Plot4Sale Tunauza viwanja, Mashamba, Nyumba katika maeneo mbalimbali Dar es Salaam

Plot4Sale Tunauza viwanja, Mashamba, Nyumba katika maeneo mbalimbali Dar es Salaam

Milioni (90) tisini bajaji 14 ukinunua kwa milion 7 kila moja

Bajaji 14@10,000/= kwa siku

Tsh. 140,000/= siku 30

Tsh. 4,200,000/= @miezi 12

Tsh. 50,400,000= ukiziweka miaka 3 tu na baadae uziuze zote kwa laki laki tu uassume zimechoka

Inakuletea Tsh. 152,000,000/=

Naomba hizo hela zianzishe kampuni mwenye nazo proposal hiyo hapo

Sisi hatuna elimu ya biashara

Motivation speaker, halafu proposal haiko hivyo[emoji28]
 
• Mahali: Makonde upande wa juu
• Bei: TZS 35,000,000
• Hadhi ya kiwanja: Kimepimwa
• Ukubwa wa kiwanja: 800 sqm
• Nyaraka: Barua Serikali ya Mtaa
• Kupelekwa kuona: TZS 20,000
.
Wa Makazi Brokers
In real estate we connect
Call/Watsap: +255767157788
.
kipo kwenye prime location • hudum za maji na umeme zipo
.
Mali zaidi kwa #makazi, #biashara au #viwanda, tembelea: Bestates Tanzania

IMG_20220108_103408_138.jpg
IMG_20220108_103408_170.jpg
IMG_20220108_103408_181.jpg
IMG_20220108_103408_188.jpg
IMG_20220108_103408_195.jpg
IMG_20220108_103408_200.jpg
IMG_20220108_103408_206.jpg
 
Hizi tabia ya watu kutaka kupelekwa kuona unalipia hela Nahisi Kuna ujanja ujanja Kuna watu bunju wanaweka bei ya kiwanja 10mil halaf Mita chache toka road halaf kwenda kuona 30k inamaana wakijitokeza watu 5 tu dalali Ana 150k halaf wanamtindo ukiwa serious kesho yake unaambiwa kimeuzwa
 
Hizo ni gharama za uendeshaji.
Nitakosa nauli ya kukupeleka site.
Kumbuka site nyingine ziko mbali na kituo changu cha kazi kiasi kwamba inanigharimu kutwa nzima kuwa site. Sasa nikirudi nyumbani familia si watalala njaa?!
 
• Mahali: Makonde upande wa juu
• Bei: TZS 35,000,000
• Hadhi ya kiwanja: Kimepimwa
• Ukubwa wa kiwanja: 800 sqm
• Nyaraka: Barua Serikali ya Mtaa
• Kupelekwa kuona: TZS 20,000
.
Wa Makazi Brokers
In real estate we connect
Call/Watsap: +255767157788
.
kipo kwenye prime location • hudum za maji na umeme zipo
.
Mali zaidi kwa #makazi, #biashara au #viwanda, tembelea: Bestates Tanzania
View attachment 2073172View attachment 2073173View attachment 2073174View attachment 2073175View attachment 2073177View attachment 2073178View attachment 2073179
Chukua 5000 Kama hautojali
 
Hizo ni gharama za uendeshaji.
Nitakosa nauli ya kukupeleka site.
Kumbuka site nyingine ziko mbali na kituo changu cha kazi kiasi kwamba inanigharimu kutwa nzima kuwa site. Sasa nikirudi nyumbani familia si watalala njaa?!
Nadhani ingefaa zaidi kama ungeweka google maps marker ya eneo husika watu wangefika bila tatizo na usingehitaji kupata hizo gharama huku ukiwaepusha maelfu wanaoweza kupoteza 20000 zao na wasipate kiwanja. 20000 ni nyingi kiongozi.
Kwa atakayefanikiwa kufika hapo kwenye eneo achukue google maps marker atupostie hapa twende tukasaminishe eneo.
 
• Mahali: Makonde upande wa juu
• Bei: TZS 35,000,000
• Hadhi ya kiwanja: Kimepimwa
• Ukubwa wa kiwanja: 800 sqm
• Nyaraka: Barua Serikali ya Mtaa
• Kupelekwa kuona: TZS 20,000
.
Wa Makazi Brokers
In real estate we connect
Call/Watsap: +255767157788
.
kipo kwenye prime location • hudum za maji na umeme zipo
.
Mali zaidi kwa #makazi, #biashara au #viwanda, tembelea: Bestates Tanzania
View attachment 2073172View attachment 2073173View attachment 2073174View attachment 2073175View attachment 2073177View attachment 2073178View attachment 2073179
Aisee hii una maanisha nini?
Kiwanja kimepimwa
Nyaraka serikali ya mtaa
Hapa nimetoka kapa

Sent from my SM-G975F using JamiiForums mobile app
 
• Mahali: Makonde upande wa juu, mita 100 kutoka Bagamoyo Road
• Bei: TZS 120,000,000
• Hadhi ya kiwanja: Hakijapimwa
• Ukubwa wa kiwanja: 500 sqm
• Nyaraka: Barua Serikali ya Mtaa
• Kupelekwa kuona: TZS 20,000
.
Wa Makazi Brokers
In real estate we connect
.
Sifa za Plot:
ina L shape • inatazama barabara ya lami ya mtaa • kuna nyumba ya vyumba v4 yenye wapangaji • nyumba inaingiza pato la Sh 700,000 kwa mwezi • parking ipo • ina uzio • huduma za maji na umeme zipo
.
Mali zaidi kwa #makazi, #biashara au #viwanda, tembelea: Bestates Tanzania
IMG_20220115_192220_016.jpg
IMG_20220115_192220_029.jpg
IMG_20220115_192220_071.jpg
IMG_20220115_192220_092.jpg
 
• Mahali: Bungoni Sharifu Shamba
• Nyumba: Vyumba vitano
• Ukubwa kiwanja: mita za mraba (sqm) 250
• Nyaraka: Hati
• Bei: TZS 180,000,000
.
Wa Makazi Brokers
In real estate we connect
Call/Watsap: +255767157788
.
kiwanja cha pili kutoka lami ya mtaa • pia panafaa ujenzi wa flat, ghala dogo, n.k • umeme na maji vipo
.
Mali zaidi kwa #makazi, #biashara au #viwanda, tembelea: Bestates Tanzania

IMG-20220117-WA0035.jpg
IMG-20220117-WA0033.jpg
IMG-20220118-WA0045(1).jpg
IMG-20220118-WA0044(1).jpg
 
• Holder: Bank
• Direction: Mbuyuni
• Price: TZS 580,000,000
• Plot area: 2,243 sqm
• Document: Title deed
.
Wa Makazi Brokers
In real estate we connect
Call/Watsap: +255767157788
.
• GROUND FLOOR
  • 3 Offices
  • 3 Residential units (with Room,Bedroom,Store& Washroom)
• GROUND LEVEL 2/1st FLOOR
  • Gym
  • 2 Warehouses
  • 2 Offices
  • Washrooms
  • Porch
• SECOND FLOOR
  • Function Hall
  • Offices
  • Washrooms
• THIRD FLOOR
  • Offices
  • Washrooms
.
Mali zaidi kwa #makazi, #biashara au #viwanda, tembelea: Bestates Tanzania

IMG_20220125_175511_162.jpg
IMG_20220125_175511_193.jpg
IMG_20220125_175511_197.jpg
IMG_20220125_175511_204.jpg
IMG_20220125_175511_208.jpg
IMG_20220125_175511_214.jpg
IMG_20220125_175511_220.jpg
IMG_20220125_175511_223.jpg
IMG_20220125_175511_227.jpg
IMG_20220125_175511_234.jpg
 
• Mahali: Bonyokwa Center, ubavuni mwa Masia Hotel
• Bei: TZS 80,000,000
• Ukubwa wa kiwanja: 700 sqm
• Nyaraka: Mauziano serikali ya mtaa
• Hali ya Nyumba: Inahitaji rangi, kupachika choo cha master, kujenga bindo (verandah) la nyuma na kuvuta maji
.
Wa Makazi Brokers
In real estate we connect
Call/Watsap: +255767157788
.
• ni self ya vyumba vitatu, sebule, jiko, stoo na bindo la mbele. madirisha ni wavu na parking ya gari ipo
• kwenye maingilio kwa mbele imepakana na barabara ya Tanroad inayo wekewa lami hivi sasa
• kwenda Kariakoo - Mnazi mmoja au Muhimbili ni daladala 1 na nauli ni Sh 500
• pande 2 tayari zina uzio bado nyingine 2
• mfumo wa maji ya dawasa upo pembezoni mwa nyumba. umeme upo
.
Mali zaidi kwa makazi, biashara au viwanda, kununua au kupanga tembelea: Bestates Tanzania
View attachment 2052568View attachment 2052569View attachment 2052570View attachment 2052571View attachment 2052572View attachment 2052574View attachment 2052576View attachment 2052577View attachment 2052578
milioni 8 au 80.hebu fafanua
 
Ukisikiaa gorofa tatu linauzwa mitaa hyo hyo au mbelee mbelee huku KWA kichwaa ,kwa kapero au kwa mashaka na vinanee nishtuee sawaa dalali wa bunyokwaaa
 
• Mahali: Shule
• Bei: TZS 280,000,000
• Ukubwa wa Kiwanja: sqm 500
• Nyaraka: Hati ya wizara
.
Wa Makazi Brokers
In real estate we connect
Call: +255767157788
.
kuna fremu 5 na nyumba ndogo ndogo 4 • eneo lina wapangaji • linaingiza kiasi cha sh. milioni 2 kwa mwezi • eneo lipo jirani na soko • huduma zote zipo
.
Mali zaidi kwa #makazi, #biashara au #viwanda, tembelea: Bestates Tanzania

IMG_20220201_095219_395.jpg
IMG_20220201_095219_409.jpg
IMG_20220201_095219_429.jpg
 
Back
Top Bottom