Plot4Sale Tunauza viwanja, Mashamba, Nyumba katika maeneo mbalimbali Dar es Salaam

Sawa mbezi na bagamoyo sio sawa kuna umbali wa kilomita kama 40, Sawa bei zisiwe sawa sawa ila sio kwa tofauti ya 180m kwa ekari moja tu.
Hiyo bei tena ya serikali kama imezidi kidogo tu.
36,000/- per sqm.
Nakwambia .... Ndiyo nakwambia ....
 
Sawa mbezi na bagamoyo sio sawa kuna umbali wa kilomita kama 40, Sawa bei zisiwe sawa sawa ila sio kwa tofauti ya 180m kwa ekari moja tu.
Mkuu maeneo tofauti yanathamani tofauti. Umbali wa kilometer 40 kutoka Bagamoyo sio hoja.

Kwa mfanokutoka Mbezi hadi Masaki ni chini ya kilometer 30. Kaulize bei ya kiwanja cha 1000sqm utakuta ni 800mil to 1.2bil

Muuzaji yupo sahihi
 
• Mahali: Luguruni
• Matumizi: Petrol Station
• Ukubwa: 8,000 Sqm
• Nyaraka: Hati
• Bei: TZS 450,000,000
.
Call/Watsap: +255767157788
.
• kiwanja kimetazama barabara ya Morogoro
• kipo jirani na sehemu maarufu kama Kibamba Hospitali
• kiwanja kina kibali cha ujenzi wa kituo cha mafuta japo unaweza kuomba kubadili matumizi
• maji na umeme vipo
.
Mali zaidi kwa makazi, biashara au viwanda, kununua au kupanga tembelea: Bestates Tanzania

 
• Direction: Libya Street
• Condition: Good
• Price: US$ 80,000 (without transfer)
• Viewing charge: TZS 20,000

Call/Watsap: +255767157788

unfurnished • 3rd floor • no lift • 2 common & 1 master bedrooms • 1 common washroom • sitting room • kitchen • store room • ceiling fans • seperate luku meter • main supply water • water reserve tank • 5 minutes drive to social services

Mali zaidi kwa makazi, biashara au viwanda, kununua au kupanga tembelea: Bestates Tanzania
 
• Mahali: Temboni, kilomita 1 kutoka Morogoro road
• Hali ya nyumba: Ya kuhamia
• Bei: TZS 250,000,000
• Hadhi ya kiwanja: Kimepimwa
• Ukubwa wa kiwanja: 880 sqm
• Nyaraka: Hati ya wizara
.
Call: +255767157788
.
chumba kimoja master, vitatu vya kawaida • sebule • jiko • stoo • choo na bafu za jumuiya chumba cha ofisi/maktaba • uzio • malumalu sakafuni • gypsum darini • kabati jikoni na vyumbani • madirisha vioo • viyoyozi sebuleni na vyumbani • paa vigae • gereji • nyumba ya mtumishi • eneo kubwa la maegesho ya gari • maji Dawasa • umeme luku • mabanda ya kufugia kuku
.
Mali zaidi kwa makazi, biashara au viwanda, kununua au kupanga tembelea: Bestates Tanzania


 
Hii nyumba kwa ndani nzuri sana. Na mpangilio wake wa vyumna mzuri yaani wa moddle class family.

Muonekano wake kwa nje siyo bora. Inaonekana kama ya kizamani na za kitanzania zaidi.
 
Mkuu kwa hyo hela utasubir sana kwanz nyumba hiyo haina hadhi ya hiyo pesa plus kiwanja labda ww ni dalali alaf nyumba inaonekana ina mda mrefu
 
It deserve,Japo nafikiri ukiachana na udalali hyo nyumba ni kwenye 200million kushuka chini kidogo.
 
• Mahali: Kimara Suka, mita 5 kutoka Morogoro Road
• Hali ya nyumba: nzuri, ya kuhamia
• Bei: TZS 400,000,000
• Hadhi ya kiwanja: Kimepimwa
• Ukubwa wa kiwanja: 2000 sqm
• Nyaraka: Hati ya wizara
• Kupelekwa kuona: TZS 20,000
.
Call/Watsap: +255767157788
.
juu ina vyumba vitano, chini vitatu (vyote self contained) • sebule 3 • dining 2 • jiko • washroom ya jumuiya • gereji • uzio • malumalu sakafuni • madirisha vioo (side hang wood frame) • paving • lami mpaka getini • maegesho ya gari • maji na umeme vipo
NB: Unaweza kufanya nyumba ya biashara kama hoteli, n.k
.
Mali zaidi kwa makazi, biashara au viwanda, kununua au kupanga tembelea: Bestates Tanzania
 
Kwa marehemu mbuyeku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…