Tunawashukuru sana Marekani kwa kukikata meno kikosi cha Wasiojulikana!

Msisahau pia ugaidi hausikiki tena kila mtu anapambana na hali yake


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
WASIOJULIKANA WALIKUWA WANAKULA HELA ZA BURE HADI FUNGU LIKAISHA.WALICHOKIFANYA WAKAANZA KUTEKA WAFANYABIASHARA NA WATU WENYE KIASI KIKUBWA CHA FEDHA.

WALIMALIZA BAJETI ZOTE HADI WAKAWA WANACHUKUA FEDHA ZA MAENEO MENGINE.

KUNA WATU WENYE FEDHA NYINGI KWEYE AKAUNTI NAO WALINYANG'ANYWA, KUNA WATU WALISINGIZIWA WANADAIWA KODI ZA MWAKA 2001, WENGINE 2005 ILI MRADI TU HELA ZIPATIKANE...MWISHO WA SIKU WAKAISHIWA PUMZI!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wameuua wanasiasa wengi amerika ya kusini kwa maslahi yao ya kibepari. Hawana uhalali wa kimaadili wa kuongelea mauaji ya ndani ya nchi moja tu ya afrika.
Kw maneno mengine unakiri kuwa kuna mauaji ndani ya nchi yetu ila Marekani haina moral authority kuongelea mauaji hayo. Sawa?
 
Kiherehere tu😀
 
Nawaongelea wamarekani na namna ambavyo tunawapapatikia kana kwamba wametoka sayari nyingine wakati wanayo madhambi mengi tu.

Wayahudi na Wajerumani walishayapatia suluhu yale yote ya miaka ya nyuma.
Kwa nini tunawapapatikia? Tujiulize kwanza. Mind you, si wewe wala mimi bali ni viongozi wa taifa letu ndo wanapapatikia.
 
Baada ya RC dsm kutajwa nashangaa serikali sikivu inayowajali watu wake haijaomba USHAHIDI WA KUHUSIKA KWA HUYU BASHITE
Waliambiwa wathubutu waone. Tatizo hawajui USA wana ushahidi kiasi gani, na unaenda hadi wapi. Kuna mtu alitaja tu "tuna picha za satelite za baadhi ya matukio" wakafyata mkia!
 
Oooh kumbe wanajulikana na siajabu Kodi zetu ndo zinatumika kufadhili ugaidi?
Hilo ndilo linalouma sana! Yaani kodi yetu halafu inatumika kuua watu wetu.

Na hao waliokuwa kwenye Kikosi cha Wasiojulikana wana laana mbaya sana. Hiyo hela waliyokuwa wanavuta itawatokea puani. IPo siku.
 
Marekani wenyewe wanao wasiojulikana wanaua watu kwa maslahi ya Wamarekani, haya mambo yapo tu...!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, unajielewa lakini? Hakuna kitu ambacho Marekani wanaogopa na hawawezi kuthubutu kama kama serikali kuua raia wa Marekani kwa sababu za kisiasa. Marekani wataua sana lakini sio raia wake wenyewe - yaani hilo ni jambo ambalo hawawezi hata kuliingiza kichwani. Katika dhambi zote - eti Trump amuue mtu wa Democrats kwa kuwa amekuwa anamkandia sana? Weee, weee, wee! Hata kudukua simu tu za mtu wa upinzania Trump atapata taabu sana!
 
Mbona hujaongelea waliokuwa wanavamia misafara ya askari wetu na kuwapora silaha na kuwahua? Mbona ujaongelea genge LA wezi na majambazi wa kuvamia mabenk? Sasa hivi wapo?
Hayo mliyafanya wenyewe kwa lengo la kuwalaghai Watanzania.

Matukio ya kuchomwa Makanisa na kuvamiwa Mapadri kule Zanzibar,Matukio ya Kibiti,Tukio la Tundu Lissu.

Tukio la kupigwa bomu ofisi ya Fatma Karume,Tukio la kuchomwa Moto hoteli ya Fatma Karume,Tukio la Ben Sanane,Tukio la mwandishi wa habari aliefatilia Matokeo ya kibiti,nk

Hayo yote ni matukio yaliyopata baraka kutoka kwa Watawala, lengo ni kuleta taharuki,

lengo ni kutisha na kuwaweka watu katika woga ili Watawala wafanye yao,wasiulizwe Wala kuhojiwa na uma wa Watanzania..

God bless Tanzania and it's people..
 
Kabla hawajatoa Onyo walikutana na Mwenye kikosi na kumweleza ana kwa ana kuwa tunajua wewe ndio umekiunda na kukifadhili, kisambaratishe mara moja wakasema " we are not going to repeat" kama unavyojua mmarekani akisema jambo ana ushahidi 100%. Tangu hapo siraha iliyobaki ni uhujum uchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…