Tunazunguka mbuyu hatutaki kusema ukweli

bandari ni issue ya muungano, bandari zilizouzwa ni za bara tu, na waliouza ni wazanzibar, hivi hawa wazanzibar wanatutakia nini, wana uchungu kweli na Tanganyika? au wapo hapa kuchuma wakijua wana kwao kwa kukimbilia, watanganyika tuamke.
 
Kwani Muungano huu ni halali kisheria ??? Mbona hatuanzi kwenye mzizi wa fitina kwanza ambao ni huu uvamizi uitwao Muungano ?? Au huko hamkutaki kwa sababu mkuki ni kwa nguruwe tu ....???
 
Watanzania tumekubali kuwa mateka wa wanasiasa, kiasi kwamba wanasiasa wenyewe kujiona wana akili kuliko watanzania wengine. Ifike muda kuwe na wabunge wasiofungamana na chama chochote cha siasa. Taasisi kama TLS, na nyenginezo ziwe na viti bungeni ziwe huru zisitokane na vyama vya siasa. Leo Maaskofu wanafanya kazi iliyotakiwa ifanywe na wabunge, lakini wabunge wanashindwa kufanya kwa kuogopa kuwajibishwa na vyama vyao. Salamu za watanzania kwa wanasiasa tunao wAchagua, watanzania sio mbumbumbu kama mnavyodhani mkisha kalia viti pindipo mnapowachaguliwa tekelezeni wajibu wenu kwa mjibu wa sheria sio kwa utashi wa vyama vyenu.
 
Hilo la "kutembea na lawindki" unamaanisha nini?

Hiyo impeachment ilifanyika lini na wapi?

Unaelewa unachokiandika au unakurupuka tu?
 
Wee kalia ndoto zako za kijinga na ugalatia wako!
 
Soma vizuri bandiko kisha ,jikite kwenye Mada.
 
Tatizo tumekubali nchi iongozwe na watu wasio na uwezo. Unaweza kutuambia ssh aliwahi kufanya kitu gani huko nyuma mpaka akstahili kuwa kiongozi mkuu wa nchi? Kama tunashindwa kupata watu sahihi wenye uwezo wa kuotuongoza vizuri, tutabaki maskini milele
 
Kwani Muungano huu ni halali kisheria ??? Mbona hatuanzi kwenye mzizi wa fitina kwanza ambao ni huu uvamizi uitwao Muungano ?? Au huko hamkutaki kwa sababu mkuki ni kwa nguruwe tu ....???

Kwahiyo karume alishikiwa bunduki siku ya kuungana na tanganyika?zenj wame gain tanganyika wamepoteza kwenye huu muungano.

Unless uwe mwarabu kokoo masalia ya sultani.
 
Kwa kawaida nijuavyo mimi hata katika vitabu vya hekima vya kale, nchi haipaswi kuongozwa na mgeni, mtu asiye mzawa wa nchi husika hastahili kuongoza nchi ama kuwa na madaraka makubwa ya juu kabisa ya kiuongozi mfano wa mfalme. Na hata ikitokea akapewa nafasi ya juu mtu mgeni basi lazima awepo mzawa atakayekuwa juu yake zaidi ili kudhibiti mambo kama haya yanayotokea sasa hivi. Huu ndiyo uelewa wangu mdogo katika mambo haya
 
bandari ni issue ya muungano, bandari zilizouzwa ni za bara tu, na waliouza ni wazanzibar, hivi hawa wazanzibar wanatutakia nini, wana uchungu kweli na Tanganyika? au wapo hapa kuchuma wakijua wana kwao kwa kukimbilia, watanganyika tuamke.
Kwa namna mambo yalivyo ni wazi akili iliyoamua haya mambo ni ndogo sana laa Kuna usaliti wa wazi wazi aisee
 
Mwalimu Nyerere angeunda tu Tanzania ya serikali moja.
Yeye alishindwa, sasa nizamu yako, unda wewe hiyo serikali moja. Ukiona vyaelea ujue vimeundwa.
maana yake Dar imeporwa bahari, mfano kisiwa cha Latham, wavuvi wa Dar wanaitwa Fungu Mbaraka, sikuizi kimebadilishwa jina kinaitwa Fungu Kizimkazi.
Visiwa vya Latham ni mali ya Zanzibar na haijawahi na haitapata kuwa mali ya Tanganyika. Tukuza kilicho chako mpaka usahau cha mwenzako; Latham haikuhusu, iwache.
Kujiunga chama ni hiari ya mtu nawe kajiunge ikiwa unaona wanafaidi.
Wazanzibari wangebaki tu Makamu wa Rais tu madhali kwao nchi yao ina hii serikali kamili, huko Tanganyika wangekuwepo kulinda maslaha ya Zanzibar tu ndani ya Muungano.
Hata Wataganyika nao wabaki kuwa makamu tu. Kama shubiri ni dawa, kunywa nawe utapoa.
Hujui hata yaliyopo. Zanzibar imefanya hivyo ikifuata vyema makubaliano ya muungano. Jifunze ulewe
 
Njaa mbaya ndugu yangu isikie tu kwa jirani yako, ukijumlisha na wadhifa anaoupata yaani apoteze yote hayo kirahisi rahisi tu? Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…