Tunazeeka, ukipata nafasi fanya mambo yako kwa haraka

Tunazeeka, ukipata nafasi fanya mambo yako kwa haraka

Wakuu,

Ama kweli miaka inakatika.

Nimekutana na washkaji zangu yaani 80% wana viapra na mvi.

Uzee tayari.

Kijana, ukipata nafasi, fanya mambo yako chap kwa haraka, umri haukusubiri.
Comrade, wewe miliki tu hela. Nakuhakikishia huo uzee utausikia tu kwa wengine. Uzee mara nyingi unasababishwa na umasikini.
 
Wakuu,

Ama kweli miaka inakatika.

Nimekutana na washkaji zangu yaani 80% wana viapra na mvi.

Uzee tayari.

Kijana, ukipata nafasi, fanya mambo yako chap kwa haraka, umri haukusubiri.
Tunazeeka kweli,mie nishazeeka nina 64 nimekaa hame,nikifanya vikazi vidogovidogo,nikicheza na wajukuu na kusubiri kuitwa na Mola
 
Am 45yrs, nna mawazoo, naona kabisa siku zakuendelea kuwepo juu ya mgongo wa ardhi zimepungua sana ,zimebakia chache,huenda miongo miwli ijayo itabakia story, maana mwaka 2000 ni juzi tu,leo tayari 2025, kwa maana miaka ishirini na tano ijayo uenda sitokuwepo,

Naogopa kufa,naomba Mungu aniepushe na kifo cha ajali yoyote ile mbaya au la, bora kufa ukiwa usingizini..

Kiukweli maisha ya duniani ni mafupi sana.
Binafsi huu umri huwa unanipa mawazo sana. Life span ya mwanadamu inazidi kushuka.
 
Comrade, wewe miliki tu hela. Nakuhakikishia huo uzee utausikia tu kwa wengine. Uzee mara nyingi unasababishwa na umasikini.
kweli uwe na pesa tu but pia uwe na nidhamu fulani mfano:
1.usiende kwenye mabaa au mapub ya vijana
2.usivae nguo za vijana
3.uwe unatoka mara moja kwa wiki na utoke na mkeo au wake zako
4.chunga lugha unayotumia kuongea
5.ukitaka kuchepuka vuta mdada wa uhakika,nenda nae mahali pa class ya juu na usiwe na papara kwenye sex,sex kwa utulivu,comfidently na very expertly na tumia kinga maana usimpelekee mkeo au wakezo magonjwa
6.usichukue vibinti kabisa
 
Mimi nimekutana na msichana mkubwa tunaweza kua sawa miaka au tumezidiana kidogo, lakini kaniamkia 'Shikamoo mama'

Niliitikia huku moyo unaniuma.
uvaaji unachangia sana

na makeup kwenu wanawake

au una msongo wa mawazo wewe?
 
Back
Top Bottom