Tunavyojidanganya kuhusu mapinduzi huko Sri Lanka

Tunavyojidanganya kuhusu mapinduzi huko Sri Lanka

Ndoto za vijana wa vijiweni wengi wenye sifa kama za upande nisiopenda kuutaja hapa wana mawazo finyu kuhusu utawala, mambo yanatofautiana kwa mbaaali sana wanayotaka kulinganisha,

ilikuwa rahisi Kumpindua Nyerere, Mkapa na Magufuli lakini siyo Mwinyi, Kikwete wala Samia, japo na nilio wataja waliokuwa rahisi kupinduliwa ni kwa sababu ya Loss of political ventilation, NAO ISINGEKUWA RAHISI KWA ASILIMIA ZAIDI YA 50 Maana hatujafika wafanya hivo hatua waliyofikia.

mode ya kulinda usalama ni tofauti namsifu samia Kila wilaya wapo watu 1260 politely ambao wapo na shughuli zao za kawaida ila wakifanya kazi ya serikali kwa weledi na wengine hawajuani.

Mpango mwingine ni wa kuweka vituo bubu vya usalama kila mita 500 ndani ya majiji na miji pia kuweka nyumba kadhaa kusiko na miji zikifanya shughuli nyingine tofauti kumbe ni mama Huyu kaweza hapo ....

Britanicca
Acheni exaggerations za usalama wa Taifa, hao 1250 wanafanya kazi Gani kama Kuna ufisadi wa kutosha unafanywa na CCM mwaka wa 50 sasa!!

Kama watu wanaiba hivi unadhani raia wakitaka kuandamana ndio watazuia? Hata hao Usalama wanaaangalia upepo ndio maana ulikua unakejeli katiba mpya ila baada ya kuona raia wanataka wamesalimu amri!!
 
Mpango mwingine ni wa kuweka vituo bubu vya usalama kila mita 500 ndani ya majiji na miji pia kuweka nyumba kadhaa kusiko na miji zikifanya shughuli nyingine tofauti kumbe ni mama Huyu kaweza hapo ....
Uoga wote huo wa nini ?....tekelezeni majukumu yenu kwa ufasaha huku mkiitii katiba mlioapa kuilinda.
 
Salaam wakuu,

Hivi majuzi kumetokea vurugu huko nchini Sri Lanka baada ya wananchi kutoka kila nyanja ya maisha kuingia ikulu ya Raisi na makazi ya Waziri Mkuu kuwataka kujiuzuru na hadi wakati huu bado wananchi wanaendelea kukalia makazi na ofisi hizo hadi pale viongozi hao watakapo jiuzuru.

Kwa picha ya kawaida tunaweza sema wale ni wananchi ndio waliofanya au wanaotaka kuitoa madarakani serikali ila ukweli ni kwamba nyuma ya pazia ni kuna mkono wa mfumo na idara za usalama au nguvu toka mataifa ya nje.Wengi mataifa ya Afrika wanajidanya kuwa hata wao kuna siku wanaweza fanaya kama walivyo fanya wananchi wa Sri Lanka ukweli ni kwamba kamwe haiwezi tokea.

NB: Ukiona Rais anapinduliwa au anauliwa ujue kuna mkono wa Idara a Usalama au mataifa ya nje.
Mimi naona unaji - contradict mwenyewe;

¶ Hata hivyo, nakubaliana na wewe mambo mawili kuwa, ni kweli haiwezekani;

A. Wananchi wa kawaida kufanya mapinduzi ya kuiangusha serikali yoyote iwapo HAKUNA SABABU ya kufanya hivyo..

B. Ni ngumu wananchi kufanya mapinduzi ya kuiangusha serikali iliyo madarakani kama hakuna "back up" ya UWT au hata nguvu ya mataifa ya nje (external forces)

LAKINI;

Nakushangaa kwa nini useme kwa Afrika na hasa Tanzania hili haliwezekani..!!

MIMI nakuambia hivi, inawezekana iwapo viongozi wa serikali inayokuwepo madarakani watadharau na kuwaona wananchi ni vitega uchumi vyao.

OGOPA SANA NGUVU YA UMMA au "PEOPLE'S POWER" ikiamua...!!
 
..Jeshi haliwezi kuingia ktk VITA ambayo Majenerali wanaamini uwezekano wa kushinda haupo, au ni wa gharama kubwa.

..Wakati mwingine hali halisi / situation on the ground hubadilika kwa haraka na kupelekea jeshi kutokuwa na uwezo kuingilia.

..Kwa Srilanka jeshi lazima limeangalia hali halisi na kuona hakuna namna ya kufanya zaidi ya kuiacha serikali ianguke.
Kwanin jeshi halijachukua madaraka mpaka sasa??
 
Jeshi awapati mshahara kwa wakati
Polisi awapati mshahara kwa wakati
Watumishi wa uma awapati mshahara kwa wakati
Wafanyabiashara unawazidishia kodi
Wanaokukosoa unawateka na kuuwauwa
Raia wakawaida hawapati haki zao hospital rushwa polisi rushwa vyakura bei juu mafuta bei juu pesa haina samani
Waliomaliza vyuo vikuu hakuna ajira ya kuwapa
Unadhani nini kitatokea nchini kwako .tusiwe na akili mgando eti mataifa ya nje ndio waliochangia yatokee mapundizi .hata wewe mwenyewe mkeo kama utomtimizia haki yake mtaachana tu .
 
Siku hizi hata nchi ikipata ukame kwa sababu wananchi wamekata miti, au ikipata tetemeko la ardhi, utaambiwa Mmarekani ana teknolojia ya kuzuia mvua na kutengeneza tetemeko la ardhi, yeye ndiye kafanya mambo hapo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yah Sri Lanka siyo mapya. Historia imeonyesha na kuzidi kudhihirisha. Ukitawala nchi kwa manufaa binafsi na ya wachache lazima uondoke kwa aibu au kuuliwa. Romania. Chile. Peru. Central Republic (Bolassa). Zaire. Nigeria (Abacha). Chad. Argentina. Haiti. Libya na Iraq (hata kama kulikuwa na mkono wa watu) nk nk. Kila nchi ina maliasili na rasilimali zake. Sasa ikatokea kukawa na watu fulani wachache na familia zao wakawa wanatajirika kunyanyasa kufuja na kuwadharau raia basi ujuwe ipo siku tu kitanuka.
Hata Rwanda, Uganda, Gabon, Equatorial Gu nk nk kuna siku pale kitanuka tutabaki mdomo wazi
 
TZ hamuwezi kukaanga tausi wa Ikulu pasi na UVCCM kuruhusu nchi hii inawenyewe
 
Dola ya nchi hii iliyojengwa na Nyerere ina nguvu kupita kiasi. Ina mamlaka ya kuuwa, kutia watu vilema, kunajisi yoyote yule anayeleta chokochoko. Ndiyo maana maelfu ya Wazanzibari wameshauliwa na wataendelea kuuliwa kila uchaguzi na hakuna hatua yoyote inayochukuliwa.
 
TZ hamuwezi kukaanga tausi wa Ikulu pasi na UVCCM kuruhusu nchi hii inawenyewe

..ukifika muda wa kukaanga tausi wa ikulu maana yake kila mtu amechoka, wakiwemo uvCcm.

..Watakaobaki nyumbani ni vigogo na familia zao.

..Hata wagonjwa wenye dripu wanaweza kutoroka hospitali na kuingia barabarani.

..Tusiombee hali hiyo itokee kwenye nchi yetu.
 
Lupweko wapi nimeandika kuwa mataifa ya Afrika hayawez pata ushirikiano toka mataifa mkubwa? usininukuu vibaya.
Hapa umesema kamwe haiwezi kutokea Afrika:

Kwa picha ya kawaida tunaweza sema wale ni wananchi ndio waliofanya au wanaotaka kuitoa madarakani serikali ila ukweli ni kwamba nyuma ya pazia ni kuna mkono wa mfumo na idara za usalama au nguvu toka mataifa ya nje. Wengi mataifa ya Afrika wanajidanya kuwa hata wao kuna siku wanaweza fanaya kama walivyo fanya wananchi wa Sri Lanka ukweli ni kwamba kamwe haiwezi tokea.
 
Salaam wakuu,

Hivi majuzi kumetokea vurugu huko nchini Sri Lanka baada ya wananchi kutoka kila nyanja ya maisha kuingia ikulu ya Raisi na makazi ya Waziri Mkuu kuwataka kujiuzuru na hadi wakati huu bado wananchi wanaendelea kukalia makazi na ofisi hizo hadi pale viongozi hao watakapo jiuzuru.

Kwa picha ya kawaida tunaweza sema wale ni wananchi ndio waliofanya au wanaotaka kuitoa madarakani serikali ila ukweli ni kwamba nyuma ya pazia ni kuna mkono wa mfumo na idara za usalama au nguvu toka mataifa ya nje.Wengi mataifa ya Afrika wanajidanya kuwa hata wao kuna siku wanaweza fanaya kama walivyo fanya wananchi wa Sri Lanka ukweli ni kwamba kamwe haiwezi tokea.

NB: Ukiona Rais anapinduliwa au anauliwa ujue kuna mkono wa Idara a Usalama au mataifa ya nje.
Umeandika ujinga.
kwani hayo mataifa ya nje hayawezi kuja africa
kama ni usalama afriva hawana usalama.
libya ,tunisia sio africa?
 
Back
Top Bottom