Tunaweza kuwa tumeenda Misri kuwapigia magoti makandarasi wa JNHPP?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Yasemekana walifungasha virago tangu Novemba mwaka 2020. Pesa ya kulipa ilikuwa hakuna.

Baada ya fedha ya korona kupatikana sasa tumetenga kiasi fulani cha kuwalipa hao makandarasi na kuwaomba warudi kazini.

Hongera mama

My take:-
Jiwe alikuwa shetani wa akili lkn binadamu wa mwili. Aliongopa na kutufanya sote wajinga
 
Nilikuwa kwenye ziara Marais wastaafu na Mawaziri wakuu wastaafu na pia niilikuwepo ziara ya Vice President, unachosema Sexless is not true. Lakini kazi imechelewa na haitamalizika kwa wakati, iko very slow kwa kinachoitwa changamoto za hapa na pale
 
Hili nililiwaza hata mimi,ingawa sikuwa na details.
 
Nilikuwa kwenye ziara Marais wastaafu na Mawaziri wakuu wastaafu na pia niilikuwepo ziara ya Vice President, unachosema Sexless not true. Lakini kazi imechelewa na haitamalizika kwa wakati, iko very slow kwa kinachoitwa changamoto za hapa na pale
Hajui Kuna watu tunategemea huko kwenye shughuli zetu na tunajua kila kinachoendelea. Angesema mradi utachelewa, hapo angekua sawa
 
Nilikuwa kwenye ziara Marais wastaafu na Mawaziri wakuu wastaafu na pia niilikuwepo ziara ya Vice President, unachosema Sexless not true. Lakini kazi imechelewa na haitamalizika kwa wakati, iko very slow kwa kinachoitwa changamoto za hapa na pale
Inawezekana ukawa sahihi.
 
Nilikuwa kwenye ziara Marais wastaafu na Mawaziri wakuu wastaafu na pia niilikuwepo ziara ya Vice President, unachosema Sexless is not true. Lakini kazi imechelewa na haitamalizika kwa wakati, iko very slow kwa kinachoitwa changamoto za hapa na pale
ninaamini pia itachelewa zaidi kwasababu kipindi cha mvua ndio kinataka kianze, sijui watafanyaje kazi pale sasa. Mungu ingilia kati.
 
Back
Top Bottom