Hamna hata majiran mkuu!!!? Nikivamiwa usiku si nitauliwa kwa kukosa msaada wa majirani?Nyumba inauzwa .ni ya vyumba viwili kimoja master.iko mbezi luguluni.ukubwa wa Eneo 25 kwa 20.umbali toka bara bara ya morogoro road ni 1km
Nyumba ina hati
Bei milioni 17
Mawasiliano kwa muitaji pmView attachment 733308View attachment 733310View attachment 733313
Majirani wamezunguka pande zote,angalia vizuri picha nyuma utaona picha,ngoja nitapiga pande zote uone vizuri mkuuHamna hata majiran mkuu!!!? Nikivamiwa usiku si nitauliwa kwa kukosa msaada wa majirani?
Nyumba imetulia sana sema pesa kwangu imekuwa ngumu kwa kipindi hikiMajirani wamezunguka pande zote,angalia vizuri picha nyuma utaona picha,ngoja nitapiga pande zote uone vizuri mkuu
Majirani wamezunguka pande zote,angalia vizuri picha nyuma utaona picha,ngoja nitapiga pande zote uone vizuri mkuuHamna hata majiran mkuu!!!? Nikivamiwa usiku si nitauliwa kwa kukosa msaada wa majirani?
Mungu itasaidia mambo yatakaa sawa tu,vyuma vimekaza kila mahaliNyumba imetulia sana sema pesa kwangu imekuwa ngumu kwa kipindi hiki
Sawa Mkuu.nitanya hivyo leoPiga picha kila angle tuione vizuri pamoja na ndani wengine tuko mbali
Kabisa mkuuKawaida hizo ni mita.
Luguruni kabla haujafika kibamba
Luguluni hakuna bahari Mkuu,labda unaongelea mbezi beachOpposite na bahari?
Luguluni hakuna bahari Mkuu,labda unaongelea mbezi beach
We matako mpaka sasa ujapiga tu hyo picha ulosema utaipiga chizi sanaaaa wewe....Majirani wamezunguka pande zote,angalia vizuri picha nyuma utaona picha,ngoja nitapiga pande zote uone vizuri mkuu
Asante mkuuWe matako mpaka sasa ujapiga tu hyo picha ulosema utaipiga chizi sanaaaa wewe....
Matako weweeeeeeeee yananuka
We matako mpaka sasa ujapiga tu hyo picha ulosema utaipiga chizi sanaaaa wewe....
Matako weweeeeeeeee yananuka
Asante mkuu
Asante sana Mkuu ,ni kweli kabisa ,asante kwa kunipa moyoMungu atafanya wepesi itauzikana na tu ndugu yangu.
Sawa Mkuu,nilisafiri kidogo nitazitupia tuNamngoja picha zingine namm
Weka sasa picha uloambiwa uweke.Asante mkuu
Nilisema nimesafiri ,na sio Dalali ,kijana utakua umetumwa sio bure,acha bangi hatujuani umu,ni vyema tuheshimiane ,umenitukana nimekukaushia usinichukulie poa kiasi icho,umeniona kama boya flani vile,man up,scumbargWeka sasa picha uloambiwa uweke.
Sio unasema Asante hata picha hujaweka au wewe ni dalali nini????
Nyie madalali uchwara wakufunga.
Tuko pamoja mkuuAsante sana Mkuu ,ni kweli kabisa ,asante kwa kunipa moyo