Kama unaona mimi nina bwabaja basi nafikiri uwezo wako wa kulinganisha maisha ya nchi moja na nyingine huna. Ungejaliwa huwezo huo nafikiri ungekuwa una simulia mambo mengine badala ya kukandia hoja za watu ambao wamepata exposure za ulimwengu.
Keya ina katiba ambayo hao makachero wako akina Lissu na wenzake wanaisifia, kwa hali hii toka mwaka 2013 wa-introduce hiyo katiba mpya naomba angalia hali ya maisha yao na uchumi wao imefikia wapi? Ukilitambua hilo naomba njoo tena hapa kuchangia hoja.
Naomba pia yaangalie mambo anayo yafanya waziri mkuu wa Kenya Mh. Ruto. Kabla hata siku za uchaguzi kuanza yeye mda wote anahangaika na maswala ya uchaguzi badala ya ku-concentrate na matatizo yanayo wakabili wakabili wananchi wake. Hiyo ni Absurd!