Tunaweka rekodi sawa, Hayati Magufuli alikuta ukusanyaji mapato upo chini akakusanya na kuyatumia vyema. Je sasa? Voyages

Inasikitisha sana kwa nini watu wanakuwa na tafsiri tofauti juu ya mtu kuzungumzia ukweli wa suala husika. Lakini mtu anakuwa na povu ambalo halihusiki kabisa.

Nani asiyejua kuwa hayati JPM ndio alianzisha mfumo kuwa mapato yote ya serikali yawe centralized na pesa zote ziingie hazina. Huko nyuma ilikuwa ni upigaji tu. Pesa nyingi zilipotea mikononi mwa wajanja wachache.

Alipoingia madarakani tu pesa nyingi akakukusanya na zikatumika bila kificho kwa manufaa ya umma. Mapato ya serikali yakapanda kutoka bil 700 mpaka tril 1.7 kwa mwezi.

Leo hii baada ya mapato kupanda pesa za umma zinafanyiwa anasa kwa safari za ughaibuni zisizokwishwa.

Wapuuzi wachache na wajinga sana wakisikia tunasema kweli wanaleta kebehi za kipuuzi.

Naona unapulizia kinyesi perfume.
 
Maamuzi mabaya kama yapi? Kukusanya mapato ya serikali na kuyatunza hazina? Kufufua miundo mbinu ya usafiri wa majini? Au maamuzi yapi kwa mfano?
1. Je unakumbuka ripoti ya CAG Assad kuhusu ile 1.5 Trilioni iliyopotea kwenye ofisi na hakukuwa na taarifa yeyote? Assad kiongozi asiye na woga kwa binadamu bali kwa Mola wake aliuweka uwazi juu ya matumizi mabaya ya pesa ile ambayo hadi leo hakuna maelezo ya kueleweka.

2. Unakumbuka Bilions zilizotumika na baadhi ya viongozi kwenda India matibabu enzi hizo akiwemo Sipiker na Makounder? Ni miongoni mwa matumizi mazuri?

3. Kutumia pesa pasipo kupitishwa na bunge ama kinyume cha bajet kwa jinsi tu mtu mmoja anawaza ndio matumizi mazuri ya pesa za umma?
4. Ujenzi wa uwaja wa ndege wa kimataifa kijijini wakati makao makui ya serikali haina uwanja kama huo, unaona hilo ni jambo jema? Huoni huo ni ubinafsi mmaya sana?
5. Watu waliojenga karibu na barabara Dar ni sawa kubomolewa nyumba zao ila wale wa Kanda ya...wao hawatakiwi kuvunjiwa, kwa sababu ni wapiga kura. Unaona hiyo ni haki?
6. Kukandamiza haki za wafanyakazi na za kisiasa ambazo zipo kikatiba na kisheria hiyo nayo ni sawa? Unamnyima mtu stahiki zake za nyongeza ya mishahara ama kumpandishia kiwango cha makato (mfano Loan Board) ili tu uzikusanye na kuzizuia pesa nyingi toka kww mfanyakazi huku yeye akiumia, unaona pia hilo ni sahihi?

7...niendelee??

Kiufupi, tumuache Mama yetu afanye kazi yake kama wale waluopita nao walivyofanya kwa namna wamefanya.

Mh. Rais ameona namna watu wameteseka muda flani na sasa anatibu kwanza vidonda tupone vzr ndipo tuongeze kasi kukuza uchumi.

Mwaka Mmoja lakini amefanya mambo mengi mazuri kww watu. Ukweli tuuseme.
 
..alitumia fedha alizokusanya vibaya.

..mfano mmoja ni manunuzi ya midege inayotutia hasara kila mwaka.

..au kutumia fedha zetu kujenga mji mkuu dodoma halafu anakwenda kukopa WB kwa ajili ya elimu.
Hapo Chadema mkopo gani mliutumia vizuri.

Ni Afadhali ndege tunaziona kuliko Visima vya Sabodo ambavyo hatujawahi kuviona
 
Inasikitisha sana kwa nini watu wanakuwa na tafsiri tofauti juu ya mtu kuzungumzia ukweli wa suala husika. Lakini mtu anakuwa na povu ambalo halihusiki kabisa.

Nani asiyejua kuwa hayati JPM ndio alianzisha mfumo kuwa mapato yote ya serikali yawe centralized na pesa zote ziingie hazina. Huko nyuma ilikuwa ni upigaji tu. Pesa nyingi zilipotea mikononi mwa wajanja wachache.

Alipoingia madarakani tu pesa nyingi akakukusanya na zikatumika bila kificho kwa manufaa ya umma. Mapato ya serikali yakapanda kutoka bil 700 mpaka tril 1.7 kwa mwezi.

Leo hii baada ya mapato kupanda pesa za umma zinafanyiwa anasa kwa safari za ughaibuni zisizokwishwa.

Wapuuzi wachache na wajinga sana wakisikia tunasema kweli wanaleta kebehi za kipuuzi.
Kama hutoshushiwa mvua ya mawe ya walamba asali subiria comment hapo hakuna mtu anaweza kukuelewa mkuu! zaidi utaambiwa wewe ni sukuma gang na ukamfufue ndiyo maneno sasa hivi ukiisema serikali ya sasa khjirekebisha wanaona wewe haufai hata kidogo
 
1. Je unakumbuka ripoti ya CAG Assad kuhusu ile 1.5 Trilioni iliyopotea kwenye ofisi na hakukuwa na taarifa yeyote? Assad kiongozi asiye na woga kwa binadamu bali kwa Mola wake aliuweka uwazi juu ya matumizi mabaya ya pesa ile ambayo hadi leo hakuna maelezo ya kueleweka.

2. Unakumbuka Bilions zilizotumika na baadhi ya viongozi kwenda India matibabu enzi hizo akiwemo Sipiker na Makounder? Ni miongoni mwa matumizi mazuri?

3. Kutumia pesa pasipo kupitishwa na bunge ama kinyume cha bajet kwa jinsi tu mtu mmoja anawaza ndio matumizi mazuri ya pesa za umma?
4. Ujenzi wa uwaja wa ndege wa kimataifa kijijini wakati makao makui ya serikali haina uwanja kama huo, unaona hilo ni jambo jema? Huoni huo ni ubinafsi mmaya sana?
5. Watu waliojenga karibu na barabara Dar ni sawa kubomolewa nyumba zao ila wale wa Kanda ya...wao hawatakiwi kuvunjiwa, kwa sababu ni wapiga kura. Unaona hiyo ni haki?
6. Kukandamiza haki za wafanyakazi na za kisiasa ambazo zipo kikatiba na kisheria hiyo nayo ni sawa? Unamnyima mtu stahiki zake za nyongeza ya mishahara ama kumpandishia kiwango cha makato (mfano Loan Board) ili tu uzikusanye na kuzizuia pesa nyingi toka kww mfanyakazi huku yeye akiumia, unaona pia hilo ni sahihi?

7...niendelee??

Kiufupi, tumuache Mama yetu afanye kazi yake kama wale waluopita nao walivyofanya kwa namna wamefanya.

Mh. Rais ameona namna watu wameteseka muda flani na sasa anatibu kwanza vidonda tupone vzr ndipo tuongeze kasi kukuza uchumi.

Mwaka Mmoja lakini amefanya mambo mengi mazuri kww watu. Ukweli tuuseme.
Mbunge wa Chadema mh Kaboyoka alisema Zitto ni mzushi tu kwani PAC ilibaini hiyo 1.5T imetumika kihalali kabisa
 
Hakuwa na nia mbaya kufufu Atcl iliyokuwa imeuliwa na wahuni wa CcM

Kosa ni kutokuwa na mkakati mzuri wa biashara ya ndege kwa manufaa ya raia wa Tanzania.

Kukopa pesa WB ni sehemu ya maisha ya mataifa maskini
Kwaio mama kwenda nje ndio anaenda kwa nia mbaya?
 
Ile trillion 1.5 ilipotelewaga wapi?
Huyu JPM ndo raid fisadi zaidi kuwahi kutokea katika history ya nchi hii. Ni vile TU alivibana vyombo vya habari na bunge kuliweka mfukoni kwake.
Ila huyu mwamba alikuwa zaidi ya jambazi.
 
Inasikitisha sana kwa nini watu wanakuwa na tafsiri tofauti juu ya mtu kuzungumzia ukweli wa suala husika. Lakini mtu anakuwa na povu ambalo halihusiki kabisa.

Nani asiyejua kuwa hayati JPM ndio alianzisha mfumo kuwa mapato yote ya serikali yawe centralized na pesa zote ziingie hazina. Huko nyuma ilikuwa ni upigaji tu. Pesa nyingi zilipotea mikononi mwa wajanja wachache.

Alipoingia madarakani tu pesa nyingi akakukusanya na zikatumika bila kificho kwa manufaa ya umma. Mapato ya serikali yakapanda kutoka bil 700 mpaka tril 1.7 kwa mwezi.

Leo hii baada ya mapato kupanda pesa za umma zinafanyiwa anasa kwa safari za ughaibuni zisizokwishwa.

Wapuuzi wachache na wajinga sana wakisikia tunasema kweli wanaleta kebehi za kipuuzi.
Unahangaika kumpamba marehemu kwa uongo..

Na hujaweka takwimu ukijua fika kwamba unaongea uongo na utawashika mburula kibao..

Sasa nawekwa takwimu sahihi kwa mujibu wa Waziri Mpango, Mwendazake aliacha mapato kwa Mwezi ni wastani WA 1.5T kutoka Bil.825 na sio Upotoshaji uliouandika.👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220618-092713.png
    Screenshot_20220618-092713.png
    70.2 KB · Views: 4
Unateseka ukiwa wapi kiongozi ? JPM alitumia pesa bila kificho kweli ?? Yeye si ndio aliongoza kwa kukopa kisirisiri ! Akaharibu uchumi mpaka kushindwa kuajiri na kupandisha mishahara !!?

Inaonekana wakati wake ulinufaika sana.
 
Hakuwa na nia mbaya kufufu Atcl iliyokuwa imeuliwa na wahuni wa CcM

Kosa ni kutokuwa na mkakati mzuri wa biashara ya ndege kwa manufaa ya raia wa Tanzania.

Kukopa pesa WB ni sehemu ya maisha ya mataifa maskini
CCM tengenezeni mifumo imara, mifumo isiyomtambua mtu bali ufanisi na uweledi.

Mnateseka kwa sababu ya mifumo mibovu iliyopo. Ukiwa jikoni unakaa kimya HUONGEI ukitolewa jikoni ndio unajifanya kuongea ongea.
 
Kama hutoshushiwa mvua ya mawe ya walamba asali subiria comment hapo hakuna mtu anaweza kukuelewa mkuu! zaidi utaambiwa wewe ni sukuma gang na ukamfufue ndiyo maneno sasa hivi ukiisema serikali ya sasa khjirekebisha wanaona wewe haufai hata kidogo
Serikali ya sasa imetenda na inatenda haki acheni ujinga wenu.
 
Kwa hili la kukusanya pesa zote BOT alifanya kazi kubwa sana.
But
Hili la kutoa pesa kwenye The consolidated fund bila idhini ya bunge alipuyanga mno.
 
Uliopo sasa ni mfumo wa kibepari unaohamishia mzigo kwa watu wa kipato cha chini.
Alaa kwa sababu watu wa kioato cha chini walikuwa hawalipi Kodi sio? 😂😂.

Hakuna hata siku mtakuja kuongea kwa kuweka ushahidi wa Takwimu kwa sababu mnafahamu ni uongo..

Nawaumbua kwa Takwimu 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220618-092713.png
    Screenshot_20220618-092713.png
    70.2 KB · Views: 4
Kama hutoshushiwa mvua ya mawe ya walamba asali subiria comment hapo hakuna mtu anaweza kukuelewa mkuu! zaidi utaambiwa wewe ni sukuma gang na ukamfufue ndiyo maneno sasa hivi ukiisema serikali ya sasa khjirekebisha wanaona wewe haufai hata kidogo
Na wewe unaamini ujinga na uzushi wa mtoa mada?

Linganisha alichosema na maelezo ya Serikali ya awamu ya 5 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220618-092713.png
    Screenshot_20220618-092713.png
    70.2 KB · Views: 4
Mwendazake alikuta mapato bil.825 hadi anakufa ilikuwa bilion 1500 ambayo ni sawa na ongezeko la bil.675 kwa miaka 5 sawa na ongezeko la mapato la bilion 135 kila mwaka..

Rais Samia amefikisha bilion 1800 kutoka bil.1500 sawa na ongezeko la Bil.300 kwa mwaka mmja..

Alienda kwa trend hii inamaana hadi 2025 atakuwa kaongeza bil. 1200 kwa miaka 4 hivyo kuzidi kufunika legacy uchwara.👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220616-101635.png
    Screenshot_20220616-101635.png
    51.7 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220406-164902.png
    Screenshot_20220406-164902.png
    90.3 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220406-163449.png
    Screenshot_20220406-163449.png
    53.8 KB · Views: 4
Back
Top Bottom