viwanja vipo 1km kutoka main road
6,000 kwa sqm
Bei zinaanzia 3mil tu
viwanja vipo 1km kutoka main road( singida road)
6000 kwa sqm
Bei zinaanzia 3mil tu
Viwanja vipo 1km kutoka main road
6000/= kwa sqm
Bei zinaanzia 3mil tu
Viwanja vipo 2km kutoka main road
10,000/= kwa sqm
Bei zinaanzia 5mil tu
Viwanja vipo 2km kutoka main road (arusha road)
10,000/= kwa sqm
Bei zinaanzia 8mil tu
Viwanja vipo 1km kutoka main road (UDOM road)
10,000/= kwa sqm
Bei zinaanzia 6mil tu
viwanja vipo 1km kutoka main road
12,000/= kwa sqm
Bei zinaanzia 6 mil tu
lipa kidogo kidogo hadi miezi 6, bila riba wala dhamana[emoji736]
kamilisha upate hati yako[emoji736]
kuona site ni haki yako, kwetu ni kila siku na bila gharama yeyote[emoji736]
Ni umbali kiasi gani kutoka feri, mji mwema nk.?
Vipi kuhusu huduma zingine muhimu zilizopo karibu na viwanja?
Nini faida za msingi kununua kiwanja maeneo hayo na sio kwingine?
Mleta mada jaribu kudadavua.
Mkuu naweza kupata njia ya Morogoro kuelekea Kibaha?[emoji682]viwanja - kigamboni [emoji682]
Property Investors (PIC) inautangazia umma juu ya uuzaji wa viwanja vilivyopo ndani ya miradi yake maeneo ya #kigamboni
Viwanja vyote VIMEPIMWA [emoji736]
Viwanja vinaanzia 4.5mil tu
Location: Amani gomvu (kigamboni)
(Karibu na city collage - chuo cha afya)
Dakika 5 tu kutoka barabara ya lami
Distance: 600m to main road
Size: 300 sqm +
Price: 15,000 kwa sqm
Lipa kidogo kidogo mpaka kwa miezi 9
Kwa maelezo zaidi
0688753191
#mwembemdogokigamboni #propertyinvestor #pic #viwanjabeinafuu ##buyplots #milikikiwanja #kigambonimpyaView attachment 1638577
View attachment 1638578
View attachment 1638579
Nitajihakikishiaje kuhusu kupata kiwanja
Mkuu naweza kupata njia ya Morogoro kuelekea Kibaha?
Bei kiasi gani mkuu?Vipo bossi,
Tunamiradi
1. Mbezi msumi
2. Kiluvya gogoni (kituo kipya cha polisi)
3. Kwa matiasi
0688753191
Okeey, faida za eneo hilo,
Landscape yake ipo vizuri, hivyo hakuna usumbufu katika ujenzi
Ni karibu kutoka lami, mita 600 tu,
Hivyo ukishuka kwenye daladala, huhitaji tena usafiri mbadala, zaidi ya miguu yako, hivyo tusio na vyombo vya usafiri binafsi imeturahisishia
Huduma za kijamii kama maji na umeme vyote vimefika mpaka kwenye viwanja
Ni jirani na chuo, hivyo unaweza kufanya biashara kwa huo mzunguko
Hitimisho, VIWANJA VIMEPIMWA! Hivyo unapata na hati yake
Ukiea lami ni kituo gani?22km kutoka ferry,
Unapanda daladala za cheka,
0688753191
Karibu sana
Hii ni sawa na mita 20 kea mita 15...ukizidisha utapata hiyo 300Mkuu naomba kufahamu hiyo 300 sqm ni sawa na mita ngapi kwa marefu na mapana ya hicho kiwanaja.
Polepole ayanunua kwa chenji ya manunuzi wasanii na wabungeMimi nauza viwanja vya mpira vya CCM