🤣Mlo pekee ambao hauzeeshi ni mnafuUna miaka mingapi? Kwanini muonekano wako ukufanye uwe mzee??? ,badili aina ya mlo unaokula ,fanya mazoezi,epuka msongo wa mawazo ,visungura vinazeesha pia !! 😊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣Mlo pekee ambao hauzeeshi ni mnafuUna miaka mingapi? Kwanini muonekano wako ukufanye uwe mzee??? ,badili aina ya mlo unaokula ,fanya mazoezi,epuka msongo wa mawazo ,visungura vinazeesha pia !! 😊
Sio kila mwenye mvi ni mzee. Kuna watu walianza kuota mvi wakiwa kwenye mid 20's. Mimi nafahamu kuwa uzee unaanzia miaka 60 na kuendelea. Miaka 60 ndio umri wa kustaafu pia hapa Bongo.Mi nina 39 na kichwa asilimia 50 ni cheupe, mimi ni mzee?
Sawa, lakini hujui wasanii walikuwa wanamwita baba na si kaka kumaanisha ni age go tayariNajua kafariki Ila nilitaka tu kumwambia ajue mwamba enz zake alikua mtu braza fulani hivi anaejipenda
Kwa hiyo mkuu Bolotoba wewe ni wa lini?1950s or 60s maana naona unamwaga mashudu sana kwenye huu uzi.Watu wenye miaka 1970 nawakubali sana huwezi kuwa sikia wanaongea hivi wapo relaxed sana na exposure vijana wa 1980 nyie kizazi worst kuwahi kutokea maana hapo ndipo ukimwi ulishamiri, makundi ya hovyo, drop out of school, mihadarati, ujambazi, mauaji ya albino hii yote ni 2009 kushuka chini hapo watoto wa 1980 ndo wameleta habari za Kulala na mama zao
Pole, sasa mimi mwanzo watoto nikikutana nao wananiita babu shikamoo, Dah nilikuwa naumia nafsi sana,wengine mama zao walikuwa wanawambia wee! Sio babu muite baba,Mimi nimekutana na msichana mkubwa tunaweza kua sawa miaka au tumezidiana kidogo, lakini kaniamkia 'Shikamoo mama'
Niliitikia huku moyo unaniuma.
Na wewe sasa unazeeka vibaya,kwa umri wako kama ulivyojitanabaisha pale juu haya yote unayafanya ya nini?au unatushauri tunaozeeka sasa tuyafanye ya nini huku tuna wake majumbani mwetu?kweli uwe na pesa tu but pia uwe na nidhamu fulani mfano:
1.usiende kwenye mabaa au mapub ya vijana
2.usivae nguo za vijana
3.uwe unatoka mara moja kwa wiki na utoke na mkeo au wake zako
4.chunga lugha unayotumia kuongea
5.ukitaka kuchepuka vuta mdada wa uhakika,nenda nae mahali pa class ya juu na usiwe na papara kwenye sex,sex kwa utulivu,comfidently na very expertly na tumia kinga maana usimpelekee mkeo au wakezo magonjwa
6.usichukue vibinti kabisa
Kwa hiyo mkuu Bolotoba wewe ni wa lini?1950s or 60s maana naona unamwaga mashudu sana kwenye huu uzi.
Itakuwa worsen pale ije ijulikane wewe ni wa 2000s halafu mtu wa 80 leo ana 45 huyo siyo mwenzako.
Na wewe sasa unazeeka vibaya,kwa umri wako kama ulivyojitanabaisha pale juu haya yote unayafanya ya nini?au unatushauri tunaozeeka sasa tuyafanye ya nini huku tuna wake majumbani mwetu?
Wazee mfano wako ndiyo mnaofiaga vifuani mwa malaya mkiacha wajane zaidi ya mmoja na watoto wasiokuwa na baba,hata kama tunatumia fake IDs tujiheshimu sometimes wewe ni wa 90s ila kwa sababu humu hatujuani unajifanya mzee kiungwana watake radhi wazee wenye umri uliojipa hapo juu.
NDIOMi nina 39 na kichwa asilimia 50 ni cheupe, mimi ni mzee?
Hii namm nakutana nao watoto wao 😅wananiita kaka nacheka tu hawajui Ata mama zao Nina wazidi umri Ila tu ndo hvo tunabaki mayoungNilikutana na bonge la mama,kabla sijamsalimia akanitambulisha kwa wamama wenzake,huyu ni(F)nilisoma nae la saba b,wazee nilichoka ndio nikatoa Salam kwa kujikaza(habar zenu)
Kwani KATAA NDOA hawazeeki?Wakuu,
Ama kweli miaka inakatika.
Nimekutana na washkaji zangu yaani 80% wana viapra na mvi.
Uzee tayari.
Kijana, ukipata nafasi, fanya mambo yako chap kwa haraka, umri haukusubiri.
OA , KUWA NA WATOTO MAPEMA SANA, WEKEZA NA FURAHIA MAISHA.
Kama harmonizewewe si umeweka bleach😂
35yrsKwani uzee unaanzia miaka mingapi ndugu?