Wapendwa Wana jamvi. KARIBU tuijenge TANZANIA pamoja.
Tuna plot mpya ya viwanja maeneo mazuri ya KEREGE- CCM) bagamoyo.
Kwa wanao ifahamu Kerege-ccm Kuna barabara ya "Nyakahamba inayotokea hapo Kerege kuelekea mpaka kibaha"
Ni kilometa moja Na nusu(1.5KM) kutoka Kerege CCM..barabara imechongwa kiwango cha changarawe.
Viwanja/plots vipo barabarani kama mnavyoona kwenye picha( eneo ni tambarare Na limetulia kabisa.
BEI NI MILLION TANO TU, KWA 20X20 = 400sqm ( ukitaka eneo kubwa unaweza kuunganisha viwanja (tuna heka4 za plots.
Eneo ni potential Sana (Maji na umeme vyote vipo).
Tuwasiliane Kwa namba HII 0784355775- Mr Mbungi
Utapelekwa kuona viwanja siku yoyote a
KARIBU.