Tunaweza kuwa tumeenda Misri kuwapigia magoti makandarasi wa JNHPP?

..kuna nadharia kwamba bwawa la ukubwa wa Stieglar haliwezi kujengwa ndani miaka 3 kama walivyoahidi Magufuli na Kalemani.
 
kama hakuna faida tukilikimbiza kwanini waingie risk? waachwe walau wazunguke tupate vitoto vichotara huko rufiji. manake kwa waturuki hiyo reli ya kati tayari wadada zetu wamejiongeza balaa, wanatotoa vitoto mno hadi vijijini. kwa wale waliowahi kuishi mbeya, kule kiwira kulikuwa na makaa ya mawe, kulikuwa na wachina, kuna wachina wa kinyakyusa kibao tu kule, mdada mzurii ila ana macho ya kichina na kalio lililofyatuka na hamjui baba yake kabisa. too bad. juzi nilipita pale dodoma nikaenda nyerere square, nikakuta mturuki mmoja anamendea wadada hadi anatia huruma. si unajua wenzetu wanataka kutongoza kiulayaulaya, hawajui kibongobongo.
 
Kwamba kuna muda serikali ilipumzika kukusanya kodi wakakosa hela ya kulipa
Pic%20Layer_20211111131418277.jpg
 
Yasemekana walifungasha virago tangu Novemba mwaka 2020. Pesa ya kulipa ilikuwa hakuna.

Baada ya fedha ya korona kupatikana sasa tumetenga kiasi fulani cha kuwalipa hao makandarasi na kuwaomba warudi kazini.

Hongera mama

My take:-
Jiwe alikuwa shetani wa akili lkn binadamu wa mwili. Aliongopa na kutufanya sote wajinga
Mnapata faida gani kutunga uongo? Kampuni ninayo fanya kazi ina mkataba kwenye huo mradi, kazi inaendelea hadi leo. Hizo taarifa zako umepata wapi?
 
kama hakuna faida tukilikimbiza kwanini waingie risk? waachwe walau wazunguke tupate vitoto vichotara huko rufiji. manake kwa waturuki hiyo reli ya kati tayari wadada zetu wamejiongeza balaa, wanatotoa vitoto mno hadi vijijini. kwa wale waliowahi kuishi mbeya, kule kiwira kulikuwa na makaa ya mawe, kulikuwa na wachina, kuna wachina wa kinyakyusa kibao tu kule, mdada mzurii ila ana macho ya kichina na kalio lililofyatuka na hamjui baba yake kabisa. too bad. juzi nilipita pale dodoma nikaenda nyerere square, nikakuta mturuki mmoja anamendea wadada hadi anatia huruma. si unajua wenzetu wanataka kutongoza kiulayaulaya, hawajui kibongobongo.
Kuna mdada nimemuuzia upande wa kiwanja changu,anajengewa jumba na mturuki wa SGR,ana kimimba muda huu[emoji2297]
 
..Ni vizuri taratibu za KIUFUNDI zikazingatiwe.

..mradi mkubwa na wa kimkakati kama Stieglers hautakiwi kutekelezwa KISIASA.

..jambo lingine ni suala la MAZINGIRA ambalo lilifunikwafunikwa na watendaji wa awamu ya 5.

..mwisho, ni FEDHA za mradi ni lazima ijulikane tumekopa wapi na kwa masharti gani.
 
hao waturuki wanalipwa pesa kwa kiwango cha ulaya, wana pesa balaa wacha wazisambaze tu hapa bongo. na wakifanya mchezi lazima kwao warudi na ngoma.hawawajui dada zetu hawa.
 
..Ni vizuri taratibu za KIUFUNDI zikazingatiwe.

..mradi mkubwa na wa kimkakati kama Stieglers hautakiwi kutekelezwa KISIASA.

..jambo lingine ni suala la MAZINGIRA ambalo lilifunikwafunikwa na watendaji wa awamu ya 5.

..mwisho, ni FEDHA za mradi ni lazima ijulikane tumekopa wapi na kwa masharti gani.
hoja ya mazingira ilikosa mashiko tangu awali, ila hayo mengine umesema kweli.
 
..hoja ya mazingira ilipotoshwa na serikali.

..hawakutaka suala hilo lijadiliwe kwa uwazi na kwa uzito unaostahili.

..tunatakiwa tuzichambue changamoto za kimazingira na tujipange kukabiliana nazo.
 
hebu fafanua vizuri, hiyo issue ya mazingira. ndio tuendelee na mjadala.
 
Nchi tajiri kwenda kuomba msaada ni aibu kubwa!! Maza tunamshauri arudi tu tujenge uchumi wetu mbona tuko vizuri tu.
 
Hawana hela mkuu. Hata SGR kuna ngonjera nyingi sana za kipande cha Dar -Moro. Tuliambiwa kingekuwa kishaanza kutumika lkn mpk leo ziii
Walisema Disemba 2019 tungeanza kusafiria SGR Dar mpaka Moro..mpaka yule Mbilikimo kafa kwa Corona hakuna hata majaribio na December nyengine inapita
 
Nilikuwa kwenye ziara Marais wastaafu na Mawaziri wakuu wastaafu na pia niilikuwepo ziara ya Vice President, unachosema Sexless is not true. Lakini kazi imechelewa na haitamalizika kwa wakati, iko very slow kwa kinachoitwa changamoto za hapa na pale
Mwenyewe angekuwepo mambo yangeenda vile vile.
Kuendeleza alichofanya mwenzio kunatia uvivu.
Pia huyu waziri wake NI Kama anajilasi na marehemu
 
Mnapata faida gani kutunga uongo? Kampuni ninayo fanya kazi ina mkataba kwenye huo mradi, kazi inaendelea hadi leo. Hizo taarifa zako umepata wapi?
Serekali ilikiuka mkataba kwa kuchelewesha malipo..hebu acha ushabiki usio na maarifa
 
Back
Top Bottom