halafu bado wanaishi nyumbani kwa wazazi dah!Wakuu,
Ama kweli miaka inakatika.
Nimekutana na washkaji zangu yaani 80% wana viapra na mvi.
Uzee tayari.
Kijana, ukipata nafasi, fanya mambo yako chap kwa haraka, umri haukusubiri.
Hii kuonekana mzee au kijana hutakana na namna mtu unavojiweka.. mavazi,mtindo wa maisha na shughuli unazofanya.View attachment 3198653
Mi naona ni jinsi mtu anajiweka, kama hii picha ni Fally Ipupa mwezi uliopita , ana miaka 47, lakini kuna kijana ana miaka 35 unaweza sema wanalingana au anamzidi.
Kuanzia mavazi, chakula , mtindo wa maisha unaamua muonekano wako...
View attachment 3198654
Hii ni picha yake 2 hrs ago....
Salamu haizeeshi lakiniItakua nimejiweka kizee, mwili wa wastani tu kg 81
Sijapinga, ila mimi nimeanisha miaka 80s!Amesema rafiki zake 80% asilimia 80 hajamaanisha kua ni miaka ya 80's
Am 45yrs, nna mawazoo, naona kabisa siku zakuendelea kuwepo juu ya mgongo wa ardhi zimepungua sana ,zimebakia chache,huenda miongo miwli ijayo itabakia story, maana mwaka 2000 ni juzi tu,leo tayari 2025, kwa maana miaka ishirini na tano ijayo uenda sitokuwepo,
Naogopa kufa,naomba Mungu aniepushe na kifo cha ajali yoyote ile mbaya au la, bora kufa ukiwa usingizini..
Kiukweli maisha ya duniani ni mafupi sana.
hizo zitakuwa mvi za ukoo me nina miaka 43 lakini nywele zenye mvi kichwani zinahesabikaSio bleach mzee, ni mvi
Ndio maana huwa naitikia bila hiyanaSalamu haizeeshi lakini
Kg 81 na urefu upi? BMI ratio?Itakua nimejiweka kizee, mwili wa wastani tu kg 81
Mkuu, unamaanisha tukitumia AI tunapunguza kufikiria sana? Kwamba ndo kunafanya kuonekana wakubwa tofauti na umri ama una maana gani?Hii kuonekana mzee au kijana hutakana na namna mtu unavojiweka.. mavazi,mtindo wa maisha na shughuli unazofanya.
Tumieni AI (Chat gpt) kutatua changamoto yoyote, Binafsi naitumia kwenye mambo mengi na naonekana mtu poa sana kwa sasa.
Bado mkuu kama huna tatizo la kiafya una 30+ mbeleAm 45yrs, nna mawazoo, naona kabisa siku zakuendelea kuwepo juu ya mgongo wa ardhi zimepungua sana ,zimebakia chache,huenda miongo miwli ijayo itabakia story, maana mwaka 2000 ni juzi tu,leo tayari 2025, kwa maana miaka ishirini na tano ijayo uenda sitokuwepo,
Naogopa kufa,naomba Mungu aniepushe na kifo cha ajali yoyote ile mbaya au la, bora kufa ukiwa usingizini..
Kiukweli maisha ya duniani ni mafupi sana.
uzee unaanzia miaka 60Kwani uzee unaanzia miaka mingapi ndugu?
Urefu 167cm, BMI ratio ndio nini?Kg 81 na urefu upi? BMI ratio?
Unaweza kuwa na kilo 81 ikawa sawa au ikawa umezidi tokana na urefu...
Dada shikamoo.Ndio maana huwa naitikia bila hiyana
a ratio of a person's weight in kilograms to the square of their height in meters. It's a quick and inexpensive way to estimate body size and categorize a person's weight as healthy, overweight, or obeseUrefu 167cm, BMI ratio ndio nini?
Shemeji yako kanizidi miaka 10+ lakini tukitembea kama mdogo wangu vile.Dada shikamoo.
Msalimie shemeji.
Dah! Ila nikijiangalia kwenye kioo mimi sio bonge bhanaBMI ratio yako inasema upo overweight....
ili kuweza kukabilina na haya unayoyahofia inabidi uujue ulimwengu wa rohoAm 45yrs, nna mawazoo, naona kabisa siku zakuendelea kuwepo juu ya mgongo wa ardhi zimepungua sana ,zimebakia chache,huenda miongo miwli ijayo itabakia story, maana mwaka 2000 ni juzi tu,leo tayari 2025, kwa maana miaka ishirini na tano ijayo uenda sitokuwepo,
Naogopa kufa,naomba Mungu aniepushe na kifo cha ajali yoyote ile mbaya au la, bora kufa ukiwa usingizini..
Kiukweli maisha ya duniani ni mafupi sana.