Kwani samia.si mwongo tu kama Magufuli ccm ni ile ileYasemekana walifungasha virago tangu Novemba mwaka 2020. Pesa ya kulipa ilikuwa hakuna.
Baada ya fedha ya korona kupatikana sasa tumetenga kiasi fulani cha kuwalipa hao makandarasi na kuwaomba warudi kazini.
Hongera mama
My take:-
Jiwe alikuwa shetani wa akili lkn binadamu wa mwili. Aliongopa na kutufanya sote wajinga
Naomba nielezee mafanikio tutakayo yapata kupitua katiba mpya. Maana hatlali, kila siku ni swala la katiba mpya. I aonekana kama katiba mpya ni muarobaini wa wa maendeleo vile?Ila Raisi kwenda kutalii Misri wakati tunamdai Katiba Mpya sio poa.
Source tafadhali sio kubwabwaja.Maendeleo mpaka sasa ni Zero!
Yani kazi inachelewa Kwa changamoto za hapa na paleNilikuwa kwenye ziara Marais wastaafu na Mawaziri wakuu wastaafu na pia niilikuwepo ziara ya Vice President, unachosema Sexless is not true. Lakini kazi imechelewa na haitamalizika kwa wakati, iko very slow kwa kinachoitwa changamoto za hapa na pale
Inawezekana ukawa sahhi
Kiukweli hazikusemwa hata alipofika makamu wa rais. Ila naamini kuna shida sehemuYani kazi inachelewa Kwa changamoto za hapa na pale
Una maana hizo changamoto hazina majina
Ripoti rasmi ya mradi inasema mradi ulikuwa unakwenda kasi sana kabla ya Machi 17, 2021. Lakini baada ya hapo wakandarasi walianza kuwa na mashaka na kuendelea na mradi maana HAWAKUWA NA UHAKIKA wa kulipwa pesa zao. Hivyo wakaamua kusuasua. Ziara ya Mama huenda ilikuwa ni kuwaaminisha ya kwamba ataweza kuwalipa baada ya kuweka TOZO! Viva Magufuli! Viva Jabali la Afrika la Kipindi chetu!!!Yasemekana walifungasha virago tangu Novemba mwaka 2020. Pesa ya kulipa ilikuwa hakuna.
Baada ya fedha ya korona kupatikana sasa tumetenga kiasi fulani cha kuwalipa hao makandarasi na kuwaomba warudi kazini.
Hongera mama
My take:-
Jiwe alikuwa shetani wa akili lkn binadamu wa mwili. Aliongopa na kutufanya sote wajinga
Duh kweli Jfhaiingii akilini hii, siwezi kuamini hilo jambo, yani eti kwa akili ya kawaida tu Serikali ikose pesa ya hako ka mradi kweli !!!
Hakika mkuuu watu humu Jf wanaongoza kwa kupiga ramli chonganishi kama kweli rais aje aseme nataka kutumia mawazo ya Jf kuongoza Taifa basi watu watatoa mawazo kma ya watotoNafikiri aliyempenyezea hiyo habari hakuwa na taarifa kamili
Eti HAZINA ha ha ww mvuta Bangi ww uwe Hazina nakujua vizuri acha umbea na stori za viringeniMi nipo Hazina ni kweli Mradi ulisimama kwa kukosekana malipo..hizo nyengine ni propaganda tu
Unadhani wote humu tupo kama wewe..huko viringeni si ndio unashinda na mkeo kutafuta mtotoEti HAZINA ha ha ww mvuta Bangi ww uwe Hazina nakujua vizuri acha umbea na stori za viringeni
Kwanini kinondoni ilipwe ushuru?Kazi zinaendelea kama kawaida, na hawa Contractors wanalipwa kila waki raise certificate, na wanalipa ushuru wa huduma kwa Halmashauri ya Morogoro, Kinondoni na Rufiji kila robo...
Kweli ww Mavipunda bahasha za kaki na viatu kimekuisha kutafuta kazi haha njooo nikuajiliUnadhani wote humu tupo kama wewe..huko viringeni si ndio unashinda na mkeo kutafuta mtoto
Kama unaona mimi nina bwabaja basi nafikiri uwezo wako wa kulinganisha maisha ya nchi moja na nyingine huna. Ungejaliwa huwezo huo nafikiri ungekuwa una simulia mambo mengine badala ya kukandia hoja za watu ambao wamepata exposure za ulimwengu.Source tafadhali sio kubwabwaja.
Kama unaona mimi nina bwabaja basi nafikiri uwezo wako wa kulinganisha maisha ya nchi moja na nyingine huna. Ungejaliwa huwezo huo nafikiri ungekuwa una simulia mambo mengine badala ya kukandia hoja za watu ambao wamepata exposure za ulimwengu.
Keya ina katiba ambayo hao makachero wako akina Lissu na wenzake wanaisifia, kwa hali hii toka mwaka 2013 wa-introduce hiyo katiba mpya naomba angalia hali ya maisha yao na uchumi wao imefikia wapi? Ukilitambua hilo naomba njoo tena hapa kuchangia hoja.
Naomba pia yaangalie mambo anayo yafanya waziri mkuu wa Kenya Mh. Ruto. Kabla hata siku za uchaguzi kuanza yeye mda wote anahangaika na maswala ya uchaguzi badala ya ku-concentrate na matatizo yanayo wakabili wakabili wananchi wake. Hiyo ni Absurd!
Nipo site kazi zinaendelea kama kawaInamaana kazi imesimama mwaka mzima?! Mbona wamekuwa wanasema kazi inaendelea vizuri.
Nimeenda pale marambili ndani ya mwaka 2021 na kazi zilikuwa zinaendelea na mara ya mwisho nimefika mwezi October walikuwa wanajiandaa kuanza kujaza bwawa sasa hizo ngonjera za vijiweni achaneni nazoYasemekana walifungasha virago tangu Novemba mwaka 2020. Pesa ya kulipa ilikuwa hakuna.
Baada ya fedha ya korona kupatikana sasa tumetenga kiasi fulani cha kuwalipa hao makandarasi na kuwaomba warudi kazini.
Hongera mama
My take:-
Jiwe alikuwa shetani wa akili lkn binadamu wa mwili. Aliongopa na kutufanya sote wajinga
Moderator huyu anatutukania tusi baya hivi mpendwa wetu Dkt Magufuli wala hamjampiga BAN kwa nini? Tunaomba sheria zichukue mkondo wake, sisi mashabiki na wapenzi kindakindaki wa Dkt Magufuli hatukubali mpendwa wetu kudhalilishwa, hata kama keshafariki, tutamtetea siku zote!Yasemekana walifungasha virago tangu Novemba mwaka 2020. Pesa ya kulipa ilikuwa hakuna.
Baada ya fedha ya korona kupatikana sasa tumetenga kiasi fulani cha kuwalipa hao makandarasi na kuwaomba warudi kazini.
Hongera mama
My take:-
Jiwe alikuwa shetani wa akili lkn binadamu wa mwili. Aliongopa na kutufanya sote wajinga
Bado una mtazamo wako huu? Ya kwamba wanajiandaa kujaza bwawa? Mageti 14 kila moja lenye tani 26 kila moja likiwa na winchi yake permanent yamefika??Nimeenda pale marambili ndani ya mwaka 2021 na kazi zilikuwa zinaendelea na mara ya mwisho nimefika mwezi October walikuwa wanajiandaa kuanza kujaza bwawa sasa hizo ngonjera za vijiweni achaneni nazo
Walete ngonjera wasilete hiyo project imewakaba kooni lazima ikamilike ni suala la muda tuBado una mtazamo wako huu? Ya kwamba wanajiandaa kujaza bwawa? Mageti 14 kila moja lenye tani 26 kila moja likiwa na winchi yake permanent yamefika??
Barabara ya km 126 ya lami njia 4 iko tayari? Hili bwawa mazee lina ngonjera hatari!
Yasemekana una msongo wa mawazo unaosababishwa na kuwa Sexless!Yasemekana walifungasha virago tangu Novemba mwaka 2020. Pesa ya kulipa ilikuwa hakuna.
Baada ya fedha ya korona kupatikana sasa tumetenga kiasi fulani cha kuwalipa hao makandarasi na kuwaomba warudi kazini.
Hongera mama
My take:-
Jiwe alikuwa shetani wa akili lkn binadamu wa mwili. Aliongopa na kutufanya sote wajinga