mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
watoto wa shetani, mungu hatupendi.Watu kama Niffer, Nai, official lynn, Anjella eti wamezaliwa 2000 lakini ukiangalia miili yao ni mikubwa mnooo
Halafu unakuta kimya kimya wameshanza kumeza dawa za presha na sukari, tezi dume, suppliments kurahisisha menopause... Hawajakusimulia haya?? βπ½Wakuu,
Ama kweli miaka inakatika.
Nimekutana na washkaji zangu yaani 80% wana viapra na mvi.
Uzee tayari.
Kijana, ukipata nafasi, fanya mambo yako chap kwa haraka, umri haukusubiri.
π ππ ππ ππ ππ ππ π πNilichogundua uzeeni kuna BATA za kutosha kuliko ujanani. Imagine ujanani unakula BATA ukiwa na stress za kodi, ada ya mtoto mara madeni, lakini uzeeni unakula ulichowekeza ujanani.
Uzeeni unakula kodi za nyumba ulizojenga, huwazi ada za watoto, unakula maisha kwa pesa za watoto mpaka wajukuu.
Tengeneza maisha ukiwa kijana BATA zipo mpaka uzeeni Ohoo
DahπWengine sisi hatuna la kujutia, tulianza kuwa na muonekano wa kibabu tangu tukiwa tuna miaka 18. Leo kwenye early 40s tumekochopaa kama Dr slaa aliyepandishwa kizimbani Leo.
Hata wasipojiita ila ni wazee. Kuzeeka haijalishi unavojiita ama unavoitwa ni idadi ya biological age you have clocked. Btw gardner si keshafariki update your brain info centre.Bila shaka utakuwa umezaliwa 84/85/86 Sasa
Hivi unamkumbuka gardner, kigunge, jembe ni jembe, sugu, prof Jay, simbachawene, Lugumi, MO dewji manara haw wote ni 50+ lakini hutowaskia wakijiita wazee Ila nyie wathemanini kazi Kujisifia sifia uboya uboya afu ujuaji mwingi
Najua kafariki Ila nilitaka tu kumwambia ajue mwamba enz zake alikua mtu braza fulani hivi anaejipendaHata wasipojiita ila ni wazee. Kuzeeka haijalishi unavojiita ama unavoitwa ni idadi ya biological age you have clocked. Btw gardner si keshafariki update your brain info centre.
SITAKIJenga, wekeza, oa, mapema sana uwezavyo.
Ndo hivyo jf mateDahπ
umri ni namba tu wewe ni mzee sasa πππMi nina 39 na kichwa asilimia 50 ni cheupe, mimi ni mzee?
Umri gan kuoaJenga, wekeza, oa, mapema sana uwezavyo.
Unasoma flow ngap mzee2019 niliona mvi kidogo kidevuni, nikasema it's really nice yaani naonekana bomba sana. Hazikuchukua mda zikachachamaa, ninavyoongea kichwa kinakuwa cheupe, no piko wala black kichwani.
2000 wakati Mkapa anachukua nchi nilikuwa kijana mdogo, leo ni miaka 25 na ni juzi tu, 2050 ni kesho tu na uzee utakuwa umekaa mahali pake and eventually DEATH!
Maisha ni mafupi sana, kuishi juu ya uso wa dunia ni kwa kitambo tu.
Unadhani hivyo? Nipo kwenye group la familia, ages zetu hazijatofautiana sana coz baadhi wamezaliwa 60s hadi mid 80s hapo, yaani kizazi cha kaka, dada na cousins kipo hapo. So umri wao ni around early 40s to early 60s.Kuna hawa watu wa kuanzia 1979-1965 ( Wazee wetu ) wamerelax sana aisee hawajai kuwa na pressure kuhusu umri na mambo yao yanaenda vizuri tu,.