Tunda Achana na mlitoz

Polisi aliandikwa km anna kimaro..list ya [emoji23] siro
 
ha ha ha nakumbuka ilikua msiba wa marehemu Adam kuambiana, warumi alitafuta nyumba ya msiba akaenda kulala πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hahahahaha
Warumi ni kiboko, inaonekana enzi hizo mli enjoy, ila sema hata hivo yeye ana uniquenes kwenye kuleta ubuyu, nadhani kwa sababu ana tafuta source mwenyewe.
 
Watu wapo deep kwny hizi habari....Dah!
 
Mpwa warumi umesahau kwenye ngoma moja na Tunda Mkubwa (kama sikosei), huyu Tunda Mdogo alishawahi kucheza nafasi anasagwa?! Unaikumbuka hiyo ngoma tena wakati ule kalikuwa kadogo dogo tu!! Isije ikawa anataka ku-practice!!
 
Hyo video naikumbuka binamu,kwa level ya tunda,hakuna uchafu aliouacha n she is only 20's
 
nimenusurika sana na tindikali binamu, maana ubuyu wangu ulikua wa mwendo kasi,sasa hivi kila ijumaa nawaletea ubuyu fresh tukeshe nao, yni ni full exclusive
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
mizee ya kichaga inapenda pesa tu!!!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]


kwanza tunda jina lake anaitwa Anna peter Sabasita Kimaroo
oyi! huyu mtoto nimfahan alisoma kilimanjaro primary school -Moshi. Alikuwa na dada yake anaiywa Doreen. Sasa nauliza huyu Doreen yupo wapi na yeye?
 
Vunja mifupa angali meno bado ipo utakuja juta Ukipita mda wako.

Hivi huyo Tunda bado anachenza...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…