mpita-njia
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 1,734
- 1,616
Winja ndio nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka bei
[emoji115] [emoji23] [emoji16] [emoji115] Unauzaje hiyo winja mkuu maana inaonekana inavutia saaaana!Karibu tuwauzie Viwanja Vya uhakika, kabla Vyuma havijakaza zaidi.
Tuna Viwanja Vizuri sana Maeneo Ya Madale (Mbopo - Ukipita Kidogo tu Kwa Kawawa) - Milion 6 Tu ! UKUBWA WA MITA 20X20
Pia tunavyo vya milioni 9 Madale huko huko MADALE,lakini maeneo ya karibu na Wazo ukipita tu Center Ya Filamingo(Kwa wanaojua maeneo haya). UKUBWA WA MITA 22X20
Najua hali ya Kiuchumi imekuwa ngumu,lakini nadhani kadri siku zinavyo kwenda ndivyo maisha yanazidi kukaza..Jenga sasa! itafika wakati hata Kodi ya Nyumba itakuwa shida( Tujitahidi tuweke Vibanda vyetu tuwe na kwetu).
ANGALIZO: Sisi siyo Madalali, tumefanya biashara hii ya Viwanja kwa muda mrefu sasa( Humu Jamvini watu wananijua vizuri sana..Maana wengi nimefanya nao biashara).Huwa tuna nunua maeneo makubwa na kuyafanyinyia mpangilio mzuri(Kugawanya viwanja katika mitaa(Yaani barabara za kuingia na kutoka kwa kila anayenunua kiwanja.)
Kwa mantiki hiyo, hapa uwe na uhakika wa kupata kiwanja na kusaidiwa pia katka kuhalalisha kiwanja wizara ya ardhi. Pia tunatoa unafuu wa malipo..(Kwa wale waaminifu TU!!)... AMINI MUNGU kuna watu tumewapa Viwanja huu ni mwaka wa pili sasa..! Kumalizia kulipa hawataki,wala kuachia viwanja hawataki!!!.. Na mimi ni Muungwana Kukiuza mara mbili kiwanja cha Mtu nako ina niwia Vigumu..!
Kwa wale tu walio interested, tuwasiliane Mobile/WhatsApp +255 762 466 293 - Mr Mbungi ) Natumia Jina langu halisi kwa account hii ya Jamii Forum.!
Njoo tukupeleke ukague maeneo ufanye maamuzi mwenyewe!
KARIBUNI TULIJENGE TAIFA!
Kamanda edit kichwa cha uzi wako kwanza watu umewapa ukakasi ingawa ujumbe umefikaKaribu tuwauzie Viwanja Vya uhakika, kabla Vyuma havijakaza zaidi.
Tuna Viwanja Vizuri sana Maeneo Ya Madale (Mbopo - Ukipita Kidogo tu Kwa Kawawa) - Milion 6 Tu ! UKUBWA WA MITA 20X20
Pia tunavyo vya milioni 9 Madale huko huko MADALE,lakini maeneo ya karibu na Wazo ukipita tu Center Ya Filamingo(Kwa wanaojua maeneo haya). UKUBWA WA MITA 22X20
Najua hali ya Kiuchumi imekuwa ngumu,lakini nadhani kadri siku zinavyo kwenda ndivyo maisha yanazidi kukaza..Jenga sasa! itafika wakati hata Kodi ya Nyumba itakuwa shida( Tujitahidi tuweke Vibanda vyetu tuwe na kwetu).
ANGALIZO: Sisi siyo Madalali, tumefanya biashara hii ya Viwanja kwa muda mrefu sasa( Humu Jamvini watu wananijua vizuri sana..Maana wengi nimefanya nao biashara).Huwa tuna nunua maeneo makubwa na kuyafanyinyia mpangilio mzuri(Kugawanya viwanja katika mitaa(Yaani barabara za kuingia na kutoka kwa kila anayenunua kiwanja.)
Kwa mantiki hiyo, hapa uwe na uhakika wa kupata kiwanja na kusaidiwa pia katka kuhalalisha kiwanja wizara ya ardhi. Pia tunatoa unafuu wa malipo..(Kwa wale waaminifu TU!!)... AMINI MUNGU kuna watu tumewapa Viwanja huu ni mwaka wa pili sasa..! Kumalizia kulipa hawataki,wala kuachia viwanja hawataki!!!.. Na mimi ni Muungwana Kukiuza mara mbili kiwanja cha Mtu nako ina niwia Vigumu..!
Kwa wale tu walio interested, tuwasiliane Mobile/WhatsApp +255 762 466 293 - Mr Mbungi ) Natumia Jina langu halisi kwa account hii ya Jamii Forum.!
Njoo tukupeleke ukague maeneo ufanye maamuzi mwenyewe!
KARIBUNI TULIJENGE TAIFA!
J Mbugi....Wana JF Karibu tulijenge taifa.
Sasa tuna malizia viwanja vyetu na bei zetu zinashuka kidogo. tunataka tufanye issue zingine.
Mimi si mgeni hapa jamvini kwa wale ambaO waisha nunua viwanja kwetu na kujenga, pia mnaweza kuongea au kuwa taarifu marafiki zenu ambaO pengine wakati ule walisindwa kununua.Waambie wawasiliane na mimi personally tutazungimza.
Kwa wale wapya Kabisa ambao atujuani, mimi naitwa Mbungi(kama ninavyo onekana kwenye avator..Nipo na kaka yangu MARTIN ndo tunauza hivi viwanja..Ni Mali yetu mwenyewe..Hivyo unakutana na wamiliki mwenyewe siyo madalali.
Viwanja vyetu ni vya uhakika na aslimia kubwa ya Wateja wetu wamepatikana hapa hapa JF (Ukitaka kujiridhisha andika Uzi hapa ulizia Mbungi na Martin je ni watu Wa kuaminika?! ) Naamini utapata jibu sahihi..
Tulikuwa na SHAMBA(tukalifanya plots za kujenga) Mingoi daraja linalotenganisha Dar/Bunju na bagamoyo upande wapili(hapa kwa kweli vimebaki vichache mno..Na vinauzwa 4M (20X20m)
Tuna viwanja bado Madale kwa kawawa(hapa vipo vya 6M,7M-8M)
Pia tuna viwanja Madale Njia panda ya nguzo(nyuma ya kituo kidogo cha police)..Kama unatokea wazo hill ni kabla ya kufika center maarufu(FILAMINGO)..Hapa vipo vya 12M- (20x20m) na vipo vya 13.5M (25x 29m).
Kwa wale wote WALIO serious.. tuwasiliane kwa namba hizi +255 784 355 775. & + 255 762 466 293 Mr MBUNGI.
Uzuri ni kwamba ukisha kuja kuangalia huwezi kuondoka bila muafaka na sisi..Njoo tukupeleke ujionee mwenyewe..
KARIBUNI.!
Mkuu Bado viwanja vyako vya Madale vipo?Nipo Dar Es Salaam mkuuu( Ukinihitaji nitafute kwa namba hizi. +255 784 355 775 NA +255762 466 293
Karibuni tujenge taifa letu.
ukubwa wa viwanja ni 20X20 ukitaka eneo kubwa una unganisha viwanja.BEI NI MILION 8
Kwa walio wengi wanajua nikipost humu kuhusu viwanja namaanisha nini..[viwanja vya uhakika visivyo na mizengwe toka kwa wamilki wenye sio madalali-maana wapo wateja wetu wengi humu kwenye jukwaa la JF]
Pia tunawasaidia wateja wetu ktk hatua zozote za kisheria kuhusu uhalali wa mahali wanapotaka kununua viwanja
.Mwisho tunawafanya wateja wetu kuwa marafiki zetu baada ya kuridhika na huduma zetu...
BEI NI MILION 8
Tutafute muda wowote tukupeleke uone vinja kisha tuzungumze.. WASILIANA NAMI- Mr MBUNGI +255762466293 - Direct call na whatsapp]