Tunawezaje kuzuia double agents, inazidi na itazidi kuwa changamoto

Mlete mada utakuwa na chuki binafsi na Nkwabi, maana kama hoja ni ujana na kupenda mafanikio, Kwa ni wtz tu ndio wenye tamaa na mafanikio??
 
Mlete mada utakuwa na chuki binafsi na Nkwabi, maana kama hoja ni ujana na kupenda mafanikio, Kwa ni wtz tu ndio wenye tamaa na mafanikio??
sikuumbwa hivyo ndugu yangu, btw huyo Nkwabi ni nani, umeniacha kidogo
 
Yaani so called agent umuombe mpige picha tena kwa kumhonga akubali?Basi huyo "agent" ni njaa kali na sio tishio.Ma agent wengi identity zao na kutofahamika ndio A-Z ya kazi zao na usalama wao.
Njoo na mada ya maana kuhusu DA na sio hizi chai zinazotukana uwezo wetu wa kufikiri.
 

Do you know kuwa na sisi TZ tuna agents wetu ambao ni Wa TZ but are known as Kenya’s , wengine Rwanda hapo kwa kagame na Uganda pia. Ni watanzania lakini hawajulikani hivo

So kama unadhan TZ imelala ni kutokna na level yako ya understanding ya haya mambo
 

Hata Hawa TISS, taarifa zao wanapatia hapa JF na kuwapelekea mabosi zao, ni vijana tu wa shisha wengine form 4 leavers , sema kwa connection na kutoka familia gani wakapata fursa.

Idadi ya walioingia kwa brain zao ni chache kuliko wale wa mchongo. Ndio hao utasikia unanijua mm,

Kuna mmoja nilitaka kumtandika vibao maeneo ya coral beach, eti anatoa bastola just for simple misunderstanding ya parking , nilimfuta nikamwambia Faq U , rudisha bastola yako na nitakuja kukutandika vibao mbele ya Diwani. Wakati huo nishapiga hatua ninaongelea kwenye zero distance, then nikamsukumizia kwenye gari na kumuamuru washa gari na uondoke……. Nikajiuliza hawavijana hivi hata vetting wanafanyiwa kweli , vijana wa shisha hawajui ethics za kazi zao kabisa

Yaani Kachunwa na dereva Wa Uber kwenye road , atatoka na bastola, tena ile bastola old version . Watu kama hawa ndio wanaitwa intelligence ya Taifa, then mnataka kuwa na nchi ya mfano. Never . Hatuwezi kutoboa mpaka tujue tunapokosea na kuna baadhi ya taasisi hatupaswi kujaribu.

Sehemu ambayo ilihitaji kuwa na Watu wote brained ni TISS. Badala yake tumejaza vijana Wa shisha hawajui hata ethics za kazi, vetting zinapigwa za mchongo tu , . Mtu bogus plus form 4 leaver plus vetting ya mchongo, unategemea nini
 
Mkuu umenifanya nikumbuke kitabu cha kijasusi cha nyuma kidogo kinaitwa MPATANISHI. Double agents ni hatari kwa ustawi wa taifa
 
Mkuu juu pale umenijibu vizuri na hapa pia umejijibu mwenyewe kuwa hatuna idara iliokomaa , lakini ukaishia kusema uelewa wangu ni mdogo ukaniona na mimi ni walewale et , sawa nashukuru kwa kutambua kuwa bado kama nchi tupo uchi
 
And they Say its the White Man I should Fear...., But its my Own Kind doing all the Killing Here....
Tupac Shakur.
On behalf of my loved brother, let me say thank you!! For that recognition,,
Thug life..
 
Kwa sehemu kubwa Tanzania imepekuliwa sana,mpaka nalia ,hebu fikiria sakata la wahamiaji toka nchi jifani wanafanya biashara hadi, umachinga,umamantilie,,ukahaba, na pia wageni wamejaa hadi kwenye taasisi za Serikali na binafsi,Wakurungwa chukueni hatua
 
Wenye dhamana wako bize na siasa na wanasiasa wakija kustuka tu uuuuchiii
 
Hujui lolote. Unadanganyika sana na movies. Unaangalia movies sana mpaka unaanza kudhani nawe ni James Bond. Umeandika pumba na chai tu hamna la maana. Hizi ni taaluma za watu acha ujinga dogo. Ukisoma soma hadithi za kijasusi JF basi nawe unaona tayari jasusi. Usirudie tena kuandika huu ujinga.
 
Hatuna mda na hilo mkuu je umewahi kunywa kinywaji nusu chakula nusu pia ukafunga mlango vizuri kisha asubuhi unakuta kinywaji limeisha chakula pia kimeisha kwenye sahani mlango haujavunjwa hakuna kitu kingine umepoteza yaani ndani pako shwari kabisa pc/cm flash na vitunzia kumbu kumbu havijahamishwa popote na vyote vipo salama basi hapo chukua tahadhari kuna watu wanakufahamu vizuri wanaomba tu usiingilie visivyokuhusu maana taarifa zako wanazo na wanaweza kukufikia mda wowote watakavyo


Mda hautoshi
 
Mnaidharau sana idara yaani double agent ww ambae sio proffesional umjue halafu watu wenye taaluma zao wasimfahamu sio kweli amini upo salama ndugu yangu watu hawalali kwa ajili yako
Mkuu huu uzi una muda mrefu lakini nilijizuia kuchangia. Yaani mtu anazungumzia Double Agents kama vile ni madalali wa vyumba kwa Mtogole! Ahahahahaha!!
 
M nadhan vijana wapikwe haswa wawe wazalendo na kuwe na mitihan ya kupimwa uzalendo na mitihan hii iwe Siri wapimwe bila wenyewe kujua kama wako kwenye majaribio hii itasaidia kujua hali ya uzalendo wa mtu kw nchi yake kabla yakuwapa majukum makubwa ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…