Hakuna kinachoendelea kule zaidi ya kupalilia njia na kufanya usafiInamaana kazi imesimama mwaka mzima?! Mbona wamekuwa wanasema kazi inaendelea vizuri.
haiingii akilini hii, siwezi kuamini hilo jambo, yani eti kwa akili ya kawaida tu Serikali ikose pesa ya hako ka mradi kweli !!!Inamaana kazi imesimama mwaka mzima?! Mbona wamekuwa wanasema kazi inaendelea vizuri.
Crap!
Sio kweli, mradi unaendelea kama kawaida. Ila shida unaweza usimalizike kwa wakatiHakuna kinachoendelea kule zaidi ya kupalilia njia na kufanya usafi
Hili nililiwaza hata mimi,ingawa sikuwa na details.Yasemekana walifungasha virago tangu Novemba mwaka 2020. Pesa ya kulipa ilikuwa hakuna.
Baada ya fedha ya korona kupatikana sasa tumetenga kiasi fulani cha kuwalipa hao makandarasi na kuwaomba warudi kazini.
Hongera mama
My take:-
Jiwe alikuwa shetani wa akili lkn binadamu wa mwili. Aliongopa na kutufanya sote wajinga
Hajui Kuna watu tunategemea huko kwenye shughuli zetu na tunajua kila kinachoendelea. Angesema mradi utachelewa, hapo angekua sawaNilikuwa kwenye ziara Marais wastaafu na Mawaziri wakuu wastaafu na pia niilikuwepo ziara ya Vice President, unachosema Sexless not true. Lakini kazi imechelewa na haitamalizika kwa wakati, iko very slow kwa kinachoitwa changamoto za hapa na pale
Nafikiri aliyempenyezea hiyo habari hakuwa na taarifa kamiliHajui Kuna watu tunategemea huko kwenye shughuli zetu na tunajua kila kinachoendelea. Angesema mradi utachelewa, hapo angekua sawa
Kuna kupenyezewa basi? Mtu tu kaamua kukurupuka mwenyeweNafikiri aliyempenyezea hiyo habari hakuwa na taarifa kamili
Inawezekana ukawa sahihi.Nilikuwa kwenye ziara Marais wastaafu na Mawaziri wakuu wastaafu na pia niilikuwepo ziara ya Vice President, unachosema Sexless not true. Lakini kazi imechelewa na haitamalizika kwa wakati, iko very slow kwa kinachoitwa changamoto za hapa na pale
Hawana hela mkuu. Hata SGR kuna ngonjera nyingi sana za kipande cha Dar -Moro. Tuliambiwa kingekuwa kishaanza kutumika lkn mpk leo ziiiMi nipo Hazina ni kweli Mradi ulisimama kwa kukosekana malipo..hizo nyengine ni propaganda tu
ninaamini pia itachelewa zaidi kwasababu kipindi cha mvua ndio kinataka kianze, sijui watafanyaje kazi pale sasa. Mungu ingilia kati.Nilikuwa kwenye ziara Marais wastaafu na Mawaziri wakuu wastaafu na pia niilikuwepo ziara ya Vice President, unachosema Sexless is not true. Lakini kazi imechelewa na haitamalizika kwa wakati, iko very slow kwa kinachoitwa changamoto za hapa na pale