Viwanja vinapatikana katika maeneo yafuatayo: CHANIKA:
Viwanja vya 1,500,000/= Hivi viko mita 700 toka barabara ya lami ya Chanika-Mvuti,umeme hauko mbali na maji yapo pia.
Viwanja vya 2,000,000/= viko sehemu moja na hivyo hapo juu
Viwanja vya 2,700,000/= hivi viko mita 400 toka barabara ya lami ya Chanika-Mvuti na umeme uko mita 400 toka viwanja vilipo.
Viwanja vya 3,500,000/= Viko umbali wa mita 30 toka barabara ya lami ya Chanika-Mvuti,umeme upo,maji yapo.
[h=2]MBEZI-MSUMI:[/h] Mbezi iliyoko upande wa Mbezi ya Kimara kati ya Makabe na Goba.Kilometa 8 toka Morogoro Road na mwendo wa 15mins kwa gari kwenda Tegete kupitia Wazo Hill.Bei ni 3,800,000/= na ukubwa ni miguu 20 kwa 20 au Futi 52.5 kwa 52.5
[h=2]PUGU KINYAMWEZI MTAA WA KIMANI: Bei 3,000,000/=[/h] [h=2]BAGAMOYO:[/h]
Viwanja vilivyopimwa na hati unapatiwa eneo la Mataya. Bei ni Tsh.10,000/= kwa square mita.
Mashamba yaliyopiwa na hati unapatiwa.Yapo Fukayosi karibu na mradi wa gesi Bagamoyo. Bei ni 5,000,000/= kwa ekari moja.
PIA UNARUHUSIWA KUTOA SPECIAL ORDER ILI KUPATA KIWANJA SEHEMU UNAYOIPENDA