Hammy Js
JF-Expert Member
- Sep 20, 2017
- 3,054
- 3,263
Hamna hata majiran mkuu!!!? Nikivamiwa usiku si nitauliwa kwa kukosa msaada wa majirani?Nyumba inauzwa .ni ya vyumba viwili kimoja master.iko mbezi luguluni.ukubwa wa Eneo 25 kwa 20.umbali toka bara bara ya morogoro road ni 1km
Nyumba ina hati
Bei milioni 17
Mawasiliano kwa muitaji pmView attachment 733308View attachment 733310View attachment 733313