Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Hutaki kuwa mama?Kuamkiwa mpaka na watu wazima nishazoea ila tatizo limekuja yeye kuniita 'mama'🥹
Sijui kanionaje
Tatizo dada unafukia sana msosi kitambi nje nje.Shemeji yako kanizidi miaka 10+ lakini tukitembea kama mdogo wangu vile.
Kwa zile kilo zako Njoo jikuchoree Route.Urefu 167cm, BMI ratio ndio nini?
kabisa, hakuna asiye kosea.Kijana usipelekeshwe na mtu. Ishi maisha yako kwa spidi yako. Kila mzee kuna kakitu anajutia.
Sasa urefu 167cm, weight 81 Kgs, hapo utakuwa kama kipipa flani hivi kinatembea..Dah! Ila nikijiangalia kwenye kioo mimi sio bonge bhana
Comrade, wewe miliki tu hela. Nakuhakikishia huo uzee utausikia tu kwa wengine. Uzee mara nyingi unasababishwa na umasikini.Wakuu,
Ama kweli miaka inakatika.
Nimekutana na washkaji zangu yaani 80% wana viapra na mvi.
Uzee tayari.
Kijana, ukipata nafasi, fanya mambo yako chap kwa haraka, umri haukusubiri.
Tunazeeka kweli,mie nishazeeka nina 64 nimekaa hame,nikifanya vikazi vidogovidogo,nikicheza na wajukuu na kusubiri kuitwa na MolaWakuu,
Ama kweli miaka inakatika.
Nimekutana na washkaji zangu yaani 80% wana viapra na mvi.
Uzee tayari.
Kijana, ukipata nafasi, fanya mambo yako chap kwa haraka, umri haukusubiri.
Shida sio kua mama!Hutaki kuwa mama?
Loh haya bana😅Anzeni kuandaa maboksi ya PAMPASI, maana nyie wazee kuna muda inafika mnaachia tu MABOMU MACHAFU.
Cc: Monetary doctor Poor Brain Mbaga Jr Lloyd Munroe Labella Extrovert Demi Kapeace secretarybird
Huo mdomo ukusaidie kulaSasa urefu 167cm, weight 81 Kgs, hapo utakuwa kama kipipa flani hivi kinatembea..
Zeeka vyote lakini sio akili na kifanyioWakuu,
Ama kweli miaka inakatika.
Nimekutana na washkaji zangu yaani 80% wana viapra na mvi.
Uzee tayari.
Kijana, ukipata nafasi, fanya mambo yako chap kwa haraka, umri haukusubiri.
Shikamoo BibiKuamkiwa mpaka na watu wazima nishazoea ila tatizo limekuja yeye kuniita 'mama'🥹
Sijui kanionaje
napenda sana mvi,Mi nina 39 na kichwa asilimia 50 ni cheupe, mimi ni mzee?
Si kuna dawa unapaka unakuwa na mvi..napenda sana mvi,
kuna rafiki yangu ana mvi tokea ana miaka 12, zimempendeza
nitatest wallahiSi kuna dawa unapaka unakuwa na mvi..
Unajiangalia wapi huko unakojiona yanki? Au kwenye kioo, kama ukishaanza kujiwazia kuwa na mawazo ya age go jua tayari uzee hauko mbali na ukubaliane na hilo.Shida sio kua mama!
Huyo mdada ni mtu mzima kabisa na mimi nikijiangalia najiona bado yanki😂
Binafsi huu umri huwa unanipa mawazo sana. Life span ya mwanadamu inazidi kushuka.Am 45yrs, nna mawazoo, naona kabisa siku zakuendelea kuwepo juu ya mgongo wa ardhi zimepungua sana ,zimebakia chache,huenda miongo miwli ijayo itabakia story, maana mwaka 2000 ni juzi tu,leo tayari 2025, kwa maana miaka ishirini na tano ijayo uenda sitokuwepo,
Naogopa kufa,naomba Mungu aniepushe na kifo cha ajali yoyote ile mbaya au la, bora kufa ukiwa usingizini..
Kiukweli maisha ya duniani ni mafupi sana.
kweli uwe na pesa tu but pia uwe na nidhamu fulani mfano:Comrade, wewe miliki tu hela. Nakuhakikishia huo uzee utausikia tu kwa wengine. Uzee mara nyingi unasababishwa na umasikini.
uvaaji unachangia sanaMimi nimekutana na msichana mkubwa tunaweza kua sawa miaka au tumezidiana kidogo, lakini kaniamkia 'Shikamoo mama'
Niliitikia huku moyo unaniuma.