Tunazeeka, ukipata nafasi fanya mambo yako kwa haraka

Basi mie naonaga kama wamerelax sanaa🤔
 
Wakuu,

Ama kweli miaka inakatika.

Nimekutana na washkaji zangu yaani 80% wana viapra na mvi.

Uzee tayari.

Kijana, ukipata nafasi, fanya mambo yako chap kwa haraka, umri haukusubiri.
Vipara na mvi ndio umri gani
 
nina miaka 65 ilaa mtaani nawakojoza wengi tu..mabint wananikubali mnoo...bora hela tuu
nyie ndio maofosi watoto wakike wakija kuomba kazi hamtoi mbaka muwatombe😄😄
 
Ni kweli mkuu,ila hayo mambo yenyewe utaenda nayo wapi...
Mwisho wa uzee ni kifo mkuu
 
Una miaka mingapi? Kwanini muonekano wako ukufanye uwe mzee??? ,badili aina ya mlo unaokula ,fanya mazoezi,epuka msongo wa mawazo ,visungura vinazeesha pia !! 😊
Sipigi visungura na huwa machalii wakiniona wanacheka tuu, wanakumbuka High school,

Tatizo watu wanaokuzunguka sasa.

Umri haudanganyi, majukumu yatakuambia wewe ni nani kwa wakati huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…