Tunazeeka, ukipata nafasi fanya mambo yako kwa haraka

Najua kafariki Ila nilitaka tu kumwambia ajue mwamba enz zake alikua mtu braza fulani hivi anaejipenda
Sawa, lakini hujui wasanii walikuwa wanamwita baba na si kaka kumaanisha ni age go tayari
 
Kwa hiyo mkuu Bolotoba wewe ni wa lini?1950s or 60s maana naona unamwaga mashudu sana kwenye huu uzi.

Itakuwa worsen pale ije ijulikane wewe ni wa 2000s halafu mtu wa 80 leo ana 45 huyo siyo mwenzako.
 
Mimi nimekutana na msichana mkubwa tunaweza kua sawa miaka au tumezidiana kidogo, lakini kaniamkia 'Shikamoo mama'

Niliitikia huku moyo unaniuma.
Pole, sasa mimi mwanzo watoto nikikutana nao wananiita babu shikamoo, Dah nilikuwa naumia nafsi sana,wengine mama zao walikuwa wanawambia wee! Sio babu muite baba,


Sasaivi nishazoea,maana miaka 40 plus, katoto kalichozaliwa na mama mwenye miaka 20 au 22 ni haki kuniita babu.
 
Na wewe sasa unazeeka vibaya,kwa umri wako kama ulivyojitanabaisha pale juu haya yote unayafanya ya nini?au unatushauri tunaozeeka sasa tuyafanye ya nini huku tuna wake majumbani mwetu?

Wazee mfano wako ndiyo mnaofiaga vifuani mwa malaya mkiacha wajane zaidi ya mmoja na watoto wasiokuwa na baba,hata kama tunatumia fake IDs tujiheshimu sometimes wewe ni wa 90s ila kwa sababu humu hatujuani unajifanya mzee kiungwana watake radhi wazee wenye umri uliojipa hapo juu.
 
We unajitetea tu wazee wa kubrag wa earlier 80' sisi vijana wa 1985 kushuka chini hatunaga majigambo
Kwa hiyo mkuu Bolotoba wewe ni wa lini?1950s or 60s maana naona unamwaga mashudu sana kwenye huu uzi.

Itakuwa worsen pale ije ijulikane wewe ni wa 2000s halafu mtu wa 80 leo ana 45 huyo siyo mwenzako.
 
Hupo sahihi siwezi jiita mzee ety Nina miaka 45+ Huyu si kijana wa makamo 🤣hivo selemani wanajua kazaliwa mwaka gani yule braza kazaliwa 1953 lakini lakini wala Hana pigo za kujifanya mzee,
 
Kuna jamaa angu anazeeka kwa speed ndo kwanza ana miaka 30, ila huko kichwani & ndefu lowasa huyu hapa
 
Kinachoniuma ni pale mtu anaponiita mbaba badala ya mkaka
Uzee siutaki kabisa
 
Umri wa mtu auhusiani na jinsi anavyoonekana.
Kuna mtu ana 50 years lakini ukimuangalia ni kama ana 35.

Na kuna mtu ana 35 years lakini ukimwona ni kama 50 years jinsi alivyochakaa.

Maisha ni kujitunza Kwa kula vizuri na mazoezi ili kulinda muonekano wako.

Mvi Wala kipara sio uzee.
 
Nilikutana na bonge la mama,kabla sijamsalimia akanitambulisha kwa wamama wenzake,huyu ni(F)nilisoma nae la saba b,wazee nilichoka ndio nikatoa Salam kwa kujikaza(habar zenu)
 
Nilikutana na bonge la mama,kabla sijamsalimia akanitambulisha kwa wamama wenzake,huyu ni(F)nilisoma nae la saba b,wazee nilichoka ndio nikatoa Salam kwa kujikaza(habar zenu)
Hii namm nakutana nao watoto wao 😅wananiita kaka nacheka tu hawajui Ata mama zao Nina wazidi umri Ila tu ndo hvo tunabaki mayoung
 
Wakuu,

Ama kweli miaka inakatika.

Nimekutana na washkaji zangu yaani 80% wana viapra na mvi.

Uzee tayari.

Kijana, ukipata nafasi, fanya mambo yako chap kwa haraka, umri haukusubiri.

OA , KUWA NA WATOTO MAPEMA SANA, WEKEZA NA FURAHIA MAISHA.
Kwani KATAA NDOA hawazeeki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…