Tunazeeka, ukipata nafasi fanya mambo yako kwa haraka

Wakuu,

Ama kweli miaka inakatika.

Nimekutana na washkaji zangu yaani 80% wana viapra na mvi.

Uzee tayari.

Kijana, ukipata nafasi, fanya mambo yako chap kwa haraka, umri haukusubiri.
halafu bado wanaishi nyumbani kwa wazazi dah!

yaani asubuhi akiwa anatoka home utadhani ndiyo baba mjengo, kumbe kumbafu moja vivu hivi kula kulala tu dah :pedroP:
 
View attachment 3198653

Mi naona ni jinsi mtu anajiweka, kama hii picha ni Fally Ipupa mwezi uliopita , ana miaka 47, lakini kuna kijana ana miaka 35 unaweza sema wanalingana au anamzidi.
Kuanzia mavazi, chakula , mtindo wa maisha unaamua muonekano wako...
View attachment 3198654
Hii ni picha yake 2 hrs ago....
Hii kuonekana mzee au kijana hutakana na namna mtu unavojiweka.. mavazi,mtindo wa maisha na shughuli unazofanya.

Tumieni AI (Chat gpt) kutatua changamoto yoyote, Binafsi naitumia kwenye mambo mengi na naonekana mtu poa sana kwa sasa.
 
Am 45yrs, nna mawazoo, naona kabisa siku zakuendelea kuwepo juu ya mgongo wa ardhi zimepungua sana ,zimebakia chache,huenda miongo miwli ijayo itabakia story, maana mwaka 2000 ni juzi tu,leo tayari 2025, kwa maana miaka ishirini na tano ijayo uenda sitokuwepo,

Naogopa kufa,naomba Mungu aniepushe na kifo cha ajali yoyote ile mbaya au la, bora kufa ukiwa usingizini..

Kiukweli maisha ya duniani ni mafupi sana.

Sio bleach mzee, ni mvi
hizo zitakuwa mvi za ukoo me nina miaka 43 lakini nywele zenye mvi kichwani zinahesabika
 
Hii kuonekana mzee au kijana hutakana na namna mtu unavojiweka.. mavazi,mtindo wa maisha na shughuli unazofanya.

Tumieni AI (Chat gpt) kutatua changamoto yoyote, Binafsi naitumia kwenye mambo mengi na naonekana mtu poa sana kwa sasa.
Mkuu, unamaanisha tukitumia AI tunapunguza kufikiria sana? Kwamba ndo kunafanya kuonekana wakubwa tofauti na umri ama una maana gani?
 
Am 45yrs, nna mawazoo, naona kabisa siku zakuendelea kuwepo juu ya mgongo wa ardhi zimepungua sana ,zimebakia chache,huenda miongo miwli ijayo itabakia story, maana mwaka 2000 ni juzi tu,leo tayari 2025, kwa maana miaka ishirini na tano ijayo uenda sitokuwepo,

Naogopa kufa,naomba Mungu aniepushe na kifo cha ajali yoyote ile mbaya au la, bora kufa ukiwa usingizini..

Kiukweli maisha ya duniani ni mafupi sana.
Bado mkuu kama huna tatizo la kiafya una 30+ mbele
 
Urefu 167cm, BMI ratio ndio nini?
a ratio of a person's weight in kilograms to the square of their height in meters. It's a quick and inexpensive way to estimate body size and categorize a person's weight as healthy, overweight, or obese
  • Underweight: BMI is below 18.5
  • Healthy weight: BMI is between 18.5 and 24.9
  • Overweight: BMI is between 25.0 and 29.9
  • Obese: BMI is 30.0 or greater
BMI ratio yako inasema upo overweight....
BMI Calculator
 
Am 45yrs, nna mawazoo, naona kabisa siku zakuendelea kuwepo juu ya mgongo wa ardhi zimepungua sana ,zimebakia chache,huenda miongo miwli ijayo itabakia story, maana mwaka 2000 ni juzi tu,leo tayari 2025, kwa maana miaka ishirini na tano ijayo uenda sitokuwepo,

Naogopa kufa,naomba Mungu aniepushe na kifo cha ajali yoyote ile mbaya au la, bora kufa ukiwa usingizini..

Kiukweli maisha ya duniani ni mafupi sana.
ili kuweza kukabilina na haya unayoyahofia inabidi uujue ulimwengu wa roho
 
Back
Top Bottom