Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
halafu bado wanaishi nyumbani kwa wazazi dah!Wakuu,
Ama kweli miaka inakatika.
Nimekutana na washkaji zangu yaani 80% wana viapra na mvi.
Uzee tayari.
Kijana, ukipata nafasi, fanya mambo yako chap kwa haraka, umri haukusubiri.
yaani asubuhi akiwa anatoka home utadhani ndiyo baba mjengo, kumbe kumbafu moja vivu hivi kula kulala tu dah
