• Mahali: Mbezi Luis Center karibu na stendi kuu
• Hali ya nyumba: Nzuri, ina wapangaji
• Bei: TZS 90,000,000
• Hadhi ya kiwanja: Kimepimwa na kupandwa mawe
• Ukubwa wa kiwanja: 580 sqm
• Nyaraka: Barua ya mauziano
• Kupelekwa kuona: TZS 20,000
.
Call/Watsap: +255767157788
.
• ipo mita 20 kutoka barabara ya lami ya Maramba Mawili
• nyumba ina apartment 4, kila apartment ina chumba, sebule na choo chake
• apartment zote zina wapangaji na kila mpangaji analipa Sh 130,000 kwa mwezi • umeme na maji vipo
• inafaa kwa uwekezaji kama kupangisha, lodge, n.k
.
Mali zaidi kwa makazi, biashara au viwanda, kununua au kupanga tembelea:
Bestates Tanzania