Tunauza Viwanja na Mashamba Chalinze na Dar Es salaam
Hamna hata majiran mkuu!!!? Nikivamiwa usiku si nitauliwa kwa kukosa msaada wa majirani?
Majirani wamezunguka pande zote,angalia vizuri picha nyuma utaona picha,ngoja nitapiga pande zote uone vizuri mkuu
 
Weka sasa picha uloambiwa uweke.
Sio unasema Asante hata picha hujaweka au wewe ni dalali nini????

Nyie madalali uchwara wakufunga.
Nilisema nimesafiri ,na sio Dalali ,kijana utakua umetumwa sio bure,acha bangi hatujuani umu,ni vyema tuheshimiane ,umenitukana nimekukaushia usinichukulie poa kiasi icho,umeniona kama boya flani vile,man up,scumbarg
 
Back
Top Bottom