Tunawezaje kuzuia double agents, inazidi na itazidi kuwa changamoto

Tunawezaje kuzuia double agents, inazidi na itazidi kuwa changamoto

Hivi Tanzania ina kitu gani cha kuficha zaidi ya siasa chafu?... Highly classified weaponry and top secret technologies? I don't think so. Anyway, si-underestimate uwezo wa vyombo vyetu vya intelligence, nina uhakika kama nchi ina double agents basi tayari wapo kwenye list na wanajulikana. Kama ni kweli wako incredibly incompetent kiasi cha wewe raia kuwagundua.
 
Back
Top Bottom