Tunawashukuru sana Marekani kwa kukikata meno kikosi cha Wasiojulikana!

Hapo unapoandika nahakika kuna watu wanajua upo wapi na upuuzi wako wanakucheki tu. Ila kwa uungwana tu wanaamua kukuacha.Maana hata wakidili na wewe ni kupoteza muda.
Mkuu unataka kusema waliokuwa wanateka watu na kuwaua ni hawa hawa tuliowaamini watuongoze au mie sijakuekewa?
 
Mbona hujaongelea waliokuwa wanavamia misafara ya askari wetu na kuwapora silaha na kuwahua? Mbona ujaongelea genge LA wezi na majambazi wa kuvamia mabenk? Sasa hivi wapo?
Ni kweli,lkn siyo warrant ya utekaji na mauwaji ya kipuuzi yalishamiri awamu ya tano.
 
Duh!
Afadhali.
Lisu anarudi lini sasa tukampokee.
 
Ata waliokua wanavamia vyombo vya Habari kama mawingu
Hawa wetu hawalali kwa ajiri ya ccm si taifa letu,wangekuwa wanafanya kazi kwa ajiri ya taifa Magufuli asingekuwa rais wa nchi hii hadi sasa
 
Marekani wenyewe wanao wasiojulikana wanaua watu kwa maslahi ya Wamarekani, haya mambo yapo tu...!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala siyo wasiojulikana. Tatizo ni watu kujipeleka matatizoni. Si umeona watu wakienda kwenye lango la gereza kuigiza siasa?
 
Hii serikali ya Magufuli ilisalitiwa nini?
 
Baada ya RC dsm kutajwa nashangaa serikali sikivu inayowajali watu wake haijaomba USHAHIDI WA KUHUSIKA KWA HUYU BASHITE
 
Watu wamejifunza kutumia lugha za staha. Maana bila action baadhi yenu hamuelewi.Huwezi kukosoa kwa matusi eti kisa unatumika.
Oooh kumbe siku hizi adhabu ya kutukana na kunyanganywa haki ya kuishi? Sasa naamini tunaondozwa na mjukuu wa shetani
 
Mawazo ya masikini haya
 
Kuna uzi mmoja wa nyati wanaongea "big achana na bwege huyo anakupotezea muda twende zetu"

Basi hao nyati walikuwa wanamwambia mwenzao aachane na wewe[emoji1787][emoji1787] mleta uzi ni ngeke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…