nabiimweusi
Member
- Aug 15, 2014
- 74
- 28
Ukubwa gn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mleta mada njoo ujibu hapa.Mmh sehemu gani hapo? Ni Karibu na ile site ya wachina? Kina ukubwa gani?
0685844841Mi nataka cha laki tatu kipo mkuu
Ukipata kwa bei hii nitag tuwe majiraniMi nataka cha laki tatu kipo mkuu
Watu mna utani jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukipata kwa bei hii nitag tuwe majirani
Bei sana aisee..yaani hicho cha 25x25 ndo ukauze bei hiyo kweli?!Nauza viwanja kibaha Town .vimepimwa na vipo karibu na hospital mpya halmashauri ya mji Kibaha .na cyo mbali sn toka stendi mpya ya mabus ya mwendokas kibaha au stendi ya mabus ya mikoan .vinamiundo mbinu ya barabara,umeme upo karibu na maji yapo karibu cont 0713 95 92 90
View attachment 2206247
Tangazo lako halijakamilika, kuwa detailed&specific.Nauza viwanja kibaha Town .vimepimwa na vipo karibu na hospital mpya halmashauri ya mji Kibaha .na cyo mbali sn toka stendi mpya ya mabus ya mwendokas kibaha au stendi ya mabus ya mikoan .vinamiundo mbinu ya barabara,umeme upo karibu na maji yapo karibu cont 0713 95 92 90
View attachment 2206247
Thank kwa ushauri wako kiongoz .ndiyo maana nikaweka cont number for more information.ila kwa ushauri wako ntafanya marekenisho kidogoTangazo lako halijakamilika, kuwa detailed&specific.
Kwa mfano.
-Ukubwa wa Viwanja
-Bei
-umbali hali kutoka reference point kama barabara kuu nk.