Mbona hajamtaja Magufuli kwenye hayo maelezo yake..acha uchonganishiModerator huyu anatutukania tusi baya hivi mpendwa wetu Dkt Magufuli wala hamjampiga BAN kwa nini? Tunaomba sheria zichukue mkondo wake, sisi mashabiki na wapenzi kindakindaki wa Dkt Magufuli hatukubali mpendwa wetu kudhalilishwa, hata kama keshafariki, tutamtetea siku zote!
Unadhani kazi ya ukandarasi inaendeshwa bila utaratibuYasemekana walifungasha virago tangu Novemba mwaka 2020. Pesa ya kulipa ilikuwa hakuna.
Baada ya fedha ya korona kupatikana sasa tumetenga kiasi fulani cha kuwalipa hao makandarasi na kuwaomba warudi kazini.
Hongera mama
My take:-
Jiwe alikuwa shetani wa akili lkn binadamu wa mwili. Aliongopa na kutufanya sote wajinga
Chuki zitawaxeesha Magufuli machine kubwa utatapika damu.Mitadi yake lazima ukamilishe vinginevyo hutaamini kitakachotokeaYasemekana walifungasha virago tangu Novemba mwaka 2020. Pesa ya kulipa ilikuwa hakuna.
Baada ya fedha ya korona kupatikana sasa tumetenga kiasi fulani cha kuwalipa hao makandarasi na kuwaomba warudi kazini.
Hongera mama
My take:-
Jiwe alikuwa shetani wa akili lkn binadamu wa mwili. Aliongopa na kutufanya sote wajinga
Nini kitatokea wewe sukuma gang?? Acha kutisha watu zama za shetani zimepita na mambo yake yote.Miradi yake lazima ukamilishe vinginevyo hutaamini kitakachotokea