Tunawashukuru sana Marekani kwa kukikata meno kikosi cha Wasiojulikana!

Enzi za Nyerere kulikuwa na upinzani unaojulikana kikatiba?. Walikuwepo wanasiasa walioteswa, kumbuka magazeti yalikuwa ni ya serikali, hakukuwa na free media kama leo hii.

Kina Ulimboka waliofanyiwa ukatili ilikuwa ni awamu ya JPM?.

Kombe aliyepigwa risasi licha ya kunyoosha mikono kusalimu amri ya kukamatwa, ilikuwa ni awamu ya JPM?.

Kambona aliyelazimika kuishi uhamishoni Uingereza, ilikuwa ni awamu ya tano?.
Hayo hayakufanywa na vikosi vya mauaji vya kisiri. Walikuwa TISS ambao kila mtu aliwajua. Sasa kama KIkwete aliwatumia TISS vibaya katika suala la Ulimboka haihalalishi uundaji wa kikosi cha Wasiojulikana, kikosi rasmi kisicho rasmi. Na pia Nyerere, kama unavyosema katika mazingira yale ya chama kimoja Nyerere alitumia mamlaka yake kuwakamata watu waliopinga serikali na waliwekwa gerezani "kihalali"

Inabidi uwe na akili za mwendawazimu kulinganisha kikosi cha Wasiojulikana na mambo ambayo yalifanywa na mtu kama Nyerere dhidi ya watu waliopinga serikali katika siasa za chama kimoja. Wakati huo hayo yalikuwa mazingira ya uhaini. Upinzani wa sasa ni uhaini? KItendo gani cha kihaini kimefanywa na Ben Saanane, Lissu? Upinzani upo upo kisheria. Sasa kwa nini umfanyie udhalimu mtu anaekupinga na kukukosoa kisheria? Kama amekutukana mpeleke mahakamani sio umuundie kikosi cha Wasiojulikana kitakachomshughulikia kisiri.

Haikuwa siri kina Kambona kutafutwa na serikali, kina Kamaliza, Bibi Titu, Mapalala, kuwekwa ndani.Hata jeshini tuliimba Kambona aliagiza Chipaka na Kamaliza pindueni nchi mkiweza. HUo ulikuwa uhaini.
 
Hivi akina Ulimboka ni wangapi? Hivi kuwepo kwa hivyo vitendo awamu hizo ni kuhalalisha ata awamu hii hivyo vitendo viwepo?
Huwezi kuvikwepa hivyo vitendo kwa kuandika tu humu JF, unajua mhusika mkuu ni nani?, sababu zake unazijua?.
 
Hayo hayakufanywa na vikosi vya mauaji vya kisiri. Walikuwa TISS ambao kila mtu aliwajua. Sasa kama KIkwete aliwatumia TISS vibaya katika suala la Ulimboka haihalalishi uundaji wa kikosi cha Wasiojulikana, kikosi rasmi kisicho rasmi. Na pia Nyerere, kama unavyosema katika mazingira yale ya chama kimoja Nyerere alitumia mamlaka yake kuwakamata watu waliopinga serikali na waliwekwa gerezani "kihalali"

Inabidi uwe na akili za mwendawazimu kulinganisha kikosi cha Wasiojulikana na mambo ambayo yalifanywa na mtu kama Nyerere dhidi ya watu waliopinga serikali katika siasa za chama kimoja. Wakati huo hayo yalikuwa mazingira ya uhaini. Upinzani wa sasa ni uhaini? KItendo gani cha kihaini kimefanywa na Ben Saanane, Lissu? Upinzani upo upo kisheria. Sasa kwa nini umfanyie udhalimu mtu anaekupinga na kukukosoa kisheria? Kama amekutukana mpeleke mahakamani sio umuundie kikosi cha Wasiojulikana kitakachomshughulikia kisiri.

Haikuwa siri kina Kambona kutafutwa na serikali, kina Kamaliza, Bibi Titu, Mapalala, kuwekwa ndani.Hata jeshini tuliimba Kambona aliagiza Chipaka na Kamaliza pindueni nchi mkiweza. HUo ulikuwa uhaini.
Hawa wasiojulikana unawajua vizuri?, unaweza kuwataja kwa majina yao?. sababu za wanayoyafanya unazijua?.

Tujiulize maswali mengi magumu kukwepa hukumu za jumla jumla.
 
Wasiojulikana wamekuwepo nchini tangu enzi za Nyerere, wakati huo JPM alikuwa mwanafunzi wa sekondari.

Wasiojulikana wa hatari zaidi walikuwepo enzi za Idd Amin kule Uganda, kulikuwa na mtu anaitwa Maliyamungu aifanya unyama kuliko huu wa hapa TZ.

Wasiojulikana mwalimu wao ni CIA ya Marekani, wameteka watu na kuua kila kona ya dunia. Bora hawa wasiojulikana kuliko Trump na marais wa Marekani wanaoua watu na kujisifu bila ya kuogopa mtu yoyote yule.
Kwa kuwa Hitler aliuwa watu wengi kuliko Iddi Amin, Maliyamungu, na wengineo kwa hiyo hiyo inahalalisha huyo mwendawazimu auwe watu na kuwatesa!?
 
Unao ushahidi usiotia shaka kwamba anawauwa watu?. Au ni mwendelezo wa hisia tu za kila mtu.
 
Ushahidi huo unatakiwa uulete wewe unayehalalisha uovu kwa vile tu ushawahi kufanywa na wengine katika tawala hapo awali. Otherwise sielewi kwa nini umewataja hao madhalimu wengine waliopita kama Maliyamungu na wenzake.
 
Ttzo waafrika hatusomi historia tumekoma na WW1 & WW2 ambapo haitufumbui chochote na uhalisia wa tulipotoka na tunapoenda kama taifa mwisho wa siku ndo vijana wameanza kuwa na utumwa wa fikra juu ya wazungu,kama umesoma migogoro ya kisiasa Afrika utagundua wazungu ndio wanaoitengeza migogoro mingi tu Afrika na wanatumia sana propaganda ili kuwagawa wananchi ili iwe nyepesi kuja kutunyonya tena mf huwa najiuliza kwa akili za kawaida katekwa Roma watu wakapaza sauti akaachiwa Mara mbuge kapigwa risasi Dodoma huku akafuatia Dogo wa UDSM baadae ikaonekana ni alikuwa kwa kimada Iringa muda si muda kafuata Dewji sasa kwa akili ww ungekuwa kiongozi ungejihatarisha kwa kuwateka watu na ushaona muitikio wa wananchi ni mkubwa kukemea na ukizingatia uchaguzi ni 100% kupita,sasa hapo naonaga kama kuna political propaganda ikitumika kama weapon dhidi ya chama tawala na chama tawala hapa wamezidiwa kete na tulipokuwa makini Tanzania tunaelekea kuwa kama Somalia na Libya maana hawa wanaoenda USA hatujui nini wanakipika huko kikubwa tuombe mungu atujaalie tu maana hata Somalia,Libya,Syria na Congo walikuwa kama sisi ila political propaganda zimewafikisha pale walipo Leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uovu huwezi kuukwepa duniani. Tunapoingia makanisani sisi wakatoliki tunaanza na kutubu dhambi zetu, huwezi kuukwepa uovu.

Ni kuendeleza siasa za bei rahisi kuamini kwamba kuna siku maisha ya mwanadamu hayatakuwa na uovu wa aina yoyote ile.
 
Jamani...hivi huko serious au unatania? Mfano wazungu uliwasikia lini wakisema wapinzani wauwawe?
 
Uovu huwezi kuukwepa duniani. Tunapoingia makanisani sisi wakatoliki tunaanza na kutubu dhambi zetu, huwezi kuukwepa uovu.

Ni kuendeleza siasa za bei rahisi kuamini kwamba kuna siku maisha ya mwanadamu hayatakuwa na uovu wa aina yoyote ile.
Kutokua na imani kwamba uovu kuisha ni vigumu akuwezi kuhalalisha maovu kutendeka mkuu
 
Kuhalalisha kwako au kutokuhalalisha kwako hakuondoi ukweli kwamba uovu ulikuwepo kabla hujazaliwa, upo sasa na utaendelea kuwepo mpaka tutakapofukiwa makaburini.
 
Jamani tusiwe wachoyo tuwaombee na wenzetu kule marekani ili Pompeo awaonesho upendo maana watu wanaojulikana(polisi wazungu) watawamaliza ndugu zetu.
 
Hawa jamaa walizidi saana yaani kutekana kijinga kijinga.
 
Uovu huwezi kuukwepa duniani. Tunapoingia makanisani sisi wakatoliki tunaanza na kutubu dhambi zetu, huwezi kuukwepa uovu.

Ni kuendeleza siasa za bei rahisi kuamini kwamba kuna siku maisha ya mwanadamu hayatakuwa na uovu wa aina yoyote ile.
Kama ni hivyo sawa wacha wasiojulikana waendelee kuwadhuru na kuwaua wanaowapinga na ninyi mnaonawashabikia endeleeni kuwashabikia wataenda kutubu kanisani.
 
Ukishazikwa ndio mwisho wa habari zote za uovu, maadam bado unapumua inabidi uvumilie tu hakuna jinsi.
 
Mauaji yapo dunia nzima na sababu hutofautiana kati ya nchi moja na nyingine.

Wanaoishi ni binadamu wenye udhaifu wa kibinadamu.
At least umekubali kuwa mauaji yanatendeka na hata kama ni mauaji ya mtu mmoja ni lazima tuyakemee.
 
Kuhalalisha kwako au kutokuhalalisha kwako hakuondoi ukweli kwamba uovu ulikuwepo kabla hujazaliwa, upo sasa na utaendelea kuwepo mpaka tutakapofukiwa makaburini.
Ila mkuu kwanini nyie akina ngosha mnaona kumtoa mtu roho ni jambo la kawaida? Maana kuanzia kwa albino mpaka vikongwe aisee
 
Ac
Hapo unapoandika nahakika kuna watu wanajua upo wapi na upuuzi wako wanakucheki tu. Ila kwa uungwana tu wanaamua kukuacha.Maana hata wakidili na wewe ni kupoteza muda.
[/QUOTE

Acheni kutisha watu, fanyeni kazi kulingana na sheria na taratibu zilizowekwa.

Tiini kielelezo au analogy ya "kuivaa-kuishikilia-ama kuzama na kunywa rangi ya bendera ya nchi yetu" na sio kutii na kuzama ktk mapenzi na matakwa ya mtu yaliyo kinyume na katiba na sheria za nchi.
 
Back
Top Bottom