hebu fafanua vizuri, hiyo issue ya mazingira. ndio tuendelee na mjadala.
..sikiliza alichokisema Mh.Dr.Kigwangala ktk mjadala bungeni.
..kuna taarifa za masuala ya mazingira ambazo serikali ya awamu ya 5 ilikuwa inazificha.
..msikilize Mh.Kigwangala hapa chini kuanzia dakika 2:40.