financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Hapo sawa ila kama hamna usafi pia inaweza kuwa sababuKuna ile harufu ya kawaida na kuna hiyo harufu anayoongelea mtoa mada ni tofauti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sawa ila kama hamna usafi pia inaweza kuwa sababuKuna ile harufu ya kawaida na kuna hiyo harufu anayoongelea mtoa mada ni tofauti
Duuuu aiseee nyie wadada mnakaziHapo kwenye usafi ndio penyewe haswaaa ila sasa nadhani mtoa huduma wa kituo cha afya anapaswa amwambie kwa mpenzi ataona kama anamzingua tu,
-Asichangie vyombo vya chooni na pia awe ana kawaida ya kuvisafisha kila wiki,
-Aoshe Uke kwa Maji mengi bila sabuni, wengi hutumia sabuni tena zile medicated soap au za kunukia akiamini ndio anasafisha kumbe anajiharibu,
- Aingize kidole na kutoa uchafu wote wa juu juu hapa napo ni mtihani maana wengi huambiwa wasiingize kidole uke unajisafisha wenyewe, ni kweli lakini unatoa uchafu kutoka ndani na kuuacha kwenye kingo mchache unatoka hadi kwenye chupi sasa ukiulimbikiza ndio mwanzo wa kuzalisha bakteria wabaya na kuanza kuwashwa,
- Akimaliza kufanya mapenzi ajisafishe kwa maji mengi na ahakikishe shahawa zote zimetoka kwa kujikamua, kuacha shahawa ndio mwanzo wa kuzalisha bakteria wabaya na kutengeneza miwasho na fangasi,
-Abadili chupi walau mara mbili kwa siku, asishinde na chupi moja siku nzima
-Avae chupi aina ya Cotton na sio Materials zingine
-Akikojoa anawe kwa maji na kujikausha kwa tissue sio kutumia tissue pekee ndio mwanzo wa kufuga uvundo au maji pekee bila kujikausha unatengeneza unyevu,
- Asitie viungo kwenye uke kama vipipi, shabu, mnato wa kisomali, vitunguu saumu, mafuta ya miski, n.k
MUHIMU: Wakitaka kufanya Mapenzi waogeshane kwanza, haya mambo ya kuparamiana na mijasho na uvundo mwisho wake ni kuanzishiana thread [emoji23][emoji23][emoji23]
Halina dawa, baba kaishi maisha yake hajawahi sikia harufu,,,,,,,,karithi mdogo wangu pia.Du hili tatizo halina dawa kwani.
DitakeHahahaa! aya mkuu...[emoji16][emoji16]
Picha ya harufu au picha ya nini![emoji16]Picha iko wapi
sad reality. [emoji23][emoji736][emoji736][emoji736]We zombie......
Unajua haya maisha yapo too aggressive....unapata pisi kulingana na financial status Yako .....
so tafuta pesa mkuu.....utapata pisi Kali
Harufu haitokei bure, inatokana na maambukizi ukeni.Niliwahi kuwa na mrembo fulani mzuri kweli kweli, lakini sasa wakati wa tendo ile harufu hata ukioga IPO tu. Mwisho wake niliamua kumuacha kimyakimya.
Najua wako wengi wenye hiyo changamoto. Tunawasaidiaje?
Hii inshu ni tatizo kubwa kuna binti mmoja niliijikaza miez kama sita sikumtell. Siku nikamwambia kiupole tu alitaka kunywa sumu akasema namtaftia 7bu ya kumkacha kumbe sio, tangu siku iyo nikikuta kidagaa ni goli 1 tu kulipia gharama za kuzungushwa then Nablock number. 😎Niliwahi kuwa na mrembo fulani mzuri kweli kweli, lakini sasa wakati wa tendo ile harufu hata ukioga IPO tu. Mwisho wake niliamua kumuacha kimyakimya.
Najua wako wengi wenye hiyo changamoto. Tunawasaidiaje?
Piga mashine. Achana mambo yasiyokuhusuNiliwahi kuwa na mrembo fulani mzuri kweli kweli, lakini sasa wakati wa tendo ile harufu hata ukioga IPO tu. Mwisho wake niliamua kumuacha kimyakimya.
Najua wako wengi wenye hiyo changamoto. Tunawasaidiaje?
Nyapu zinakaharufu flani,Zina kaharufu kanakovutia na kale kanako kera kisa uchafu aka kisamaki.Ila kuna zile zinatema kama panya kafia ndani,mostly ukichunguza utakuta katoa mimba kienyeji na hawakusafisha vyema.Kuna pisi Moja nlikuwa nayo field mkoa x,ofisini kila mtu akawa anamkwepa kisa anatema,zikaanza za ndani kuwa katoa mimba,ye mwenyewe akawa hata hajui anatikisa tu Tako na alikuwa nalo kweli ndio kisa nikatupa ndoano,na kwakuwa wengi walimkwepa Hadi wahuni,competition ikawa rahisi.Jioni tumebaki boardroom,piga mate,Ile napima oil mtoto Wala hapingi naskia tu miguno,ila kifupi nlivyochomoa kidole Ilikuwa mwanzo na mwisho,wa mazoea na kidole kilinuka wiki 2.Ila alikuja kupona baada ya madem wenzie kumkalisha chini.
Tatizo lIko hapo,huwa hawajisikii ile harufuHii inshu ni tatizo kubwa kuna binti mmoja niliijikaza miez kama sita sikumtell. Siku nikamwambia kiupole tu alitaka kunywa sumu akasema namtaftia 7bu ya kumkacha kumbe sio, tangu siku iyo nikikuta kidagaa ni goli 1 tu kulipia gharama za kuzungushwa then Nablock number. 😎
Muogeshe kisha kula mzigoNdugu zangu wana Jf.
Sina mengi leo ila ukweli ni kwamba kuna ongezeko la wimbi kubwa la wanawake kutoa harufu mbaya sehemu zao za siri ikiwemo uke, matrakoo, kwapa na kwenye kona za matritri..
Ndugu unakuta mwanamke anuka siyo kawaida, sii akitoa nguo , sii akipunguza nguo harufu ni balaa, ndugu zangu hali inakua mbaya sana pindi unapotaka kunyandua hasa hasa pale anapokua kama alivyo zaliwa
Mtoto akikufungulia mabawa unakosa oksijeni kabisa mithili ya kufa kufa hivi, ndugu zangu kwa wenye roho ngumu na moyo mgumu kama chuma cha pua tunakaza kuwaambia ukweli wananuka nyuchi pamoja na maeneo yanayo fanana na hayo. ila kwa upande mwingine inabidi tukomae kidogo kunyandua ili asijisikie vibaya baada ya kumwambia ukweli anatoa harufu ila tunateseka sana ndugu wanaume.
Najiuliza sana haya maswali
1: je, hawa wanawake wanaotoa harufu mbaya ukeni, kwapani, kwenye trakoo na chini ya matritri kwenye hako ka uvungu ni kwamba hawasikii harufu hii mbaya au ni makusidi wanatufanyia sisi wanaume?
2: Na kama wanaisikia harufu hii mbaya inayowatoka ni kwanini basi wanakubali tukae nao faragha na wakati mwingine tuwanyandue hivyo hivyo badala ya kujitibu kwanza ili kutunza stara zao kama wanawake?
Ndugu , kwa kweli inasikitisha sana mwanamke unakuta ni mzuri tuu, mtoto kaumbika , mpole tuu , binti na nywele na trakoo lake lakini anatema harufu mbaya sana kama mzoga yani sikawaida kwa kweli.
Inasikitisha na kukatisha sana tamaa kwa kweli.
Hebu wanawake jitahidini usafi na wale ambao hamtoi harufu mbaya maeneo ya starehe, basi hebu wasaidieni hawa wenzenu mnapo kua nao najua na nyie mnakasikia hako kaarufu ila mnakaza mafuvu tuu.
Hela tunazo waonga wadada jitahidini mzitumie hata kujitibia haya maharufu maana mnakera sana.
Nb: SIYO KWAMBA TUMESUSA KUWATONGOZA , TATIZO MNATAKA HELA NA BADO MNATOA HARUFU MBAYA SEHEMU NYETI.