Tunda la mzeituni

Tunda la mzeituni

Biblia imeeleza mti wa katikati ya bustani wenye ujuzi wa mema na mabaya, na kuna mti mwingine wa uzima wa milele, ndio hawakutakiwa kula matunda yake. Unaeleza aje hapo?
Like tunda walilokula mpaka kukawa na dhambi ya asili
 
Story nzima ya pale Eden ni illusion.. I mean ni lugha ya picha hakuna uhalisia.
Unafikiri kosa walilofanya kwanini halikuwa na msamaha mpaka leo? Ndo najiuliza hili tunda lipi lilofanya tusipate msamaha
 
Kwa kukusaidia tu biblia bila usaidizi wa rohomtakatifu kamwe hutaelewa!. Kabla ya kuanza kuisoma omba mwongozo wa msaada wa rohomtakatifu kwanza akusaidie kuelewa ujumbe huo wa Mungu naamini utakuja kutoa ushuhuda hapa.!!
Asante, ila mswali yangu ungenijibu kifupi walau
 
Bas nazidi kujua mstari huo huo Mungu akasema asije akaishi milele? Bas hata wasingekula tunda wngekufa tu au inakuwaje
Eneo hilohilo kulikuwa na miti miwili, mti wa ujuzi wa mema na mabaya pamoja na mti wa uzima.
Baada ya wazee wetu kula mti wa ujuzi wa mema na mabaya walisahau kula pamoja na mti wa uzima ili adhabu za Mungu zishindwe kufanya kazi.
Hivyo wao wakati wakiduwaa kwa maarifa waliyopata Mungu aliwahi fasta kuweka makerubi pamoja na mapanga makubwa ya moto kuzunguka bustani yote ili wasije wakatwaa matunda ya mti wa uzima wakala mwisho waje kuwa tanzi na fedheha kwa Mungu.... Mstari ulionukuu ni maneno ya Mungu kuepusha wanadamu wasiishi milele wakiwa na maarifa waliyoyapata baada ya kula lile tunda la ujuzi/maarifa

Hivyo mkuu wangu kabla wazee hawajala tunda tulikuwa na guarantee ya kuishi milele.
Baada ya kula tunda ile ofa ya kuishi milele ikapotea japo kulikuwa na chance ya wazee wetu kupora matunda ya uzima wale ambapo leo hii tungekuwa tunaishi milele tukiwa na maarifa yetu hayahaya..... Bahati mbaya shetani hakuwashawishi wazee wetu wale pamoja na matunda ya mti wa uzima kitu ambacho lilimpa Mungu nafasi ya kuja kuweka ulinzi kwenye huo mti

Imagine wangekula matunda yote mkuu ingekuwa burudani ajee 😊😊
 
haya bhana hongera.
Hayo ndio matumizi sahihi ya mtandao unatumia huku pesa inaingia,wengine wanautumia kwa kutukanana
Asante boss,Jf (kupitia ule uzi wangu) imebadilisha kabisa maisha yangu,Mchawi bando na chaji😃😃.Otherwise napiga biashara popote pale nitakapokuwa ,muda na saa yoyote
 
Tunda hili navyosikia ndio tunda walilokula Adam na Hawa na ndio hilihili Mungu aliwakataza wasile.

Kama ni Kweli hilo ndio tunda lenyewe naomba nielezee kidogo na kama sitakuwa sahihi mnisahihishe.

Kwanijuavyo ni kuwa maana ya lile tunda walilokatazwa ni kutokufanyana, kwa bahati mbaya wakafanyana na Mungu akawaambia mtazaa kwa uchungu nawe mwanaume mtakula kwa jasho ndio ukawa mwanzo wa kuzaliana mpaka leo kisa tunda (utamu)

Sasa hili tunda la mzeituni ambalo watu ndio wanasema walikatazwa Adam na Hawa wasile na ndio linauzwa dar kwa sh4000/= , hili ni la wapi? Je, ukila hautodhurika? Hamna tafsiri au maana ya ukila hilo tunda la mzeituni?. Mnaojua mtupe matumizi ya hilo tunda na ni kwa nini linauzwa bei kubwa hivyo kuzidi tufaa?

Kama tunda alilowakataza Adam na Hawa linaitwa mzeituni kwanini walipewa adhabu ile? Kwa nini waliambiwa wakaijaze dunia? Kwa nini maandiko mengi ya Biblia inakataza usizini? Je, hamuoni hiyo ndio ilikuwa dhambi ya asili (kuzini) na wala sio kula lile tunda la mzeituni linalouzwa Dar 4000/=?

Kama ni tunda hilo (mzeituni) ndio walikatazwa na sisi tumelijua kwanini bado tunakula?.

Nakaribisha muongozo.
Adam alikula Tunda kimasihara tuu
 
Litakuwa tunda kweli siyo hivyo mnavyozani, Ila tunda la mema na mabaya ambalo wanyama na viumbe wengine hawajala ndo maana hawapo Kama sisi, wapo uchi hawajali, wanafanya ujinga wazi hawajali, wanaishi nje bila nyumba hawajali hawana mambo yoyote ya kuendeleza dunia Kama kutengeneza katiba na miongozo ya kutembelea na mambo Kama harusi wao wanazaa tu kuongezeka bila kujali mema na mabaya, kuhusu zaituni ni mti uliobarikiwa ukiwa na nguvu za kiroho hasa ukipenda kula matunda yake unazeeka ukiwa na ngozi nzuri na uelewa wa akili haupotei haraka hiyo, habari ya Eden ikiwa Kama bustani tunaonyeshwa jinsi miti na matunda yanayoliwa yalivyo ya muhimu kwenye afya ya mtu, akili na kujitibu ambayo Mungu ametupa bure, nchi ya Israel inajua sana umuhimu wa kilimo na matumizi ya hiyo miti tatizo zinakuwa Siri kwao huko.
 
Hao wanyama ile laana na wao imewapata wanazaliana.

Kuhusu hilo tunda zeituni umesema Lima nguvu kiroho tu hamna jingine lihusulo hilo tunda pindi ukilila?
 
Back
Top Bottom