Milioni (90) tisini bajaji 14 ukinunua kwa milion 7 kila moja
Bajaji 14@10,000/= kwa siku
Tsh. 140,000/= siku 30
Tsh. 4,200,000/= @miezi 12
Tsh. 50,400,000= ukiziweka miaka 3 tu na baadae uziuze zote kwa laki laki tu uassume zimechoka
Inakuletea Tsh. 152,000,000/=
Naomba hizo hela zianzishe kampuni mwenye nazo proposal hiyo hapo
Sisi hatuna elimu ya biashara
Hizo ni gharama za uendeshaji.Hizi tabia ya watu kutaka kupelekwa kuona unalipia hela Nahisi Kuna ujanja ujanja Kuna watu bunju wanaweka bei ya kiwanja 10mil halaf Mita chache toka road halaf kwenda kuona 30k inamaana wakijitokeza watu 5 tu dalali Ana 150k halaf wanamtindo ukiwa serious kesho yake unaambiwa kimeuzwa
Chukua 5000 Kama hautojali• Mahali: Makonde upande wa juu
• Bei: TZS 35,000,000
• Hadhi ya kiwanja: Kimepimwa
• Ukubwa wa kiwanja: 800 sqm
• Nyaraka: Barua Serikali ya Mtaa
• Kupelekwa kuona: TZS 20,000
.
Wa Makazi Brokers
In real estate we connect
Call/Watsap: +255767157788
.
kipo kwenye prime location • hudum za maji na umeme zipo
.
Mali zaidi kwa #makazi, #biashara au #viwanda, tembelea: Bestates Tanzania
View attachment 2073172View attachment 2073173View attachment 2073174View attachment 2073175View attachment 2073177View attachment 2073178View attachment 2073179
Nadhani ingefaa zaidi kama ungeweka google maps marker ya eneo husika watu wangefika bila tatizo na usingehitaji kupata hizo gharama huku ukiwaepusha maelfu wanaoweza kupoteza 20000 zao na wasipate kiwanja. 20000 ni nyingi kiongozi.Hizo ni gharama za uendeshaji.
Nitakosa nauli ya kukupeleka site.
Kumbuka site nyingine ziko mbali na kituo changu cha kazi kiasi kwamba inanigharimu kutwa nzima kuwa site. Sasa nikirudi nyumbani familia si watalala njaa?!
Aisee hii una maanisha nini?• Mahali: Makonde upande wa juu
• Bei: TZS 35,000,000
• Hadhi ya kiwanja: Kimepimwa
• Ukubwa wa kiwanja: 800 sqm
• Nyaraka: Barua Serikali ya Mtaa
• Kupelekwa kuona: TZS 20,000
.
Wa Makazi Brokers
In real estate we connect
Call/Watsap: +255767157788
.
kipo kwenye prime location • hudum za maji na umeme zipo
.
Mali zaidi kwa #makazi, #biashara au #viwanda, tembelea: Bestates Tanzania
View attachment 2073172View attachment 2073173View attachment 2073174View attachment 2073175View attachment 2073177View attachment 2073178View attachment 2073179
Yeah! Kinakuwa kimepimwa na kupandikizwa mawe lakini bado hakijapata hati.Aisee hii una maanisha nini?
Kiwanja kimepimwa
Nyaraka serikali ya mtaa
Hapa nimetoka kapa
Sent from my SM-G975F using JamiiForums mobile app
milioni 8 au 80.hebu fafanua• Mahali: Bonyokwa Center, ubavuni mwa Masia Hotel
• Bei: TZS 80,000,000
• Ukubwa wa kiwanja: 700 sqm
• Nyaraka: Mauziano serikali ya mtaa
• Hali ya Nyumba: Inahitaji rangi, kupachika choo cha master, kujenga bindo (verandah) la nyuma na kuvuta maji
.
Wa Makazi Brokers
In real estate we connect
Call/Watsap: +255767157788
.
• ni self ya vyumba vitatu, sebule, jiko, stoo na bindo la mbele. madirisha ni wavu na parking ya gari ipo
• kwenye maingilio kwa mbele imepakana na barabara ya Tanroad inayo wekewa lami hivi sasa
• kwenda Kariakoo - Mnazi mmoja au Muhimbili ni daladala 1 na nauli ni Sh 500
• pande 2 tayari zina uzio bado nyingine 2
• mfumo wa maji ya dawasa upo pembezoni mwa nyumba. umeme upo
.
Mali zaidi kwa makazi, biashara au viwanda, kununua au kupanga tembelea: Bestates Tanzania
View attachment 2052568View attachment 2052569View attachment 2052570View attachment 2052571View attachment 2052572View attachment 2052574View attachment 2052576View attachment 2052577View attachment 2052578
Ukitukanwa useme umeonewa.milioni 8 au 80.hebu fafanua