Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante, ila mswali yangu ungenijibu kifupi walauKwa kukusaidia tu biblia bila usaidizi wa rohomtakatifu kamwe hutaelewa!. Kabla ya kuanza kuisoma omba mwongozo wa msaada wa rohomtakatifu kwanza akusaidie kuelewa ujumbe huo wa Mungu naamini utakuja kutoa ushuhuda hapa.!!
Na mimi nauza miche ya mizeituni,sh 2000/=Nipo SUA.
Eneo hilohilo kulikuwa na miti miwili, mti wa ujuzi wa mema na mabaya pamoja na mti wa uzima.Bas nazidi kujua mstari huo huo Mungu akasema asije akaishi milele? Bas hata wasingekula tunda wngekufa tu au inakuwaje
😂😂tunda siuzi mkuuHauuzi tunda?
😂😂 ndio mkuu.Nachangamkia fursa.Hapa naomba Mungu mvua inyeshe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]naona umeitumia fursa kiujasiriamali
Ndio boss,karibu sanaInaweza kustawi kwenye mikoa ya kanda ya ziwa
Particularly Tabora?
[emoji23][emoji23] ndio mkuu.Nachangamkia fursa.Hapa naomba Mungu mvua inyeshe
Asante boss,Jf (kupitia ule uzi wangu) imebadilisha kabisa maisha yangu,Mchawi bando na chaji😃😃.Otherwise napiga biashara popote pale nitakapokuwa ,muda na saa yoyotehaya bhana hongera.
Hayo ndio matumizi sahihi ya mtandao unatumia huku pesa inaingia,wengine wanautumia kwa kutukanana
[emoji3][emoji3]Unavuruga na wewe, ni naongelea tunda unaleta habari za miche
Asante boss,Jf (kupitia ule uzi wangu) imebadilisha kabisa maisha yangu,Mchawi bando na chaji[emoji2][emoji2].Otherwise napiga biashara popote pale nitakapokuwa ,muda na saa yoyote
kweli kabisa mkuuhiyo ni achievement kubwa sana
karibu sana dearaisee nitakusaka kuna jambo langu napambania
Adam alikula Tunda kimasihara tuuTunda hili navyosikia ndio tunda walilokula Adam na Hawa na ndio hilihili Mungu aliwakataza wasile.
Kama ni Kweli hilo ndio tunda lenyewe naomba nielezee kidogo na kama sitakuwa sahihi mnisahihishe.
Kwanijuavyo ni kuwa maana ya lile tunda walilokatazwa ni kutokufanyana, kwa bahati mbaya wakafanyana na Mungu akawaambia mtazaa kwa uchungu nawe mwanaume mtakula kwa jasho ndio ukawa mwanzo wa kuzaliana mpaka leo kisa tunda (utamu)
Sasa hili tunda la mzeituni ambalo watu ndio wanasema walikatazwa Adam na Hawa wasile na ndio linauzwa dar kwa sh4000/= , hili ni la wapi? Je, ukila hautodhurika? Hamna tafsiri au maana ya ukila hilo tunda la mzeituni?. Mnaojua mtupe matumizi ya hilo tunda na ni kwa nini linauzwa bei kubwa hivyo kuzidi tufaa?
Kama tunda alilowakataza Adam na Hawa linaitwa mzeituni kwanini walipewa adhabu ile? Kwa nini waliambiwa wakaijaze dunia? Kwa nini maandiko mengi ya Biblia inakataza usizini? Je, hamuoni hiyo ndio ilikuwa dhambi ya asili (kuzini) na wala sio kula lile tunda la mzeituni linalouzwa Dar 4000/=?
Kama ni tunda hilo (mzeituni) ndio walikatazwa na sisi tumelijua kwanini bado tunakula?.
Nakaribisha muongozo.
😂😂😂Unavuruga na wewe, ni naongelea tunda unaleta habari za miche
Hao wanyama ile laana na wao imewapata wanazaliana.Litakuwa tunda kweli siyo hivyo mnavyozani, Ila tunda la mema na mabaya ambalo wanyama na viumbe wengine hawajala ndo maana hawapo Kama sisi, wapo uchi hawajali, wanafanya ujinga wazi hawajali, wanaishi nje bila nyumba hawajali hawana mambo yoyote ya kuendeleza dunia Kama kutengeneza katiba na miongozo ya kutembelea na mambo Kama harusi wao wanazaa tu kuongezeka bila kujali mema na mabaya, kuhusu zaituni ni mti uliobarikiwa ukiwa na nguvu za kiroho hasa ukipenda kula matunda yake unazeeka ukiwa na ngozi nzuri na uelewa wa akili haupotei haraka hiyo, habari ya Eden ikiwa Kama bustani tunaonyeshwa jinsi miti na matunda yanayoliwa yalivyo ya muhimu kwenye afya ya mtu, akili na kujitibu ambayo Mungu ametupa bure, nchi ya Israel inajua sana umuhimu wa kilimo na matumizi ya hiyo miti tatizo zinakuwa Siri kwao huko.