari za size hio kama Outlander, Grand Vitar
Size 20 hio inavaa kwenye Kluger, Vanguard, harrier na gari za size hio kama Outlander, Grand Vitara!

Ningekuwa na mtonyo ningezichukua bila kujiuliza yani napenda sana rim za Spoke za wima sio ule ushoga wa offset! Ningekuja zitumia anytime in the future!
asante boss kuielewa
 
Sasa mshkaji anatuambia mark x pia inatumia 20, wakati inatumia 18. Anaijua kweli mark x uyu?
Mark X hio tire inaweza kaa ila itakuwa inasumbua sana yani 😂😂😂 profile nzuri ni atleast /45...Hilo tairi ni /35 wembe sana yani!!!

Mi hupendelea /55 ndio naona halina usumbufu kabisa. Ila ukiliweka kwenye hio rim litagusa ukuta wa ndani ndio maana halitafaa kwa mark X wala Crown
 
Size 20 hio inavaa kwenye Kluger, Vanguard, harrier na gari za size hio kama Outlander, Grand Vitara!

Ningekuwa na mtonyo ningezichukua bila kujiuliza yani napenda sana rim za Spoke za wima sio ule ushoga wa offset! Ningekuja zitumia anytime in the future!
Present ofa yako huwezi jua jamaa pengine kwake ishu siyo mpunga ila anataka zitoke mbele ya upeo wa macho yake haraka sana
 
Kuna boya kasema laki 😂😂😂 nimecheka sana!
 
Mark X hio tire inaweza kaa ila itakuwa inasumbua sana yani 😂😂😂 profile nzuri ni atleast /45...Hilo tairi ni /35 wembe sana yani!!!
Mi hupendelea /55 ndio naona halina usumbufu kabisa.

Ukifunga 20 inapendeza sana, but iwe kwenye rami na sio barabara zetu za tope babaa 🤣🤣
 
Size 20 hio inavaa kwenye Kluger, Vanguard, harrier na gari za size hio kama Outlander, Grand Vitara!

Ningekuwa na mtonyo ningezichukua bila kujiuliza yani napenda sana rim za Spoke za wima sio ule ushoga wa offset! Ningekuja zitumia anytime in the future!
Hizo rim kwenye korongo au barabara mbovu experience yake ikoje?
 
Tairi za sport ni kwa ajili ya lami tu na sio kologesheni mkuu..ukizipitisha kwenye mashimo katili, visiki au yale mawe yaliyosimama kama koboko unapasua tairi mzee. Ndio maana gari za kazi/biashara hawafungi za sport.

Binafsi napenda sana za sport, muonekano wake unavutia.....
 
Size 20 hio inavaa kwenye Kluger, Vanguard, harrier na gari za size hio kama Outlander, Grand Vitara!

Ningekuwa na mtonyo ningezichukua bila kujiuliza yani napenda sana rim za Spoke za wima sio ule ushoga wa offset! Ningekuja zitumia anytime in the future!
hizo low profile usine ukapiga shimo, ndio utajua habari yake
 
Rim hii mtumba Size 20 inaingia kwenye Harrier,Alfard,Vanguard,Kluger,Mark X, Crown Athlete na Royal,Rummio

Iko Sokoni.Toa dau lako kwenye namba +255742662669 Either uchukue Rim tu au Rim na Tire.

nzuri sana ,good quality na guaranteed imeagizwa nje haikutosha kwenye Gari.

Atakaeielewa kwa Dar es Salam njoo ikague Kinondoni Studio,nje ya Dar es Salam tutakutumia

View attachment 1836400
Rim size za Kruger ziwe za chuma shilingi ngap?
 
Back
Top Bottom