bolivia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2021
- 3,083
- 5,179
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sikuumbwa hivyo ndugu yangu, btw huyo Nkwabi ni nani, umeniacha kidogoMlete mada utakuwa na chuki binafsi na Nkwabi, maana kama hoja ni ujana na kupenda mafanikio, Kwa ni wtz tu ndio wenye tamaa na mafanikio??
Idara gani unaizungumzia ndugu hii iliojaa uvccm nako unasema ni iadara mara ngapi majasusi ya kinyarwanda yapo full mitaa ya kwanzia Nyakahura hadi kahama hadi wengine wameoa na kuoa na wanaishi huku ni idara gani isiyokuwa na macho sembuse Ije igundue mtu aliefundwa akafundika?
Idara ilikuwa kipindi cha Nyerere hadi mkapa kidogo ilikuwa macho mno ila now ni twende sawa watoto wetu wasome shule nzuri na kula vizuri mengine majaaliwa
Sisi sio watu wa bidii sana. Zamani ndio tulikuwa na cha kuficha hasa mipango ya wapigania Uhuru wa ukanda wa SADC, makazi yao, majina yao, future yao.
Tuna nini cha kuficha sasa? Hata viongozi sioni kama tunawaandaa.
Tuna nini cha kupelekwa Kenya au Rwanda?
Hatupangi ushawishi dhidi ya serikali za nje. Tuna nini cha kuficha?
Tunafanya ujasusi wa kisasa utakaousadia nchi?
Vitu tunavyovifanya vingi ni vya kawaida ambavyo havihitaji double agents ila observation ya kawaida tu na trend reading.
Chombo cha kulindwa nchi hii ni CCM as party na zile organ zake.
Ujasusi wa CCM unatakiwa kuwa imara kuliko ujasusi wenyewe wa ngazi ya Taifa.
CCM inatakiwa kutunza siri kuliko hata inayotunzwa katika ngazi ya kitaifa.
CCM inatakiwa kutunza mifumo kuliko kawaida.
Mipango ya CCM ndio mipango ya Tanzania.
Mkuu juu pale umenijibu vizuri na hapa pia umejijibu mwenyewe kuwa hatuna idara iliokomaa , lakini ukaishia kusema uelewa wangu ni mdogo ukaniona na mimi ni walewale et , sawa nashukuru kwa kutambua kuwa bado kama nchi tupo uchiHata Hawa TISS, taarifa zao wanapatia hapa JF na kuwapelekea mabosi zao, ni vijana tu wa shisha wengine form 4 leavers , sema kwa connection na kutoka familia gani wakapata fursa.
Idadi ya walioingia kwa brain zao ni chache kuliko wale wa mchongo. Ndio hao utasikia unanijua mm,
Kuna mmoja nilitaka kumtandika vibao maeneo ya coral beach, eti anatoa bastola just for simple misunderstanding ya parking , nilimfuta nikamwambia Faq U , rudisha bastola yako na nitakuja kukutandika vibao mbele ya Diwani. Wakati huo nishapiga hatua ninaongelea kwenye zero distance, then nikamsukumizia kwenye gari na kumuamuru washa gari na uondoke……. Nikajiuliza hawavijana hivi hata vetting wanafanyiwa kweli , vijana wa shisha hawajui ethics za kazi zao kabisa
Yaani Kachunwa na dereva Wa Uber kwenye road , atatoka na bastola, tena ile bastola old version . Watu kama hawa ndio wanaitwa intelligence ya Taifa, then mnataka kuwa na nchi ya mfano. Never . Hatuwezi kutoboa mpaka tujue tunapokosea na kuna baadhi ya taasisi hatupaswi kujaribu.
Sehemu ambayo ilihitaji kuwa na Watu wote brained ni TISS. Badala yake tumejaza vijana Wa shisha hawajui hata ethics za kazi, vetting zinapigwa za mchongo tu , . Mtu bogus plus form 4 leaver plus vetting ya mchongo, unategemea nini
Tupac Shakur.And they Say its the White Man I should Fear...., But its my Own Kind doing all the Killing Here....
Mwandishi ni nani? tafadhali mkuu!!Mkuu umenifanya nikumbuke kitabu cha kijasusi cha nyuma kidogo kinaitwa MPATANISHI. Double agents ni hatari kwa ustawi wa taifa
Kuna mmoja yupo shirika la mwanga pale HQ.Mnaidharau sana idara yaani double agent ww ambae sio proffesional umjue halafu watu wenye taaluma zao wasimfahamu sio kweli amini upo salama ndugu yangu watu hawalali kwa ajili yako
Hujui lolote. Unadanganyika sana na movies. Unaangalia movies sana mpaka unaanza kudhani nawe ni James Bond. Umeandika pumba na chai tu hamna la maana. Hizi ni taaluma za watu acha ujinga dogo. Ukisoma soma hadithi za kijasusi JF basi nawe unaona tayari jasusi. Usirudie tena kuandika huu ujinga.1. Mara ya kwanza nipo Bole International Airport kwenye harakati zangu akanifuata binti mmoja mwenye asili ya Comoro na Zanzibar, nafikiri yule ni mshirazi (mbwera), akaniuliza maneno mawili matatu, nikamjibu nilivyoweza, akaniambia anatoka Zanzibar anaelekea Seychelles(ushelisheli), katika kuzoeana pale wakati tuko transit(almost 2hrs), nikagundua huyu si mtu wa kawaida, akili ikagonga, alikua amevalia hijab na niqab, lakini sura ilikua inaonekana vizuri sababu baada ya story kunoga alitoa niqab kiasi, kutest uhalisia ya yale mambo aliyokua akinieleza nikamuomba tupige selfie kadhaa, mwanzoni akakataa, nikaweka noti, then baadae akakubali, nikaweka noti pia, nikabaki na ukumbusho wa sura maana dunia kijiji kuna siku naweza kutana nae, kuhusu elimu yake kasoma Zanzibar, then Uingereza kwa ufadhili wa serikali ya Zanzibar, ni Pilot na vyeti alinionesha, ila majina alificha, akasema hana kazi, so hua anapenda kusafiri, sasa anaenda kufanya nn ushelisheli, akaniambia mara nyingi hua kuna ndugu zake anaenda kuonana nao, baadae nikagundua ni mtu mwenye mahusiano ya karibu na baadhi ya viongozi wa serikali ya Zanzibar na ushelisheli kwa pamoja, nikanote kitu, possibly anakula huku na huku.
2. Mara ya pili nimeenda kumuona kiongozi fulani wa kisiasa nchi jirani, kwa hisani ya rafiki yangu, ilikua ghafla tu ili kutaka kujua kitu fulani cha kibiashara, nikakutana na kijana namfahamu kabisa, yupo pale ofisini, aliponiona ni kama hakutegemea, eye contact iligoma, kuhusu mwenyeji wangu, yeye hanifahamu vizuri na bahati nzuri kuna wakati utaifa wangu huchachanganya, hasa kwa majina yangu, na ninaweza kuongea lugha kadhaa za ukanda huu, kwa namna alivyoshtuka nikajua aliyokua anayafanya hayana afya kwa ustawi wake na nchi yetu, nikakausha mpaka leo, na wala sina mawasiliano nae, japo tukionana tunafahamiana.
3. Kuna yule kijana mwingine mweupe toka kanda ya kati, mtaalamu wa lugha ya kiswahili, sahivi yuko nchi jirani akitangaza vivutio vya utalii wa nchi hiyo na kusifia kila kilicho mbele yake, ni haki yake kufanya anachotaka na yuko huru kabisa, nafahamu inaweza kua kama nchi tuna manufaa nae lakini nikiongea kwa uzoefu wangu wa kuifahamu kanda hii na maeneo mengine mengi, nishauri wahusika, yule mtu asipewe access ya kujua mifumo na utendaji kazi wa nchi kiundani zaidi, kwa kisingizio cha lugha na diplomasia, hayo anayoyajua yanatosha. kati ya watu ambao instincts zangu zinaniambia si salama basi na yule yumo, tunaweza kuamua kumtumia kama nchi lakini nawaambieni kama hatukufanya hivyo miaka mitatu iliyopita, tumechelewa. Nazungumzia access za mifumo, si uteuzi wa kisiasa, huo uteuzi mtu yeyote anaweza kupata alimradi tu chama chenye nchi wameona unafaa
Lengo la uzi wangu huu ni kukumbusha kua, system zetu ziwe makini zaidi, siyo kila king'aacho dhahabu, vijana tunaowaamini wanafika bei kirahisi sana, kinachotokea wanatumwa kuleta taarifa hii wao wanapeleka kwanza za kwetu walizokusanya, halafu wanarudisha zile ambazo ni obvious kila mtu anaweza kuziona, Wengi wao ni millennials generation, hakuna namna ya kuwaridhisha isipokua tu kua makini, Double agents walikuepo, wapo na wataendelea kuwepo lakini isiwe kirahisi hivyo. Mdau wewe unaona kama nchi tufanye namna gani tafadhali?
Mbarikiwe nyote ndugu zangu.
Alishahama kule kwa vibaka..?😀😀😀 kijana machachari sana yuleHuyohuyo anakula pasho za Rwanda tu na kutangaza utalii wa Rwanda.
Mkuu huu uzi una muda mrefu lakini nilijizuia kuchangia. Yaani mtu anazungumzia Double Agents kama vile ni madalali wa vyumba kwa Mtogole! Ahahahahaha!!Mnaidharau sana idara yaani double agent ww ambae sio proffesional umjue halafu watu wenye taaluma zao wasimfahamu sio kweli amini upo salama ndugu yangu watu hawalali kwa ajili yako