Tunawezaje kuzuia double agents, inazidi na itazidi kuwa changamoto

jambo la ajabu siku hizi ni kua ni rahisi sana hawa watu kujulikana, hasa waliochukuliwa kipindi cha mwishoni cha msoga,
Ni kawaida sana watu wanakumbia tu yule sasa hivi ni usalama
Kuna shida mahali.
 
1. Mara ya kwanza nipo Bole International Airport kwenye harakati zangu akanifuata binti mmoja mwenye asili ya Comoro na Zanzibar, nafikiri yule ni mshirazi (mbwera), akaniuliza maneno mawili matatu, nikamjibu nilivyoweza, akaniambia anatoka Zanzibar anaelekea Seychelles(ushelisheli), katika kuzoeana pale wakati tuko transit(almost 2hrs), nikagundua huyu si mtu wa kawaida, akili ikagonga, alikua amevalia hijab na niqab, lakini sura ilikua inaonekana vizuri sababu baada ya story kunoga alitoa niqab kiasi, kutest uhalisia ya yale mambo aliyokua akinieleza nikamuomba tupige selfie kadhaa, mwanzoni akakataa, nikaweka noti, then baadae akakubali, nikaweka noti pia, nikabaki na ukumbusho wa sura maana dunia kijiji kuna siku naweza kutana nae, kuhusu elimu yake kasoma Zanzibar, then Uingereza kwa ufadhili wa serikali ya Zanzibar, ni Pilot na vyeti alinionesha, ila majina alificha, akasema hana kazi, so hua anapenda kusafiri, sasa anaenda kufanya nn ushelisheli, akaniambia mara nyingi hua kuna ndugu zake anaenda kuonana nao, baadae nikagundua ni mtu mwenye mahusiano ya karibu na baadhi ya viongozi wa serikali ya Zanzibar na ushelisheli kwa pamoja, nikanote kitu, possibly anakula huku na huku.

2. Mara ya pili nimeenda kumuona kiongozi fulani wa kisiasa nchi jirani, kwa hisani ya rafiki yangu, ilikua ghafla tu ili kutaka kujua kitu fulani cha kibiashara, nikakutana na kijana namfahamu kabisa, yupo pale ofisini, aliponiona ni kama hakutegemea, eye contact iligoma, kuhusu mwenyeji wangu, yeye hanifahamu vizuri na bahati nzuri kuna wakati utaifa wangu huchachanganya, hasa kwa majina yangu, na ninaweza kuongea lugha kadhaa za ukanda huu, kwa namna alivyoshtuka nikajua aliyokua anayafanya hayana afya kwa ustawi wake na nchi yetu, nikakausha mpaka leo, na wala sina mawasiliano nae, japo tukionana tunafahamiana.

3. Kuna yule kijana mwingine mweupe toka kanda ya kati, mtaalamu wa lugha ya kiswahili, sahivi yuko nchi jirani akitangaza vivutio vya utalii wa nchi hiyo na kusifia kila kilicho mbele yake, ni haki yake kufanya anachotaka na yuko huru kabisa, nafahamu inaweza kua kama nchi tuna manufaa nae lakini nikiongea kwa uzoefu wangu wa kuifahamu kanda hii na maeneo mengine mengi, nishauri wahusika, yule mtu asipewe access ya kujua mifumo na utendaji kazi wa nchi kiundani zaidi, kwa kisingizio cha lugha na diplomasia, hayo anayoyajua yanatosha. kati ya watu ambao instincts zangu zinaniambia si salama basi na yule yumo, tunaweza kuamua kumtumia kama nchi lakini nawaambieni kama hatukufanya hivyo miaka mitatu iliyopita, tumechelewa. Nazungumzia access za mifumo, si uteuzi wa kisiasa, huo uteuzi mtu yeyote anaweza kupata alimradi tu chama chenye nchi wameona unafaa

Lengo la uzi wangu huu ni kukumbusha kua, system zetu ziwe makini zaidi, siyo kila king'aacho dhahabu, vijana tunaowaamini wanafika bei kirahisi sana, kinachotokea wanatumwa kuleta taarifa hii wao wanapeleka kwanza za kwetu walizokusanya, halafu wanarudisha zile ambazo ni obvious kila mtu anaweza kuziona, Wengi wao ni millennials generation, hakuna namna ya kuwaridhisha isipokua tu kua makini, Double agents walikuepo, wapo na wataendelea kuwepo lakini isiwe kirahisi hivyo. Mdau wewe unaona kama nchi tufanye namna gani tafadhali?

Mbarikiwe nyote ndugu zangu.
Kwenye ulikwengu wa ujasusi, hicho kitu kukizuia, lazima uweke mifumo ya ki usalama, sio upuuzi wa hapa kwetu, ukiwa kada wa CCM, ni tiketi tosha ya kuwa intelijensi officer,
Kama iliwezekana kupandikiza ma spy ndani ya FBI(Robert Hansen), CIA(Kim Philby), na kwingineko, inawezekana Sana, cha msingi lazima uwe na "counter intelijensi, foreign intelijensi service/agency iliyobobea ssana
 
Kwanza nakiri moja ya nchi ina agent wa kutosha ni Tanzania ijapokuwa tu kuna weledi fulani unakosekana hasa wa kuwadhibiti DA.
Ila pamoja na kuwa na agents wengi ila DA wapo wa kutosha sanaa wengi wanatumiwa na wazungu..
Ajabu sasa kuna wazungu wanakuja sijui kujitolea kusaidia watu sijui nini kumbeee wanachota taarifa mno mnoo..
Nimewahi meets na Mzungu tena wakike pangoni yupo alone wote tunaenda fanya uchunguzi wa mali kale..
Nilijiuliza sana huyu mpaka anafika huku agents wetu hawajamchunguza?
 
Kwanza nakiri moja ya nje ina agent wa kutosha ni Tanzania ijapokuwa tu kuna weledi fulani unakosekana hasa wa kuwadhibiti DA.
Ila pamoja na kuwa na agents wengi ila DA wapo wa kutosha sanaa wengi wanatumiwa na wazungu..
Ajabu sasa kuna wazungu wanakuja sijui kujitolea kusaidia watu sijui nini kumbeee wanachota taarifa mno mnoo..
Nimewahi meets na Mzungu tena wakike pangoni yupo alone wote tunaenda fanya uchunguzi wa mali kale..
Nilijiuliza sana huyu mpaka anafika huku agents wetu hawajamchunguza?
Hizo mishe za mali kale ni hatari mkuu! Huko ndio kuna baraa zaidi hahaha
 
Ni kweli huko ndo kuna mizizi ya ajabu dunia asikwambie mtu..
Kudhulumiwa ni live kuuliwa ni live so inahitaji uwe na mzizi au kuuza kwa hasara..
Na ukweli ardhi yetu katika utajiri mkubwa ilo nao ni mawe na mali kale
Mercury ipo ya kutosha unga wake ndo kabisaa..
Ila ukitaka kutest kifo jiingize huko une.
Ila kama kuna locations za mambo hayo unazijua waweza nena nami mkuu..
 
Money . The grease that oils of much espionage. Na ujue pia the mzimu wa iazngra bado upo ndani ya kiota cha yule ndege mwenye acute eye sight
1. Mara ya kwanza nipo Bole International Airport kwenye harakati zangu akanifuata binti mmoja mwenye asili ya Comoro na Zanzibar, nafikiri yule ni mshirazi (mbwera), akaniuliza maneno mawili matatu, nikamjibu nilivyoweza, akaniambia anatoka Zanzibar anaelekea Seychelles(ushelisheli), katika kuzoeana pale wakati tuko transit(almost 2hrs), nikagundua huyu si mtu wa kawaida, akili ikagonga, alikua amevalia hijab na niqab, lakini sura ilikua inaonekana vizuri sababu baada ya story kunoga alitoa niqab kiasi, kutest uhalisia ya yale mambo aliyokua akinieleza nikamuomba tupige selfie kadhaa, mwanzoni akakataa, nikaweka noti, then baadae akakubali, nikaweka noti pia, nikabaki na ukumbusho wa sura maana dunia kijiji kuna siku naweza kutana nae, kuhusu elimu yake kasoma Zanzibar, then Uingereza kwa ufadhili wa serikali ya Zanzibar, ni Pilot na vyeti alinionesha, ila majina alificha, akasema hana kazi, so hua anapenda kusafiri, sasa anaenda kufanya nn ushelisheli, akaniambia mara nyingi hua kuna ndugu zake anaenda kuonana nao, baadae nikagundua ni mtu mwenye mahusiano ya karibu na baadhi ya viongozi wa serikali ya Zanzibar na ushelisheli kwa pamoja, nikanote kitu, possibly anakula huku na huku.

2. Mara ya pili nimeenda kumuona kiongozi fulani wa kisiasa nchi jirani, kwa hisani ya rafiki yangu, ilikua ghafla tu ili kutaka kujua kitu fulani cha kibiashara, nikakutana na kijana namfahamu kabisa, yupo pale ofisini, aliponiona ni kama hakutegemea, eye contact iligoma, kuhusu mwenyeji wangu, yeye hanifahamu vizuri na bahati nzuri kuna wakati utaifa wangu huchachanganya, hasa kwa majina yangu, na ninaweza kuongea lugha kadhaa za ukanda huu, kwa namna alivyoshtuka nikajua aliyokua anayafanya hayana afya kwa ustawi wake na nchi yetu, nikakausha mpaka leo, na wala sina mawasiliano nae, japo tukionana tunafahamiana.

3. Kuna yule kijana mwingine mweupe toka kanda ya kati, mtaalamu wa lugha ya kiswahili, sahivi yuko nchi jirani akitangaza vivutio vya utalii wa nchi hiyo na kusifia kila kilicho mbele yake, ni haki yake kufanya anachotaka na yuko huru kabisa, nafahamu inaweza kua kama nchi tuna manufaa nae lakini nikiongea kwa uzoefu wangu wa kuifahamu kanda hii na maeneo mengine mengi, nishauri wahusika, yule mtu asipewe access ya kujua mifumo na utendaji kazi wa nchi kiundani zaidi, kwa kisingizio cha lugha na diplomasia, hayo anayoyajua yanatosha. kati ya watu ambao instincts zangu zinaniambia si salama basi na yule yumo, tunaweza kuamua kumtumia kama nchi lakini nawaambieni kama hatukufanya hivyo miaka mitatu iliyopita, tumechelewa. Nazungumzia access za mifumo, si uteuzi wa kisiasa, huo uteuzi mtu yeyote anaweza kupata alimradi tu chama chenye nchi wameona unafaa

Lengo la uzi wangu huu ni kukumbusha kua, system zetu ziwe makini zaidi, siyo kila king'aacho dhahabu, vijana tunaowaamini wanafika bei kirahisi sana, kinachotokea wanatumwa kuleta taarifa hii wao wanapeleka kwanza za kwetu walizokusanya, halafu wanarudisha zile ambazo ni obvious kila mtu anaweza kuziona, Wengi wao ni millennials generation, hakuna namna ya kuwaridhisha isipokua tu kua makini, Double agents walikuepo, wapo na wataendelea kuwepo lakini isiwe kirahisi hivyo. Mdau wewe unaona kama nchi tufanye namna gani tafadhali?

Mbarikiwe nyote ndugu zangu.
 
Kwenye ulikwengu wa ujasusi, hicho kitu kukizuia, lazima uweke mifumo ya ki usalama, sio upuuzi wa hapa kwetu, ukiwa kada wa CCM, ni tiketi tosha ya kuwa intelijensi officer,
Kama iliwezekana kupandikiza ma spy ndani ya FBI(Robert Hansen), CIA(Kim Philby), na kwingineko, inawezekana Sana, cha msingi lazima uwe na "counter intelijensi, foreign intelijensi service/agency iliyobobea ssana
na pia uwe na financial muscles. Maana pesa huwa ina break silence when starts talks.
 
Huyo dogo wa kanda ya kati naona ana zurura duniani kote .... huwa najiuliza ni kazi hiyo hiyo ya misamiati migumu migumu ya kiswahili.. ( na haja soma kiswahili) na nani ana msponsor..

Pamoja na huyo pia ongezea

1. *M.KITI MJENGWAJI..
HUYU KAOA MZUNGU KABISA..
sijawahi kumuelewa huyu mwamba, mara nyingi kwenye page yake ana post yupo safarini . sidhani kama ni kazi zake za uandishi wa habari.. na yupo smart sana kichwani.. ingawa kuna kipindi alikumbwa na kashfa za kina Absalom Kibanda.

2 Maulid Kikoi".. ingawa huwa nahisi huyu ni chawa tu kama kina baba level.

3. SLOW SLOW
4. Seikh Mnyakyusa..
 
Mnaidharau sana idara yaani double agent ww ambae sio proffesional umjue halafu watu wenye taaluma zao wasimfahamu sio kweli amini upo salama ndugu yangu watu hawalali kwa ajili yako
Inawezekana mkuu usikatae
 
Dogo naweweseka ni op kikwete baada ya hapo dogo hatukujua kapotelea wapi time ya mwisho namkuta twitter misamiati push-up
 
1. Mara ya kwanza nipo Bole International Airport kwenye harakati zangu akanifuata binti mmoja mwenye asili ya Comoro na Zanzibar, nafikiri yule ni mshirazi (mbwera), akaniuliza maneno mawili matatu, nikamjibu nilivyoweza, akaniambia anatoka Zanzibar anaelekea Seychelles(ushelisheli), katika kuzoeana pale wakati tuko transit(almost 2hrs), nikagundua huyu si mtu wa kawaida, akili ikagonga, alikua amevalia hijab na niqab, lakini sura ilikua inaonekana vizuri sababu baada ya story kunoga alitoa niqab kiasi, kutest uhalisia ya yale mambo aliyokua akinieleza nikamuomba tupige selfie kadhaa, mwanzoni akakataa, nikaweka noti, then baadae akakubali, nikaweka noti pia, nikabaki na ukumbusho wa sura maana dunia kijiji kuna siku naweza kutana nae, kuhusu elimu yake kasoma Zanzibar, then Uingereza kwa ufadhili wa serikali ya Zanzibar, ni Pilot na vyeti alinionesha, ila majina alificha, akasema hana kazi, so hua anapenda kusafiri, sasa anaenda kufanya nn ushelisheli, akaniambia mara nyingi hua kuna ndugu zake anaenda kuonana nao, baadae nikagundua ni mtu mwenye mahusiano ya karibu na baadhi ya viongozi wa serikali ya Zanzibar na ushelisheli kwa pamoja, nikanote kitu, possibly anakula huku na huku.

2. Mara ya pili nimeenda kumuona kiongozi fulani wa kisiasa nchi jirani, kwa hisani ya rafiki yangu, ilikua ghafla tu ili kutaka kujua kitu fulani cha kibiashara, nikakutana na kijana namfahamu kabisa, yupo pale ofisini, aliponiona ni kama hakutegemea, eye contact iligoma, kuhusu mwenyeji wangu, yeye hanifahamu vizuri na bahati nzuri kuna wakati utaifa wangu huchachanganya, hasa kwa majina yangu, na ninaweza kuongea lugha kadhaa za ukanda huu, kwa namna alivyoshtuka nikajua aliyokua anayafanya hayana afya kwa ustawi wake na nchi yetu, nikakausha mpaka leo, na wala sina mawasiliano nae, japo tukionana tunafahamiana.

3. Kuna yule kijana mwingine mweupe toka kanda ya kati, mtaalamu wa lugha ya kiswahili, sahivi yuko nchi jirani akitangaza vivutio vya utalii wa nchi hiyo na kusifia kila kilicho mbele yake, ni haki yake kufanya anachotaka na yuko huru kabisa, nafahamu inaweza kua kama nchi tuna manufaa nae lakini nikiongea kwa uzoefu wangu wa kuifahamu kanda hii na maeneo mengine mengi, nishauri wahusika, yule mtu asipewe access ya kujua mifumo na utendaji kazi wa nchi kiundani zaidi, kwa kisingizio cha lugha na diplomasia, hayo anayoyajua yanatosha. kati ya watu ambao instincts zangu zinaniambia si salama basi na yule yumo, tunaweza kuamua kumtumia kama nchi lakini nawaambieni kama hatukufanya hivyo miaka mitatu iliyopita, tumechelewa. Nazungumzia access za mifumo, si uteuzi wa kisiasa, huo uteuzi mtu yeyote anaweza kupata alimradi tu chama chenye nchi wameona unafaa

Lengo la uzi wangu huu ni kukumbusha kua, system zetu ziwe makini zaidi, siyo kila king'aacho dhahabu, vijana tunaowaamini wanafika bei kirahisi sana, kinachotokea wanatumwa kuleta taarifa hii wao wanapeleka kwanza za kwetu walizokusanya, halafu wanarudisha zile ambazo ni obvious kila mtu anaweza kuziona, Wengi wao ni millennials generation, hakuna namna ya kuwaridhisha isipokua tu kua makini, Double agents walikuepo, wapo na wataendelea kuwepo lakini isiwe kirahisi hivyo. Mdau wewe unaona kama nchi tufanye namna gani tafadhali?

Mbarikiwe nyote ndugu zangu.
Ila binadamu kwa namna tulivyojawa na husuda unaweza kukuta maelezo ya kwenye namba 1 na 2 yote hayana maana ila mlengwa wa mleta mada ni huyo "Kumbikumbi" aliyewekwa namba 3 ili tu kumharibia.
 
Huyo dogo wa kanda ya kati naona ana zurura duniani kote .... huwa najiuliza ni kazi hiyo hiyo ya misamiati migumu migumu ya kiswahili.. ( na haja soma kiswahili) na nani ana msponsor..

Pamoja na huyo pia ongezea

1. *M.KITI MJENGWAJI..
HUYU KAOA MZUNGU KABISA..
sijawahi kumuelewa huyu mwamba, mara nyingi kwenye page yake ana post yupo safarini . sidhani kama ni kazi zake za uandishi wa habari.. na yupo smart sana kichwani.. ingawa kuna kipindi alikumbwa na kashfa za kina Absalom Kibanda.

2 Maulid Kikoi".. ingawa huwa nahisi huyu ni chawa tu kama kina baba level.

3. SLOW SLOW
4. Seikh Mnyakyusa..
Fafanua kidogo hapo kwa SLOW SLOW
 
Back
Top Bottom