Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Msisahau pia ugaidi hausikiki tena kila mtu anapambana na hali yake
Sent from my iPhone using Tapatalk
Sent from my iPhone using Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mwenyewe ni Shoga sema unawaonea wivu mashoga wenzako wanapotinduliwa.Pompeo lile linakasrika mashoga yakiguswa halijui chochote kuhusu mambo mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha masikini mkichwaWewe mwenye kuona hayo ni mawazo ya maskini unaweza kuwa maskini kuliko unavyojidanganya kwamba wewe sio maskini.
Kw maneno mengine unakiri kuwa kuna mauaji ndani ya nchi yetu ila Marekani haina moral authority kuongelea mauaji hayo. Sawa?Wameuua wanasiasa wengi amerika ya kusini kwa maslahi yao ya kibepari. Hawana uhalali wa kimaadili wa kuongelea mauaji ya ndani ya nchi moja tu ya afrika.
Kiherehere tu😀Ueni tena muone makali ya Pompeo! Mmeshafanywa kitu mbaya. Saa hizi mnajikomba kila mkitaka kufanya kitu mnatuma ujumbe kuomba ruhusa au kujieleza. Oooh uchaguzi utakuwa huru. Nani kawauliza? Ni nchi ngapi mmetuma ujumbe kueleza uchaguzi utakuwa huru? Mmezoea kuwafanyia watu kitu mbaya mkifanyiwa nyie kelele nyiiingi!
Kwa nini tunawapapatikia? Tujiulize kwanza. Mind you, si wewe wala mimi bali ni viongozi wa taifa letu ndo wanapapatikia.Nawaongelea wamarekani na namna ambavyo tunawapapatikia kana kwamba wametoka sayari nyingine wakati wanayo madhambi mengi tu.
Wayahudi na Wajerumani walishayapatia suluhu yale yote ya miaka ya nyuma.
Nyie ndiyo hata mkiambiwa tuipige uingereza unasema tunaipiga tuWakati mwingine kumkumbusha tu kwamba kuna watu huwa hawalali kwa ajili ya taifa lao.
Unaota? Umekunywa chimpumu? Unajua upo wapi? Au umevuta bangi?Nyie ndiyo hata mkiambiwa tuipige uingereza unasema tunaipiga tu
Waliambiwa wathubutu waone. Tatizo hawajui USA wana ushahidi kiasi gani, na unaenda hadi wapi. Kuna mtu alitaja tu "tuna picha za satelite za baadhi ya matukio" wakafyata mkia!Baada ya RC dsm kutajwa nashangaa serikali sikivu inayowajali watu wake haijaomba USHAHIDI WA KUHUSIKA KWA HUYU BASHITE
Hilo ndilo linalouma sana! Yaani kodi yetu halafu inatumika kuua watu wetu.Oooh kumbe wanajulikana na siajabu Kodi zetu ndo zinatumika kufadhili ugaidi?
Mkuu, unajielewa lakini? Hakuna kitu ambacho Marekani wanaogopa na hawawezi kuthubutu kama kama serikali kuua raia wa Marekani kwa sababu za kisiasa. Marekani wataua sana lakini sio raia wake wenyewe - yaani hilo ni jambo ambalo hawawezi hata kuliingiza kichwani. Katika dhambi zote - eti Trump amuue mtu wa Democrats kwa kuwa amekuwa anamkandia sana? Weee, weee, wee! Hata kudukua simu tu za mtu wa upinzania Trump atapata taabu sana!Marekani wenyewe wanao wasiojulikana wanaua watu kwa maslahi ya Wamarekani, haya mambo yapo tu...!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mliyafanya wenyewe kwa lengo la kuwalaghai Watanzania.Mbona hujaongelea waliokuwa wanavamia misafara ya askari wetu na kuwapora silaha na kuwahua? Mbona ujaongelea genge LA wezi na majambazi wa kuvamia mabenk? Sasa hivi wapo?
Kilichokuchekesha hasa nini ndugu ns pole kwa msiba
NA YUKO MBIONI KURUDI KAMA MWEWE KUJA KUSAFISHA UOZO NA KUTUVUSHA MTO JORDANIKuna mtu alishasema hivyo na wasiojulikana wakamshindwa,Mungu ni mwema
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla hawajatoa Onyo walikutana na Mwenye kikosi na kumweleza ana kwa ana kuwa tunajua wewe ndio umekiunda na kukifadhili, kisambaratishe mara moja wakasema " we are not going to repeat" kama unavyojua mmarekani akisema jambo ana ushahidi 100%. Tangu hapo siraha iliyobaki ni uhujum uchumi.Marekani walijua kabisa kwamba kulikuwa na kikosi kilichobatizwa jina la "Wasiojulikana" hapa nchini, kikosi ambacho kilijikita katika kuteka watu na hata kuua. Na Marekani waliona wazi kwamba wahanga wa kikosi hiki cha Wasiojulikana walikuwa ni kutoka vyama vya upinzani pamoja na waandishi wa habari na wananchi kwa ujumla walioikosoa serikali. Pia kulikuwa na wafanya biashara wakubwa ambao walionekana kutenda kinyume na matakwa ya serikali,
Na jambo jingine Marekani waliloona wazi ni kwamba siku zote Polisi hawakuonyesha nia ya dhati ya kushughulikia na kupepeleza kesi au matukio yaliyofanywa na hiki kikosi cha Wasiojulikana. Mara nyingone Polisi walitoa matamko ya kuwalaghai na kuwapoteza lengo wananchi pale ilipohusu matukio ya Wasiojulikana.
Ndipo Marekani wakaamua kuingilia na kuwaokoa watanzania walioendelea kuwa wahanga wa kikosi hiki cha Wasiojulikana. Wakatuma ujumbe. Wakatoa onyo.
Tunawashukuru sana Marekani kwa jambo hili. Ni wazi kuingilia kwenu kumeokoa maisha ya Watanzania wengi na kutoa ahueni kubwa. Tunajua watu wegi walikuwa kwenye "hit list" ya hiki kikosi cha Wasiojulikana na kama sio kuingilia kwenu wengi wangeumizwa au kutoweshwa. Lakini bado tunaomba mwende mbali zaidi na kufunua wazi nani waliohusika na kikosi cha Wasiojulikana, na kiliundwa kwa amri ya nani. Damu za waliopota zinatulilia tuwafanyie hilo.