Tunda gani la asili umelikumbuka na halipatikani ulipo kwa sasa?

Magama zamani sana kwa bibi Ifakara kipindi cha kung'olea mpunga.
 
Makusu
 
Ngubaru jmn zamani sana popote zilipo ngubaru shikamoooo
 
Ndowiro
 
Amambolesi ni tunda adimu... Cjawah kuliona kokote zaidi ya Tukuyu. Zaidi ya miaka ishirini sijawahi kuliona hili tunda
 
Huko mbeya zinaitwa MBULA km sijakosea... huu mzigo ni adimu sana
 
Haya niliyala sumbawanga ni mazuri atari[emoji847]
 
Jangaua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…