inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya kwenye siasa...yanakuaga yamepangwa na 'wenyewe'Wananchi wakiamua lao hakuna linaloshindikana....nyie endeleeni kuwachosha tu wananchi siku wakichoka ndo utajua hujui
Acheni exaggerations za usalama wa Taifa, hao 1250 wanafanya kazi Gani kama Kuna ufisadi wa kutosha unafanywa na CCM mwaka wa 50 sasa!!Ndoto za vijana wa vijiweni wengi wenye sifa kama za upande nisiopenda kuutaja hapa wana mawazo finyu kuhusu utawala, mambo yanatofautiana kwa mbaaali sana wanayotaka kulinganisha,
ilikuwa rahisi Kumpindua Nyerere, Mkapa na Magufuli lakini siyo Mwinyi, Kikwete wala Samia, japo na nilio wataja waliokuwa rahisi kupinduliwa ni kwa sababu ya Loss of political ventilation, NAO ISINGEKUWA RAHISI KWA ASILIMIA ZAIDI YA 50 Maana hatujafika wafanya hivo hatua waliyofikia.
mode ya kulinda usalama ni tofauti namsifu samia Kila wilaya wapo watu 1260 politely ambao wapo na shughuli zao za kawaida ila wakifanya kazi ya serikali kwa weledi na wengine hawajuani.
Mpango mwingine ni wa kuweka vituo bubu vya usalama kila mita 500 ndani ya majiji na miji pia kuweka nyumba kadhaa kusiko na miji zikifanya shughuli nyingine tofauti kumbe ni mama Huyu kaweza hapo ....
Britanicca
Uoga wote huo wa nini ?....tekelezeni majukumu yenu kwa ufasaha huku mkiitii katiba mlioapa kuilinda.Mpango mwingine ni wa kuweka vituo bubu vya usalama kila mita 500 ndani ya majiji na miji pia kuweka nyumba kadhaa kusiko na miji zikifanya shughuli nyingine tofauti kumbe ni mama Huyu kaweza hapo ....
Mimi naona unaji - contradict mwenyewe;Salaam wakuu,
Hivi majuzi kumetokea vurugu huko nchini Sri Lanka baada ya wananchi kutoka kila nyanja ya maisha kuingia ikulu ya Raisi na makazi ya Waziri Mkuu kuwataka kujiuzuru na hadi wakati huu bado wananchi wanaendelea kukalia makazi na ofisi hizo hadi pale viongozi hao watakapo jiuzuru.
Kwa picha ya kawaida tunaweza sema wale ni wananchi ndio waliofanya au wanaotaka kuitoa madarakani serikali ila ukweli ni kwamba nyuma ya pazia ni kuna mkono wa mfumo na idara za usalama au nguvu toka mataifa ya nje.Wengi mataifa ya Afrika wanajidanya kuwa hata wao kuna siku wanaweza fanaya kama walivyo fanya wananchi wa Sri Lanka ukweli ni kwamba kamwe haiwezi tokea.
NB: Ukiona Rais anapinduliwa au anauliwa ujue kuna mkono wa Idara a Usalama au mataifa ya nje.
Kwanin jeshi halijachukua madaraka mpaka sasa??..Jeshi haliwezi kuingia ktk VITA ambayo Majenerali wanaamini uwezekano wa kushinda haupo, au ni wa gharama kubwa.
..Wakati mwingine hali halisi / situation on the ground hubadilika kwa haraka na kupelekea jeshi kutokuwa na uwezo kuingilia.
..Kwa Srilanka jeshi lazima limeangalia hali halisi na kuona hakuna namna ya kufanya zaidi ya kuiacha serikali ianguke.
Kwanin jeshi halijachukua madaraka mpaka sasa??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mliambia muandamane ukuta mkaingia mitini, saa hii mngekuwa mnaogelea magogoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku hizi hata nchi ikipata ukame kwa sababu wananchi wamekata miti, au ikipata tetemeko la ardhi, utaambiwa Mmarekani ana teknolojia ya kuzuia mvua na kutengeneza tetemeko la ardhi, yeye ndiye kafanya mambo hapo!
Afu km kweli hivi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na hawawezi kuchoka wkt simba na yanga zipo.Zina kazi maalum hizo team.
TZ hamuwezi kukaanga tausi wa Ikulu pasi na UVCCM kuruhusu nchi hii inawenyewe
Hapa umesema kamwe haiwezi kutokea Afrika:Lupweko wapi nimeandika kuwa mataifa ya Afrika hayawez pata ushirikiano toka mataifa mkubwa? usininukuu vibaya.
Kwa picha ya kawaida tunaweza sema wale ni wananchi ndio waliofanya au wanaotaka kuitoa madarakani serikali ila ukweli ni kwamba nyuma ya pazia ni kuna mkono wa mfumo na idara za usalama au nguvu toka mataifa ya nje. Wengi mataifa ya Afrika wanajidanya kuwa hata wao kuna siku wanaweza fanaya kama walivyo fanya wananchi wa Sri Lanka ukweli ni kwamba kamwe haiwezi tokea.
Na ndio wanaongoza katika kuiba kura Na kutuwekea viongozi uharo hawa wa CCM tulionao huku wakitumia jeshi Na Polisi kuuwa raiaTanzania pia ina usalama wa Taifa
Nalog off Z
Umeandika ujinga.Salaam wakuu,