hebu fafanua vizuri, hiyo issue ya mazingira. ndio tuendelee na mjadala.
Wewe muongo,waziri mkuu ,makamu wa rais alikwenda akasema kazi inaendesha vizuri.Yasemekana walifungasha virago tangu Novemba mwaka 2020. Pesa ya kulipa ilikuwa hakuna.
Baada ya fedha ya korona kupatikana sasa tumetenga kiasi fulani cha kuwalipa hao makandarasi na kuwaomba warudi kazini.
Hongera mama
My take:-
Jiwe alikuwa shetani wa akili lkn binadamu wa mwili. Aliongopa na kutufanya sote wajinga
Mhh kamba hizo.Yasemekana walifungasha virago tangu Novemba mwaka 2020. Pesa ya kulipa ilikuwa hakuna.
Baada ya fedha ya korona kupatikana sasa tumetenga kiasi fulani cha kuwalipa hao makandarasi na kuwaomba warudi kazini.
Hongera mama
My take:-
Jiwe alikuwa shetani wa akili lkn binadamu wa mwili. Aliongopa na kutufanya sote wajinga
Umewahi kufika? Au ndio unahisi, anyway ...Kazi zinaendelea kama kawaida, hazijawahi Simama, na certificate ya Mwisho Wamelipwa last month,Hakuna kinachoendelea kule zaidi ya kupalilia njia na kufanya usafi
Kazi zinaendelea kama kawaida, na hawa Contractors wanalipwa kila waki raise certificate, na wanalipa ushuru wa huduma kwa Halmashauri ya Morogoro, Kinondoni na Rufiji kila robo...Wote hatuna uhakika
VP Mpango alitueleza kazi inaendelea picha ya changamoto Chache hivyo tuliweke kwenye mabano
Unajipiga k.i.d.o.l.e mwenyewe kisha unashtuka mwenyewe.Yasemekana walifungasha virago tangu Novemba mwaka 2020. Pesa ya kulipa ilikuwa hakuna.
Baada ya fedha ya korona kupatikana sasa tumetenga kiasi fulani cha kuwalipa hao makandarasi na kuwaomba warudi kazini.
Hongera mama
My take:-
Jiwe alikuwa shetani wa akili lkn binadamu wa mwili. Aliongopa na kutufanya sote wajinga
Changamoto sio fedhaNilikuwa kwenye ziara Marais wastaafu na Mawaziri wakuu wastaafu na pia niilikuwepo ziara ya Vice President, unachosema Sexless is not true. Lakini kazi imechelewa na haitamalizika kwa wakati, iko very slow kwa kinachoitwa changamoto za hapa na pale
Aalijipanga tuu kutuaminisha....hivi unafikiri hata kama mradi umesimama atadhubutu kusema ukweli?? Balaa lake litakua sio dogoWewe muongo,waziri mkuu ,makamu wa rais alikwenda akasema kazi inaendesha vizuri.
Huyo Mwendazake kaingiaje hapo?
Roho yako ya korosho itakuletea vidonda vya tumbo,kazana kuwa na uchungu.
Ww ulikuwa unamwamini yule ibilisi? Huoni Nape anataka fedha zilizokopwa zichunguzwe zimeenda wapi, ila kumetokea povu la hatari toka kwa misukule ya dhalimu? Hali ni mbaya kupita maelezo, ndio sababu zimekuja tozo kandamizi kulipa mikopo ya hatari.Inamaana kazi imesimama mwaka mzima?! Mbona wamekuwa wanasema kazi inaendelea vizuri.
Dhalimu aliuhadaa ummaWw ulikuwa unamwamini yule ibilisi? Huoni Nape anataka fedha zilizokopwa zichunguzwe zimeenda wapi, ila kumetokea povu la hatari toka kwa misukule ya dhalimu? Hali ni mbaya kupita maelezo, ndio sababu zimekuja tozo kandamizi kulipa mikopo ya hatari.
Pumbavu zako pesa mmezipiga nyinyi nahao wazee wenu mafisadi halafu leo muna mwangushia mzigo muzee wawatu kengeweweYasemekana walifungasha virago tangu Novemba mwaka 2020. Pesa ya kulipa ilikuwa hakuna.
Baada ya fedha ya korona kupatikana sasa tumetenga kiasi fulani cha kuwalipa hao makandarasi na kuwaomba warudi kazini.
Hongera mama
My take:-
Jiwe alikuwa shetani wa akili lkn binadamu wa mwili. Aliongopa na kutufanya sote wajinga
Cheki huyu mjinga mmojaYasemekana walifungasha virago tangu Novemba mwaka 2020. Pesa ya kulipa ilikuwa hakuna.
Baada ya fedha ya korona kupatikana sasa tumetenga kiasi fulani cha kuwalipa hao makandarasi na kuwaomba warudi kazini.
Hongera mama
My take:-
Jiwe alikuwa shetani wa akili lkn binadamu wa mwili. Aliongopa na kutufanya sote wajinga
Kumbe inasemekana??Yasemekana walifungasha virago tangu Novemba mwaka 2020. Pesa ya kulipa ilikuwa hakuna.
Baada ya fedha ya korona kupatikana sasa tumetenga kiasi fulani cha kuwalipa hao makandarasi na kuwaomba warudi kazini.
Hongera mama
My take:-
Jiwe alikuwa shetani wa akili lkn binadamu wa mwili. Aliongopa na kutufanya sote wajinga
I am so important dah,nafuatiliwa kila corner.Nadhani nakupa shida sana.Ingeshangaza kama wewe paranoud ungeweza tofauti na hivi.
ukiongea uwe na akili ,kusema kwamba walifungasha virago novemba ina maana kiongozi mpango alivyoenda kutembelea mradi alikuta magofu bila wafanyakazi? pumbaf kabisaYasemekana walifungasha virago tangu Novemba mwaka 2020. Pesa ya kulipa ilikuwa hakuna.
Baada ya fedha ya korona kupatikana sasa tumetenga kiasi fulani cha kuwalipa hao makandarasi na kuwaomba warudi kazini.
Hongera mama
My take:-
Jiwe alikuwa shetani wa akili lkn binadamu wa mwili. Aliongopa na kutufanya sote wajinga
huwezi kukubali tu kama punguani kwa vitu visivyo na uthibitisho, aje na data sio ngojeraKwani ninyi mliopo humu kuisifia serikali mnatarajiwa kuafiki lolote "linaloichafua serikali tukufu"?
Walikuwepo walinzi na wafagiaji. Na mkandarasi aliyekuwa amebakia ni wa ndani asiye na uzoefu. Hata Mpango alilalama kwamba mkandarasi aliyekuweoo ni learner. Fuatilia utaona.ukiongea uwe na akili ,kusema kwamba walifungasha virago novemba ina maana kiongozi mpango alivyoenda kutembelea mradi alikuta magofu bila wafanyakazi? pumbaf kabisa
Waziri kasema haiwezekani kuruhusu maji kwenda bwawani kufikia mwakani mwezi machi ...unajua sababu yake?huwezi kukubali tu kama punguani kwa vitu visivyo na uthibitisho, aje na data sio ngojera